Home
Unlabelled
houston tambarare
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Haya mlisema tuige mfano wa wenzetu, hayo sasa! Hao ndo wenzetu na mambo yamewafika. Anyway si kama bongo hata manyunyu yanaweza kuleta balaa
ReplyDeleteitakuwaje iwe bongo peke yake?
ReplyDeletetena bara bara za marekani zimejengwa na emergency pipes za kudrain water lakini usicheze na MOTHER NUTURE ,
MIMI NAMUHITA HALLA SUBUANA WATAHALA!
mafuriko ya mwenyezi hamna anaweza zuia si pipes si 911
Angalau barabara na mitaa ya houston ni lami tupu, bongo balaa lake ni madimbwi na tope la nguvu miundo mbinu ni mibovu na kwa jinsi tulivyo na bunge lisilo na maono itachukua miaka zaidi ya 200 kwa tanzania kuwa na miundo mbinu mizuri. Ufisadi ndo unarithishwa kutaka kizazi hadi kizazi. maskinii Tanzania. Ninakupenda lakini nifanyaje!!!!!
ReplyDeleteSiku zote tukiwa bongo tunaona wenzetu wamefaidi kwavile wanaishi sehem tulizokuwa hatujafika sasa tunaona matatizo niyaleyale, kukimbia matatizo sio kutatuwa tubakieni tu tujiepushe na mafuriko.
ReplyDeletendo vile tena.hata H-Town ni tambarare pia.
ReplyDeletebongo ni mvua na hayo ni mafuriko
ReplyDelete"Houston. We have a problem."
ReplyDeleteDuu mie nilidhani bongo ndio mahali tambarare pekee kuna na na kwa wanyamwezi tambare pia...teh teh tehe
ReplyDeleteAmerica si kila kitu kipo kama unavyoona kwenye Hollywood movies. Huku hasa kipindi hiki hali ni mbaya sana, sana. Watu wana commit suicide kutokana na hali mbaya ya uchumi.Kazi hamna ajira nyingi zimeota mbawa,deportation ndio usiseme.Uwezi amini hata General motors, kampuni iliyogundua utendenezaji wa magari eti inataka kufirisika na matajiri wa kimarekani wanaona sawa tu kama si jitihada za Obama kustimulate hali ingekua mbaya. Wale wasomi maforeigners waliokuwapo kwenye sekta kama za Benk hivi wengi wamelia kutokana na GEC
ReplyDeletehata kama una valid work permit unafutiwa na inatamkwa wazi ajira za benk ni kwa wamarekani kwa sasa! Wenzangu na mie wenye green card basi usifanye kosa vinginevyo waweza kufutiwa GC yako na ukaface deportation vilevile. Haya mambo ya ubovu w miundo mbinu si haba lakini pia kuna barabara nyingine ni mbovu sana tena kwenye majimbo makubwa tu na hamna fedha za kukarabati. Hata kuajiri vibarua wa kuondoa miti barabarani ni issue.Uwezi amini jimbo kama michigani lipo kwenye hali mbaya kiuchumi kiasi kuelekea kufilisika,hata kudai kodi ni issue raia hawana pesa wanaaccumulate kodi tu, ma mortage yanazidi kujaa na hata ukimfukuza mtu kwenye nyumba utamuuzia nani watu hawana hela. Mzee huku watu kwa sasa wanakula hata vyakula vilivyo expire! Mtu ukisikia offer supermarket buy one get other 2 japo vimeexpire unakua willing kutoa hela yako.Though "yes we did",lakini wabaguzi hawajakosa cha kujifariji, kama wanavyojifariji wenyewe " as long as he's son of alien like us, no problem.Thank god that he is not son of a slave" unaweza kulia!Mdau wa
April 28, 2009 8:37 PM kama si ufisadi na viongozi wanafiki kama Mh. Sofia Simba waziri wa utawala bora mara mia turudi kwetu! Hta Usa kuna viongozi kama hawa ambao wanarudisha nyuma jitihada za marais wa nchi husika...Viva R.Mengi,usichoke hadi Rais atoe tamko.
