Habari yako kaka,
Naomba uwape hii wadau,
Mimi ni mtanzania natafuta scholarships za Europe hasa Msc in Finance na zingine zinazoendena na hizo. Jamani naombeni msaada wadau jinsi wengine wanavyo pata na michongo jamani nikasafishe lugha
mnaweza kuwasiliana na mimi
Email:
nejaphet2@yahoo.uk
Scholarship? Scholarship ni Mikono yako na nguvu zako huku. Piga box pay for yourself.
ReplyDeleteWasiliana na Makulilo Jr. ndiye mtaalam wa michongo hiyo lakini na wewe uwe umejiandaa angalau kwa pesa za stempu na kulipia kwenye internate cafe.
ReplyDeletescholarship zipo,ila kwa sasa una muajiri?yaani umeajiriwa?ni kigezo muhimu kinachotakiwa
ReplyDeletehttp://www.unibocconi.eu/wps/wcm/connect/SitoPubblico_EN/Navigation+Tree/Home/Schools+and+Programs/Graduate+School/Prospective+Students/?lang=en
ReplyDeletehttp://www.sdabocconi.it/en/mba_and_master/mcf
angalia hapa
ReplyDeletewww.makulilo.blogspot.com
scholarship ya Msc Finance? Ili ujifaidishe mwenyewe, piga kazi. kama unataka udhamini tafuta ya kutumikia jamii.
ReplyDeleteHabari,
ReplyDeleteNimesoma tangazo/ombi lako kwenye blog ya Michuzi khs kutafuta masuala ya scholarships ya mambo ya Finance.
Nimekutumia personal e-mail ktk hiyo E-Mail uliyoandika hapo nejaphet2@yahoo.uk lakini nimepata failure notice.Naomba uniandikie kwenye e-mail yangu msauzi101@yahoo.com AU ernest_makulilo@yahoo.com tuweze kusaidiana kupeana hizi habari uanzie wapi ktk kutafuta scholarships.
Kabla sijaongea chochote kile, nakuomba uwe na desturi ya kupitia hizi blogs mbili, ni maalumu kwa masuala hayo ya scholarships. Moja ni www.makulilo.blogspot.com na nyingine ni ya Da Subi
www.nukta77.blogspot.com
Mimi ni MAKULILO, Jr. Kiasi fulani najua mambo ya scholarships yanaendaje na kushirikiana na watu kuwapa taarifa inakuaje, na pia nini cha kujiandaa na kuweza kufanya good option.Ni msaada wa bure huu wa kushauriana.Kama hutojali, ni vyema kwanza ningejua sifa zako za kielimu kwa maana ya bachelor's degree yako umesoma kozi gani, chuo gani na GPA yako ni ya ngapi?Hivi vitanisaidia kukuelekeza uanzie wapi na umalizie wapi.Pili ninapenda kujua ur professional experience...umeshawahi kufanya kazi ktk anga zipi ili kukupa uzoefu au ni graduate bado hujaanza kazi??Na kitu kingine ningependa kujua kama upo Tanzania au nchi gani.Maana kuna scholarships za ulaya kama umeshawahi kuishi nchi fulani huwezi pewa scholarships.
Nadhani baada ya kujibu mail hiyo, tutajua nini tushaueriane.
Siku njema, natumai utasoma hizi comments na kuweza kuwasiliana nami, na pia kufuata mawazo ya watu wengine hapa ambayo ni ya msingi kuyapa kipaumbele.
MAKULILO, Jr.
www.makulilo.blogspot.com
Jamaa anatafuta shule kweli aua anataka kulowea nje? maana anaongelea mambo ya kusafisha lugha. awe serious, kama ni shule watu wakusaidie. lakini kama unataka kwenda nje kwa sababu tu umesikia watu wanakwenda huko (Maana waafrika tunapenda sana kukimbilia nchi za wenzetu) basi sema pia ili watu wasaidie kukuonya kuhusu ndoto yako
ReplyDeleteMajitu mingine huku yana roho mbaya kama majizi,kama huwezi kumsaidia si uache kuandika,yeye kaomba msaada jibu ni yes or no..au jibu hujui...kubeba box si umependa wewe!!yeye anataka kusoma acheni roho za korosho
ReplyDeletewatu mna roho za kwanini khaa???
ReplyDeleteasante makulilo nafikiri na wengine zitatusaidia izi links na kuwasiliana nawe pia pindi tukiitaji kujiendeleza kwa ma-PhD
asante
Cheki ni hii site vilevile ina links kibao za scholarship, mi nimepata yangu kupitia hapa: www.varsitycollegetz.ning.com
ReplyDeleteTembelea www.taaluma.blogspot.com kuna scholarship zimeorodheshwa uangalie inayokyfaa.
ReplyDelete