Home
Unlabelled
JK arejea toka Saudia
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Moja ya mafanikio ya Mh. Rais katika ziara hii ni pamoja na kupata wawekezaji katika sekta ya kilimo kutoka Saudia. Hoja yangu inataka kuuliza hasa nini maana ya msimamo wetu wa kuwa kuwakatalia waafrika wenzetu ardhi kutoka Afrika mashariki na kwenda hadi Saudia wakati tunafahamu fika kuwa mwarabu hana rekodi ya kuwa mkulima hata siku moja. Je? hoja yetu bado ina nguvu? maana Mkenya ikiwa atapewa ardhi sio yake hata siku moja kwani rais wetu anabaki kuwa custodian.
ReplyDeleteHebu acha ujinga. Mbona mwafrika hana rekodi ya hata siku moja ya kujua utawala au uongozi wa jamii au nchi au kujua maana ya maendeleo lakini watu walikubali kumpa Obama kura zao??
ReplyDeleteDr Shein "..Mkuu umetukuta kama ulivo tuacha. Zaidi ya kusherehekea ukaimisho wa Jaji Munuo, Afande Manumba kaunda kikosi cha kuwakamata DECI na ameahidi akimaliza DECI ataanza kushughulikia viporo vya KAGODA, TANGOLD, MEREMETA na DOWANS.."
ReplyDeleteRais "..Mmhuuu!?.."
JK jenga gym ikulu naona wewe na mai waifu wako umnaitaji mambo kama hayo. Najua wachonga watachonga sana... lakini mimi nitakuwa nyuma yako.
ReplyDeleteBAADA YA NORWAY KUFANYA UCHUNGUZI WA KINA NA KUGUNDUA KUWA WIZARA YA MALIASILI IMETUMIA VIBAYA( WAKUBWA WAMEIBA BILLIONI 36)JUMLA YA TSHS.BILIONI 36 ZILIZOTOLEWA KWA AJILI YA KUENDELEZA SEKTA YA MISITU,NYUKI NA WANYAMA PORI.NIMESHANGAZWA NA KAULI YA MKAGUZI MKUU(CAG)WA SERIKALI KUWA NORWAY HAIKUPASWA KUFANYA UCHUNGUZI KIMYA KIMYA BILA KUWATAARIFU WAO.KINACHOGOMBA NI JINSI AMBAVYO TUNAYO UTAMADUNI WA KUPINGA VITU VYA MANUFAA KWA TAIFA,BADALA YA KUWASHUKURU NORWAY KWA KUWEZA KUFICHUA WIZI WA FEDHA WALIZOTOA AMBAZO ZINGEWEZA KUONGEZA AJIRA KWA WATANZANIA HASA KATIKA SEKTA YA MALIASILI HUYO MKAGUZI MKUU UTOUH ANALALAMIKA KUWA HAWAKUHUSISHWA...SWALI LANGU JE HUYO UTOUH ALIKUWA WAPI HADI PESA ZOTE HIZO ZINAFUJWA NA WATU WACHACHE KWA MANUFAA YAO? JE BADALA YA KUSHUKURU SERIKALI YA NORWAY KWA KUFICHUA PESA ZILIZOTOLEWA NA WALIPA KODI WAO YEYE UTOUH ANASHUTUMU JE ANALINDA MASLAHI GANI? JAMANI WATANZANIA HIZO PESA ZA MSAADA HAZICHUMWI KUTOKA KWENYE MITI HIZO NI KODI ZA BINADAMU WANAOFANYA KAZI AMBAO SERIKALI YAO IMEONA HURUMA NA KUWASAIDIA NINYI BAADA YA KUOMBWA NA SERIKALI YENU ILI KUIMARISHA SEKTA YA MISITU,UTALII NA MALIASILI KWA UJUMLA.WAO NORWAY HAWANUFAIKI CHOCHOTE LAKINI WANATAKA FEDHA HIZO ZIWASAIDIE NA ZIONGEZE AJIRA.SASA KWA SABABU KUNA WATU HAWANA BUSARA WANAANZA KUPIGA KELELE INAONEKANA WANAFURAHIA AU KUHUSIKA KWENYE UPOTEVU HUO.JAMANI HIVI WATANZANIA TUMELOGWA AU HATUNA AKILI TIMAMU.?
