Home
Unlabelled
maana ya kugawana umaskini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Nani alimpatia huyu jamaa heshima ya "Sir" au ni usanii tu?
ReplyDeleteNawewe jiite umbendavyo sisi tutafata tu ,ata ukijiita MTOTO poa tu,kivyako kimpango wako.
ReplyDeletekaka unayeuliza heshima ya sir kwa juma nature. njoo utuulize wanyamwezi TMK tutakujibu heshima ya huyu kaka nature kuitwa sir usianze tuuu kuuliza uliza kaka,huyu mtu yuko juuuuuuu vibaya huku kwetu mbona uulizi kwanini tunamuita kibra hayaa wali naziiiii naziiiii.
ReplyDeletemnyamwezi Abdallah Ngatunga TMK kubwa elufi zenyewe tatu tu........
Mimi binafsi namkubali juma nature, aka kibla, ni mwanamziki 'ambaye yupo' hayuko hewani, akijidhania yuko USA na au anaperform MTV, huyu yupo hapa ana anatengeneza mziki ambao uko 'grounded' ni muziki wa kisasa lakini katika mazingira halisi ya mtanzania wa kawaida wa mjini. Anatumi lugha kiufasaha, kwa kufikiria.
ReplyDeletemimi naona hakuna anaemkaribia kwa kufikiria mashairi yake!!!
The guy 'thinks' in kiswahili.
and I love it.
sio kama sisi wengine mara hatueleweki tuko majuu mara hapa, mara wanzania mara tumekuja leo tunawashangaa watanzania waliopo!!
tunashangaana wenyewe wakati sisi ndio sisi!!!
Mtu akienda majuu mara moja au kwa miaka kadhaa, tanzania anaiona kama nchi ya watu wengine na kuwa yeye tu ndio anaeelewa maisha. tunaishia kuwa hatuna raha, hatuna nchi nyingine, na hatutaki kuikubali nchi yetu.
Juma nature yuko juu sana hata asipotoa nyimbo teeeena!!