JK akikutana na Viongozi wa Wizara ya Menejimenti ya Utumishi wa umma ikulu jijini Dar es Salaam leo asubuhi. Picha na mdau freddy Maro wa Ikulu

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Nashauri utumishi wajikite zaidi katika kuboresha utoaji huduma kwa jamii, uwajibikaji wa wafanyakazi wa umma, kutoa na kujitumwa kwa watumishi wa umma, kujibu maswali ya wananchi on time, kuheshimu wateja (jamii wanayoihudumia) badala ya sasa ambapo wametilia mkazo kwenye MAVAZI ambayo hayatusaidii wabongo! Kama ushungi unaupenda vaa mwenyewe Waziri Ghasia usilazimishe wengine!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...