January 20, 2007: dionis malinzi akimfukuza kaka yake, james, ili apate kupiga picha na athumani machupa jijini London alikoenda kusaka timu wakati huo.

Habari kutoka Sweden zinasema mhambuliaji wa Simba Athumani Iddi machupa tayari ameanza kucheza jana walitoka sare na Ljungkile kwao na aliangushwa kwenye box wakapewa penalt na kusawazisha bao ikawa 1-1. habari za kukamilika usajiri wa machupa kwenye site yao.
Mchezaji mwingine Willy John anasubiri karatasi za uhamisho alikuwa na timu anacheza hapa daraja la tatu.
Tovuti ya timu ya machupa ni:
(Angalizo: Wadau wa swedene tunaomba tafsiri tafadhali)
Tanzanias landslagsman Mohammed Rajab spelklar Tanzania squad Mohammed Rajab spelklar



Mohammed Rajab är spelklar lagom till årets andra match idag mot Ljungskile (start kl 17). Mohammed Rajab is spelklar in time for the second game today against Ljungskile (starting at 17). Den 24-årige anfallaren är landslagsmeriterad och kommer närmast från Danska Ålborg. The 24-year-old attacker is the national team qualified and comes from the Danish Aalborg.

Karriären började i Simba Sport Club i huvudstaden Dar es Salaam, en av de största klubbarna i Tanzania, där han spelade fram till och med 2007. His career began in Simba Sports Club in the capital Dar es Salaam, one of the biggest clubs in Tanzania, where he played until 2007. Förra året var Mohammed i Danska, Ålborg. Last year, Mohammed in Danish, Ålborg. Han gjort 6 U23 landskamper och är i år aktuell för landslaget. He made 6 U23 international and is this year for the current squad.

- Jag är en kontroversiell Striker som gör mål, berättar Mohammed kort om sig själv. - I am a controversial Strike making goals, "says Mohammed briefly about yourself. - att Vasalund spelar snabb och teknisk fotboll passar mig utmärkt. - Vasalund to play quick and technical football suits me well.

- Det är en spännande spelare och ett bra tillskott i vår trupp, säger Huvudtränare Peter Lenell - It is an exciting player and a good addition to our squad, "said head coach Peter Lenell
------------------------------------------------------------------------

kaka pole na kazi,
 mimi ni mmoja wa wadau wa glob yako, ni mkazi wa
Kinondoni Kanisani, nimejaribu kutoa tafsiri ya hayo maneno kama
nimekose mtanisamee.
hiyo chini ni tafsiri ya maneno hayo ya kisweedish

That anfallare to vasalund Tanzanian 
country strike man Mohammed Rajab spelklar
Mohammed Rajab is spelklar moderate to this year's second match today
against Ljungskile (starting at 17). The 24-year attacker is
landslagsmeriterad and comes from Danish Ålborg Havn. His career began
in Simba Sports Club in the capital Dar es Salaam, one of the largest
clubs in Tanzania, where he played up to and including 2007. Last year
was Mohammed in Danish, Ålborg Havn. He made 6 U23 are and is this
year up to date for national team.
I am a controversial Striker which makes objective, "explains Mohammed
short on itself. -To vasalund play fast and technical football suits
me excellent. -It is an exciting player and an excellent addition to
our troops, "says Peter Lenell Huvudtränare EDITORS

mdau suleyman omary. kinondoni dunga st.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. Qualified to attack Vasalund
    Tanzania squad Mohammed Rajab spelklar
    Mohammed Rajab is spelklar in time for the second game today against Ljungskile (starting at 17). The 24-year-old attacker is the national team qualified and comes from the Danish Aalborg.

    His career began in Simba Sports Club in the capital Dar es Salaam, one of the biggest clubs in Tanzania, where he played until 2007. Last year, Mohammed in Danish, Ålborg. He made 6 U23 international and is this year for the current squad.

    - I am a controversial Strike making goals, "says Mohammed briefly about yourself. - Vasalund to play quick and technical football suits me well.

    - It is an exciting player and a good addition to our squad, "said head coach Peter Lenell

    ReplyDelete
  2. napenda kuisoma hiyo habari lakini naweza kufanyaje ili hiyo page itafusiriwe? nisaidieni.

