Home
Unlabelled
maandalizi ya ufunguzi wa kip-lefti yetu yaendelea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ni kawaida yetu Watanzania linalowezekana leo linangoja kesho, Ulituambia jumanne kua nisikuya ufumbuzi na nilijua tu Rais atakua KIWANJA nanikweli.
ReplyDeletekaka Misupu ebu waonyeshe watu hii link ya Hotel mpya itakayojengwa Dar
ReplyDeletehttp://www.inhabitat.com/2009/04/16/geo-architecture-hotel-inspired-by-rock-formations/
michuzi mbona sioni ile namba ya kulia kujua kuwa mi ni mtu wa ngapi?au unatupiga changa la jicho
ReplyDeleteKAZI TAYARI IMESHAKAMILIKA, TUKUMBUKE KILE KIPANDE KIBOVU CHA BARABARA KILCHO KARIBU NA HAIDERY PLAZA KILIZIBWA KAMA HIKI TUKADHANI KINATENGENEZWA LAKINI BAADAE KIKAFUNGULIWA BILA MATENGENEZO NA MPAKA SASA KINAFANYIWA MAHESABU YA MVUTO MPYA, HAWA NDIO MADIWANI WA CCM NDANI YA JIJI CHAFU.
ReplyDeleteKama hii kazi inzfanywa na wale BOT waliojenga viofisi viwili kwa USD 500 Million, basi usishangae kuambiwa kuwa kurekebisha hilo pothole imegharimu Shilling Trillion Moja.
ReplyDeleteLakini kusema ukweli, BOT, wanabei za ajabu sana. Pesa walizotumia kujengea hizo ofisi zingeweza kununua;
- Ujenzi wa mgodi mkubwa kabisa wa dhahabu; kama KMCL, GGM etc, au
- ujenzi wa meli kubwa kabisa ya kubeba container 1,000 na zaidi, au
- Unuzi wa dege kubwa kuliko yote duniani, A380, na bado ungepewa change ya USD 200 Million, au
- Hospitali kama Muhimbili, au
- Theluthi ya gharama ya ujenzi wa Steigler's Gorge HEP project.
Miradi hii ingekuwa ya maana zaidi kwani ni miradi inayozalisha. Steigler's Gorge ingekuwa hata ni zawadi murua kwa kizazi cha sasa na vijavyo kwa sababu mradi huu una uwezo wa ku-impact uchumi wa Tanzania directly na dramatically.
Mimi ninaomba kuwa awamu ijayo ya uongozi, serikali ijikite katika kufanya vitu muhimu. Ichague vitu vichahe na kuvifanya vizuri sana. Ninamuomba JK atapoanza awamu yake ya pili atumie nguvu zake zote kwenye;
- Miundombinu ya umeme
- Miundombinu ya barabara
- Mahospitali ya wilaya
Wananchi tutamshukuru akifanya hivyo na hata kuita miradi yote kwa jina lake.
Mimi nashangaa sana kipande hiki kupewa uzito mkubwa sana wakatio mashimo ya barabarani yapo mengi sana na hayajapigwa picha kama pale Hydary plaza na sehemu zingine lakini hili lililopo karibu na EPA linapewa uzito na kuwekewa alama na viashiria sijui kwa nini
ReplyDeletemimi watanzania wananifurahisha ninapowasikia wanazungumzia fly overs!!Last week nilizama in what used to be barabara ya lami mitaa ya Magomeni gari ikanoki engine, sasa kama hichi kitobo kinachukua miezi kuziba hizo flyovers si zitakuwa crashovers??
ReplyDeleteYaani wewe kaka Michusi, kwa kweli baba'ngu ninakupeeee..ninakupenda kweli!!! Endelea tu kuwafalia njuka watatengenesa hiyo sehemu... Umefanya kasi nzuri sana mheshimiwa mkuu wa wilaya ya nanihii!!
ReplyDeletejk yupo nje kutafuta wafaziri wa kumsaidia katika ufumbuzi wa kep left iyoo
ReplyDeleteMsianze lawama zisino na kichwa wala miguu Wabongo! Sababu kwa nini hiko kipande hakijamalizika mnazijua fika ila mmezoea kutwanga story vijiweni! Swala nikwamba, nawafanyia favour kuwakumbusha kwamba hakuna WAKUU WAKO MBIONI KUTAFUTA MWEKEZAJI ATAKEYEFUTILIA MBALI VIBONDE HIV, halafu tuone mtazungumzia nini tena sijui!
ReplyDeleteLIYUMBA STREET
ReplyDeletemichu pliz!!!