HAKUNA KUPANDA WALA KUVUNA NI TANGAZO KATIKA KIYOYOZI OFISI ZA DECI MOROGORO KAMA LILIVYOBAMBWA NA MDAU JOHN NDITI

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. PETER NALITOLELAApril 18, 2009

    KAKA MICHUZI, HII DECI KUSEMA KWELI NI MRADI WA WAKUBWA NA WAKINA YOHANA MASHAKA AMBAO NI WEZI WA MCHANA WA WOSTRITI AMBAO MAMBO YAO MEREKANI IMEHALIBIKA SASA WAMEHAMIA TANZANIA KUWARUBUNI WALALAHOI. YEYE ANASHINDWA KUTOA USHAURI MZURI KWA SABABU HAJASOMA MUZUMBE UNIVASITI. ANGEKUWA MUTU WA MUZUMBE ANGEFANYAGA MAMBO YA MAANA ZAIDI YA KUWEKA MABANGO JUU CHINI CHINI JUU NA MATANGAZO WAKATI HERA ZETU AMEPELEKA USA.

    ReplyDelete
  2. Michu tafadhali futa comment juu hapo

    ReplyDelete
  3. Waliopanda mbegu,naona mbegu zimeliwa na panya!!Hili ni funzo kubwa kwa wadau tusiwe tunakurupukakurupuka kwenye hiv vimichezo vya kiujanja ujanja tu,Tusipende faida za harakaharaka bila ya kufanya kazi!!!chura fantastic chura bombastic churaaaaaaaaaaaaa!!!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...