ReplyDeletesijui jk itakuwa pia amepitia maka kufanya hijja ndogo (umra)tunawasubiria kwa hamu hao wawekezaji wa kilimo kutoka saudia big up jk,karibu nyumbni kazi yako tunaiona kwa kiliimo ndio uti wa mgongo bila shaka utawapa bonde la mto rufiji kwani itakuwa shega kinoma maji ya mto rufiji yanamwagika bure baharin kila siku;hongera ALHAJI, JK.
ReplyDeletejamani Wadau mimi naomba mnisaidie kuhusu awamu hii ya JMK na vita dhidi ya UFISADI.
ReplyDeleteNawaomba wale wenye kujua sheria, uzoefu na sheria ama wanazuoni mnitoe kimasomaso hapa maana mimi naanza kuona ni usanii tu wa wanaojuana.
Nimechungulia mashtaka waliyonayo hawa wakubwa lakini kwa kauono kangu kadogo sioni kosa lolote la jinai(criminal) hivyo ni kwa nini wako kwa Pilato? Je Pilato atawatiaje hatiani kama hawajavunja sheria? Makaosa ninayoyaona ni ya kiutendaji tu (Misconducts).
Na mbona mashitaka hayasemi ni kifungu gani cha sheria walichovunja?? Au mahakama nayo inahukumu kwa nadharia tu??!!
Nawakilisha kwenu Mashitaka Nane kama nilivyoyanukuu Ippmedia dhidi ya Bwana Mramba na wenzake.
Shitaka la Kwanza:
kama watumishi wa umma, walipuuza mapendekezo ya TRA yaliyowataka kutoza kodi kwa kampuni ya Alex Stewart (ASSAYERS) (T) Government Business Corporation.
Shitaka la Pili:
wakiwa watumishi wa umma wanadaiwa kuidhinisha kibali namba GN 423/2003 kilichotoa msamaha wa kodi kinyume cha mapendekezo ya TRA.
Shitaka la tatu:
wakiwa mtumishi wa umma, walitoa msamaha wa kodi usivyo halali kwa kampuni hiyo.
Shitaka la nne:
wakiwa watumishi wa umma walitoa kibali namba GN 497/2004 kilichotoa msamaha wa kodi kwa kampuni hiyo kinyume cha mapendekezo ya TRA.
Shitaka la tano:
wakiwa mtumishi wa umma walitumia madaka yao vibaya kwa kutoa kibali namba GN 498/2004 kilichotoa msamaha wa kodi kwa kampuni hiyo kinyume cha mapendekezo ya TRA.
Shitaka la Sita:
wakiwa watumishi wa umma, walitumia madaraka yao vibaya kwa kutoa kibali namba GN 378/2005 kilichotoa msamaha wa kodi kwa kampuni hiyo kinyume cha mapendekezo ya TRA.
Shitaka la saba:
wakiwa watumishi wa umma walitumia madaraka yao vibaya kwa kutoa kibali namba GN 377/2005 kilichotoa msamaha wa kodi kinyume cha mapendekezo ya TRA.
Shitaka la nane:
kwa kutumia nyadhifa zao kwa makusudi na kutokuwa makini katika kazi yao, walisababishia serikali hasara ya Sh.11, 752,350,148.00.
Jamani ningekuwa mimi ndio Pilato ningenawa mikono na kusema "Mimi sioni kosa lolote walilotenda watu hawa, wachukueni nyie(Serikali) mkawahukumu kwa sheria yenu.
Wadau ninaomba mnisaidie hapo maana naelekea sasa kuuita huu mkakati wa kupelekana mahakamani kuwa ni wa kisanii au Viini macho!!
Nawakilisha
Mwenyenchi!
ebwana kumbe ile ndege ya raisi bado nzima inauwezo wa kusafiri umbali mrefu kiasi hicho?WAARABU MNAKARIBISHWA WANAO UMIA ROHO KIMPANGO WENU
ReplyDeletehivi huyu makamu wa rais wa tanzania hana kazi ya kufanya ni kumpokea rais kila siku? utamaduni mwingine ni wa ajabu na kupoteza hela ya walipa kodi tu. plz vice president find some thing else to do . chi bado changa na ina matatizo mengi ya kutatua na si kupokeana kila siku. dont be like john malechela kila akiongea anaongea kuhusu wapinzani wa kisiasa na jinsi ya kuwadhibiti.tired of this shit.