sasa wabongo hapo msitafute visabbabu visivyo na msingi,ndiyo jamaa wameendelea lakini kuna mother nature zinakuwa out of control,wenzenu huku limetokea tatizo kama hili wanaumiza kichwa kukabiliana nalo lisitokee tena,nyie viongozi wenu tatizo likitokea na ndiyo kwanza wanasubiri jua liwake,na wakisoma comment zenu ndiyo mna wa encourage kutofanya kazi zao ipasavyo,jaribuni kuandika comment ambazo zitawaamsha viongozi wenu walio lala usingizi TORORO,msijaribu hata siku moja kufananisha miji ya marekani na bongo,wenzenu wanawaza kurusha ndege mwezini nyie hata umeme,maji ya uhakika hakuna wanafunzi wanakaa sakafuni darasani anyway ni vizuri kuota ndoto zenu za mchana,ndimi wenu hapa USA.
ReplyDeleteHUYU MTU ALIYETUMA HIZI PICHA ASEME ALIZIPIGA LINI AU ALIZIPATA WAPI NA TUNAHAKIKISHIWA VIPI KWAMBA HAPO NI HOUSTON NA SI NEW ORLENS BAADA YA KATRINA AU MJI MWINGINE.
ReplyDeleteANYWAY, KAMA SI HURRICANES AU SABABU ZA MAANA KAMA MTO FULANI KUJAA KAMA YALIYOJIRI HUKO DAKOTAS HIVI KARIBUNI, MAREKANI NZIMA HAKUNA MJI WOWOTE ULE UTAKAOFURIKA MITAANI SABABU YA MIUNDOMBINU MIBOVU AU MITARO KUTOZIBULIWA - HATA HUO UCHAFU WENYEWE MIJINI NA MAENEO MENGINE HAUINGII MITARONI -- WOTE TULIO MAREKANI TUNAONA "MAN HOLE COVERS" KILA KONA YENYE KUINGIZA MAJI KWENYE MITARO. WATANZANIA TUNA KAWAIDA YA KUSEMA "OOOH, KAMA NA WENZETU YANAWAPATA BASI NA SISI HATUNA JINSI" NA NDO TUNAZIDI KUBWETEKA.
HAPA MAREKANI KUNA MAJANGA YA ASILI NA KILA AINA YA SHIDA NYINGINE LUKUKI LAKINI PICHA UNAYOONA HAPA ISIKUFANYE UKATAKA KWENDA KUSOMA INDIA AU UKADHANI VISABABISHI NA MADHARA YA MAFURIKO YA MITAANI KILA YANAPOPATA KUTOKEA HAPA STATES NI KAMA DAR AU UKASEMA "KUMBE NA MAREKANI YAPO HAYO!!" LABDA MPAKA UISHI HAPA NDO UTAJUA NASEMA NINI. MFANO, HAKUNA HABARI YA MAJI TAKA (AKA MAJI CHOO) KUCHANGANYIKANA NA MAJI YA MAFURIKO KAMA PALE POSTA MPYA DAR!! KARIBU UTEMBEE MTANZANIA MWENZANGU HIZO PICHA SI LOLOTE -- WHATEVER THE CAUSE OF "MAFURIKO" HAYA, MAREKANI HAIKO HIVYO
Jamani hiyo mvua iliyonyesha jana ni yakuuwa mtu... Houston ina super drainage system lakini jana ilicheuwa.. Sasa sijui mnafananisha na ile mitaro ya pale samora au azikiwe?
ReplyDeleteOther than that masaa machache watu walikuwa kama kawa wanasonga kwenda kupiga box au kubeba wazeee...
Mchumi wa Texas
DAR HATUJAWAHI KUWA NA MAFURIKO BALI HUWA MAITAA INAJAA MAJI KUTOKANA NA KUTOKUWEPO MITARO YA KUPITISHA MAJI YA MVUA AU MITARO HIYO KUJAA TAKATAKA, UDONGO PAMOJA NA KUWA IKO CHINI YA VIWANGO. SASA HII YA MAREKANI INATUPA UNAFUU GANI SISI AU NI USHAMBENGA TU.
