katibu mkuu wa tff frederick mwakalebela akiviasa vilabu vya simba na yanga leo, siku mbili kabla ya mchezo wao wa marudiano siku ya jumapili jijini dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Grooarr Grooar Grooar! SIMBA ! do them!! Gonga them!!

    Red Lions of Msimbazi Street, am wishing you the best performance ever as you thrash the ailing Yanga who will be going to Jangwani Swampy Plain staggering.. we are together...

    Will this match be broadcast live on the State Television au kama kawaida recorded? Na sisi watu pori tutani?

    Simba Fan,

    mupozile@yahoo.com

    ReplyDelete
  2. TFF hamna kitu. Mtawasimamishaje wachezaji bila kuwatolea uamuzi? (kado na mgosi). Je mkipitia vielelezo na kukuta hawana hatia, mtawarudishiaje mechi walizokosa? Acheni uzembe na unazi, maana tunaona mnalofanya ni kuogopa tu mgosi asiwararue kandambili!!!!

    simba taifa kubwa tafuna tafuna kandambili hizo turudi msimbazi na heshima. Walichafua rekodi ya miaka 8 tunaianzisha tena mpaka walie!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...