mbunge wa karatu dk. wilbroad slaa (wa tatu shoto) na bingwa wa zamani wa dunia wa mbio za mita 1500 filbert bay (wa pili shoto) na wadau wengine wakishiriki katika marathon ilofanyika wikiendi ilopita huko karatu kusaidia mapambano dhidi ya malaria.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 8 mpaka sasa

  1. Hivi Filbert Bayi ameshindwaje kuwapandisha watanzania wengine kwenye riadha. Mbona haigi mfano wa wenzetu wa Kenya hivi ni mbinafsi au ni ukiritimba wa nchi yetu tuu. Naomba jibu kwa walio na ufahamu wa hili suala jamani....mmmmmmmmmmmm!!!!!!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Mdau wa kwanza usifikirie kuwa Kenya wanapandishina,wenzetu wana ari ya kuwa wakimbiaji.Wanapenda kukimbia si kama sisi tunang'ang'ania soka ambalo linatupiga bao vile vile.Kama sikosei Filbert Bayi alianzisha program za kukuza vipaji lakini ni watanzania wangapi walishapeleka watoto wao? Vile vile watanzania tuna kasumba kuwa michezo haina faida maishani na hili ndilo linaloturudisha nyuma.Wazazi wengi wanawa-discourage watoto wao kuna watoto wengi wana vipaji vya michezo mbalimbali lakini wazazi ndio wanakuwa vizuizi vya kutokukuza vipaji hivyo.

    ReplyDelete
  3. Mhu! huyo namba 1759, itabibi anipatie namba yake nikamfundishe mibio ya kufa mtu!
    Mulox

    ReplyDelete
  4. Namsifu sana huyu mbunge haipiti wiki kuna habari ya kitu akifanyacho jimboni kwake sio wenzangu namimi mpaka uchaguzi ukaribie ndio waonekane jimboni,big up mzee wa kulipua mabomu.

    ReplyDelete
  5. mbunge anahitaji marathon kweli kweli maana bp anamkaribia...

    ReplyDelete
  6. Hongera sana Mbunge !kwa style mpya ya mavazi ya michezo,suali ya khaki kweli wewe mjeshi

    ReplyDelete
  7. safi sana

    ReplyDelete
  8. mbunge slaa vipi suruali iyo na mokasi mbioni???

    dada 1759 dhaaa!!acha basi "kuhamasisha watu"sawa mtoto mzuri eeeeh,tukikushika km uyo annon apo juu asemavi!?utalia sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...