ReplyDeleteweweee usicheze na mvua hiyo iliyoleta hayo mafuriko. Hiyo mvua ingenyesha bongo ingekua gharika
ReplyDeleteHii picha ndio itakupa kujua akili ya wabeba maboksi na wavaa suti na tai juani bongo. Kwa ujumla wabeba maboksi hapa wanaongoza. Wavaa suti na jua la bongo ati wanaona kitu hiki ni sawa na na Dar mwe kweli bora uwe maskini wa mali kuliko akili. Hii ni sawa nakuwa mgonjwa ukajiona eti umzima kwa sababu kuna mwengine anayekuzidi kiuwezo anaumwa. Nyambaf kabisa. Kuna mdau mbeba boksi ka sum up kwa maneno machache tu "haya ni mafuriko na dar ni mvua."
ReplyDeleteWadau wengine bwana!!!Kama hamjui kitu si msisemeee..Nyie ndio mnao potosha maana ya kitu..ETI MIMI NAMUHITA HALLA SUBUANA WATAHALA.....Nini maana ya Halla sasa? Elewa sio HALLA ni Allah Subhanahu Wataalah (ASW)
ReplyDeletehivi jamani hawa ambao wanatoa maoni ni wabongo wenzangu ama ni usa citzen maana utazani baadhi sio watz hacha utumwa wa mawazo hata usa inaweza tokea mafuriko tena mvua ya siku moja. kumbuka Katrina ilifikia hatua mzee kichaka na serikali yake ikapiga marufuku kupiga picha maeneo ya uko kwa sababu ya umasikini pamoja miondombinu mibovu pamoja na ubaguzi nyie msikae mjiji mazuri hapo usa mkazani pote ni pazuri kihivyo sio tembea uone mambo na wao wana shida zao ni hayo tu.
ReplyDeleteNyie waTZ-in USA tatizo hamtaki kukubali ukweli,aheri annony wa April 29, 2009 1:23 AM na wa April 29, 2009 2:39 PM angalau wamekili, ila sote tunakubali USA iko mbali sana kiuchumi lakini sio sababu kwamba eti hakuna kibaya. Ubaguzi ni jambo la kawaida, hali ya hewa ni mbaya kuna baridi kali sana sometimes kuna joto kali mno kuliko hata la Dar. Hali ya sasa hivi hakuna ajira na ni nadra sana au hakuna kabisa tangazo la ajira kwa sasa. Sasa sijui hao wabeba box mnabeba vipi hizo box wakati viwanda vingi vinafungwa, Super markets bidhaa zinadoda. Kubalini tu nyie nnaojiona mko "peponi" wakati ukweli ni kwamba kwa sasa mnataabika. Mnaishi kwa hofu ya kurudishwa makwenu. Mimi nilitaka kuja kusoma huko USA karibuni,lakini nikashauriwa na dada mmoja pale US embassy kwamba kwa sasa hakufai kwa sie wa third world countries ambao tunategemea kazi ili tusome kwani sheria ni kali sana na hizo ajira hakuna, zilizopo labda ni za mahosipitalini na baby care,labda uingie street kuuza unga.
ReplyDeletejuu ya mafufuriko umeme upo, sasa nyi mnaojitia kukandia jiulizeni bongo mafufuriko km hayo umeme utakuwepo? alaf lazima mfaham km ayo ni mambo ya mungu, ye hufanya atakaklo, so kumcheka mwenzako au kusema mbona ameshindwa kuzuiya mambo km haya n i ukosefu wa elimu
ReplyDeleteWabongo mshatupa takataka kwenye mitaro ya TX kama mnavyofanya maeneo ya chama Mikocheni,mvua ikinyesha soo.Haya sasa!>Watanzania intaneshno loiters.Usipime!
ReplyDeleteso what??????????????????
ReplyDelete