    Machupa hongera sana

    ReplyDelete
  3. Mohammed Rajab is spelklar in time for the second game today against Ljungskile (starting at 17). Mohammed Rajab is spelklar in time for the second game today against Ljungskile (starting at 17). The 24-year-old attacker is the national team qualified and comes from the Danish Aalborg. The 24-year-old attacks is the national team qualified and comes from the Danish Aalborg.

    His career began in Simba Sports Club in the capital Dar es Salaam, one of the biggest clubs in Tanzania, where he played until 2007. His career began in Simba Sports Club in the capital Dar es Salaam, one of the biggest clubs in Tanzania, where he played until 2007. Last year, Mohammed in Danish, Ålborg. Last year, Mohammed in Danish, Ålborg. He made 6 U23 international and is this year for the current squad. He made 6 U23 international and is this year for the current squad.

    - I am a controversial Strike making goals, "says Mohammed briefly about yourself. - I am a controversial Strike making goals, "says Mohammed Briefly about yourself. - Vasalund to play quick and technical football suits me well. - Vasalund to play quick and technical football suits me well.

    - It is an exciting player and a good addition to our squad, "said head coach Peter Lenell - It is an exciting player and a good addition to our squad," said head coach Peter Lenell

    ReplyDelete
  4. daraja la ngapi hii timu?

    ReplyDelete
  5. BİG UP MACHUPA , MANGU ATAKUZİDİSHİA MWANA , KAZA BUTİ HAKUNA KİNACHOSHİNDİKANA , WE ' R PROUD OF U

    ReplyDelete
  6. I am confused. Is anyone out there trying to help or seeking to make life all harder for us readers? Machupa please come to our rescue...

    ReplyDelete
  7. HEKO CCM KWA USHINDI, WAPINZANI HAWANA WACHEZAJI ULAYA KWA SABABU HAWANA SIFA ZA KUCHEZA MPIRA ULAYA, CCM OYEEeeee!

    ReplyDelete
  8. Hongra bwana Machupa

    ReplyDelete
  9. Hongera bwana Machupa.Mr Dioniz Malinzi mchango wako wa kuinua soka la bongo unaonekana na bado tunauhitaji sana tu.Endelea kuwatafutia wachezaji wetu timu za ulaya angalau tuwe na wachezaji kadhaa wa kimataifa

    ReplyDelete
  10. jamani mnazidi kutuchanganya ebu wekeni hayo maelezo kwa kiswahili.si mnajua watu tupo kwa MTONGOLE huku, english not reacheable

    ReplyDelete
  11. Baba UbayaApril 21, 2009

    huyo mwandishi aliyeandika hiyo habari kwa kiswedish naye atakuwa hajakula jaramba la kazi yake.yani inakuwa ngumu kueleweka kwa ufasaha ktk kingereza na wala siwezi kukubali kwamba wote walitafsiri wame-changanyaX2 mtiririko wa sentensi na hizo quotes.
    yani habari imepinda kinoma.
    by the way,hivi inawezekana kweli mchezaji akajipamba kuwa ""controversial"???au ni mtu wa kujirusha ktk 18 ili kupata penati??haha

    ReplyDelete
  12. KWA WALE WANAOTAKA TAFSIRI KWA KISWAHILI NITAWASAIDIA KWA KIFUPI TU (SHORT AND CLEAR). KWAMBA HUYO JAMAA AMEKAMILISHA TARATIBU ZA USAJILI KTK HIYO TIMU INAYOITWA VASALUND NA IMEELEZWA HAPO KUWA JAMAA ANA KIWANGO CHA KUCHEZEA TIMU YA TAIFA (WANA MAANA HUKO BONGO) ALIANZIA SIMBA AMBAYO NI MOJA YA TIMU KUBWA KABISA TANZANIA NA KABLA HAJAJA HAPA ALIKUWA DANMARK AMABAKO ALICHEZEA TIMU IITWAYO ÅLBORG. KOCHA MKUU WA TIMU HIYO AMEMSIFIA KWA KUSEMA KUWA NI MCHEZAJI MZURI ANAEFAA KTK KIKOSI CHA TIMU YAO. KWA YULE ANAETAKA KUJUA HIYO TIMU NI YA DARAJA LA NGAPI JIBU NI KUWA NI YA DARAJA LA KWANZA (SIO PREMIER) YAANI BAADA YA LIGI KUU NDIO HIYO INAFUATA.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...