ReplyDeletewewe anon wa 5.33 nahisi ni mtu wa system unaefikiri sisi wote wajinga.
ReplyDeleteMoja: Obama sio mwafrika bali ni mmarekani mwenye asili nusu ya Africa.
Pili: sio kweli kwenye swala la rekodi ya utawala maana unasahau Nyerere, Nkrumah, Masire, Mandela, Nujoma, na pia bosi wa AVIVA insurance ambaye ni ex-Ivorian minister nk.
Hivyo usiwe unaandika tu kwa kuwa wewe ni mjinga basi unafikiri watu wote ni kama wewe endelea tu kutetea upuuzi ila ukumbuke upuuzi haukuwahi kumuendeleza mtu.
mzawa
hivi ni lazima Rais kupokelewa kila siku?
ReplyDeleteJAMANI, mbona watu mnaongea pumba humu?
ReplyDeleteObama sio mwafrika wala mzungu, yeye ni mixed race, sasa huku kujishebedua kunatokea wapi? ama kweli kiazi kikiwa kizuri, tunaita kiazi ulaya ila mende wa chooni ambaye ana rangi nzuri na anameremeta tunaita mende wa chooni sio mende ulaya
KAKA MICHUZI NAKUOMBA UZISOME NA KUZIZUIA COMMENTS ZA KIPUUZI MAANA HAZIJENGI JAMII,HIVI KWELI WAAFRICA HATUNA RECORDS YA UONGOZI? HIVI HUYU ALIYEANDIKA HIYO COMMENT ANAAKILI KWELI? AU ANAKURUPUKA NA KWA VILE ANATUMIA COMPUTER YA OFFICE HANA CHA KUFANYA? SITAKI KUSEMA MENGI MAANA UKIBISHANA NA MPUUZI NAWE UTAKUWA MPUUZI,NA WEWE MJINGA UNAYE TETE AKINA MRAMBA NA WENZAKE USIDHANI KILA MTU ANAAKILA KAMA ZAKO,KAMA HUONI KOSA NI WEWE NA UPEO WAKO WA AKILI,UJINGA WAKO NDIO HUONI HATA HAYO ULIYOYASEMA NI MAKOSA,UNAJIHUKUMU WEWE MWENYEWE KWA UPUMBAVU WAKO SIJUI WAMEKUTUMA?KUMBUKA WALE WALIKUWA NI WATUMISHI WA UMA SASA KAMA WEWE HUONI MAKOSA TULIZA KIDOMO NA ACHA SHERIA ICHUKUWE MKONDO WAKE ,ACHAKUTETEA UFISA WEWE
ReplyDeleteWatu hawafamu kwamba uongozi unaanza tokea kwenye familia na sio kwenye siasa. Kwa maana hiyo basi kila mtu ni kiongozi.
ReplyDeleteni kama anasema baba kama ulivyotuacha hakuna jipya deci tu ndiyo imeshika kasi sijui itakuwaje maana wananchi wankusubiria mwisho wa mwezi kwenye hotuba kujua hatma ya vijisenti vyao.hahahhahaha
ReplyDelete1.IPTL
ReplyDelete2.RICHMOND
3.KIWIRA
4.RADAR
5.JET YA PRESIDAA
6.EPA
7.BoT TWIN TOWERZ
8.INFORMATION/COMMUNICATION COMPANIES
9.EWURA VAT
10.VITALU VYA KUWINDA WAGENI
11.MT KILIMANJARO
12.INFRASTRUCTURE MBOVU
13.MEDICINE FEKI
14.MIKOPO ELIMU YA JUU
15.SCHOLARSHIP NJE YA NCHI (Tz)
16.UBALOZI WA ISRAEL-TZ
17.TAKUKURU
18.AJIRA
19.MUUNGANO WETU
20.MUAFAKA CCM/CUF
21.ATC KIMEO
nk nk,michuzi post hii usiibanie tena