The Central focus of the Summit is seeking ways to advance the health and prosperity of women and children by addressing high priority areas including but not limited to, HIV/AIDS, Malaria, reproductive health, and maternal and child health.
The First Lady is accomkpanied by TACAIDS chairperson Dr.Fatma Mrisho and Director for prevention Services in The Ministry for Health and social Welfare Dr. Donan Mmbando. Photos by Freddy Maro
"African First Ladies Summit" kwa nini isifanyikie Africa?
ReplyDeleteHivi huyu Nancy na yuleyule ninaemjua mimi aliyejifanya anaolewa na jamaa wa Dallas halafu akapigwa chini au mwingine
ReplyDeletemama slama kwa kpendeza duh, huyu mama mavazi yanayompendeza ni vitenge, na sio suti kwa sana.
ReplyDeletesasa hiyo miwani kichwani ya nini?
ReplyDeleteNancy duh e bwana u mzuri sana sana, Mungu wangu I never knew kwamba kuna wachagga wazuri hivi!!!!??? Please nipm basi hapa hrngonyani@yahoo.com. Michuzi chonde chonde naomba usiibanie hii hata sisi tunapenda kuoa kama wewe.
ReplyDeleteLol aliyecomment kwamba hajui kuna wachaga wazuri hivi...just fyi wachaga ndo wanaongoza kwa uzuri wa sura bongo
ReplyDeletemkuu wa wilaya usinibanie
wewe uliouliza miwani ya nini kwani umeona ya nini pumbavu wee wivu wane utaanza sasa hivi .pumbavu wee hata siku moja hamuezi kusifia mtu?? Nancy umependeza sana na mama yetu umependeza sana sana michuzi juu na wewe unaesema wachaga haukujua ni wazuri basi sio mtanzania .maana hamna watoto wazuri kama wachaga ka taharifa yako na watanzania niwazuri sana tuu waone hapo juu mama salma na bi nancy wanavyo meremeta .tanzania juu daima
ReplyDeleteNANCY MZURIIIII JAMANI TUKUBALIANE KWA NINI HAMKUBALI?????
ReplyDeleteHuyu demu mzuri saana.
ReplyDeleteI mean Mrs Kikwete ni mzuri saana.
ReplyDeletejamani nimefurahi kumuona mama salma .jamani mzuri na huyo dada hapo ni nani ??mzuri kweli bongo kuna chuchu sio mchezo!!
ReplyDeleteWoooh!Nancy wakilisha mpz wangu uko juuuuuuuuuuuuuuuu umependeza sana acha waosha vinywa watachonga sana lkn ukweli ww MREMBO!Rose
ReplyDeletewachagga tu wazuri na ndio manake tukipendwa hatuachiki, mnasema ving'ang'anizi.wewe utamuacha huyo dada yangu ili ukapende nini.Nancy kwililililii, chamecha ndao
ReplyDeleteDuniani kila mtu ni mzuri. Wachanga wanatumia limbwata ili wapendwe, nani asiyejua ili?
ReplyDeleteMama Kikwete ni mzuri jamani duh!!!
ReplyDeleteAAH WAPI ETIWACHAGA HAWAACHIKI NANNI KASEMA MBONA ME SIO MCHAGA NA NIMEMPINDUA MCHAGA KWA JAMAA FULANI NA AKAACHIKA VIZURI NYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
ReplyDeletelabda uzuri tu,kwa mambo ya pwani awajui kabisa wao na wanaume wao ,shepu uwaga mbaya sana kwa wachaga labda sura.mdau ca
ReplyDeletehahaha, nimecheka sana,eti wachaga wanaongoza kwa sura nzuri bongo!!! hiyo kali,labda niseme wanaongoza kwa wizi,kwa uzuri hawapo hata kwenye 10 bora..
ReplyDelete