LATEST STANDING TANZANIA VODACOM PREMIER LEAGUE 2008/09 

No TEAMS P W D L GF GA GD PTS
1 Young Africans 21 16 3 2 38 13 25 51
2 Simba SC 21 11 4 6 30 21 9 37
3 Mtibwa Sugar 21 10 5 6 29 17 12 35
4 JKT Ruvu 21 7 9 5 29 24 5 30
5 Kagera Sugar 21 8 5 8 18 20 -2 29
6 Tanzania Prisons 20 8 5 7 21 26 -5 29
7 Azam FC 20 7 5 8 28 28 0 26
8 Polisi Morogoro 21 6 7 9 22 21 1 25
9 Toto Africans 21 7 4 10 19 24 -5 25
10 Moro UTD 21 5 7 9 29 30 -1 22
11 Polisi Dodoma 21 3 9 9 14 23 -9 18
12 Villa Squad 21 4 3 14 19 49 -30 15

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 13 mpaka sasa

  1. Simba wanajikongoja saana, inaonyesha yanga ni timu kali mno. Sawa na darasani, mwanafunzi wa kwanza apata 90 wa pili 60.

    ReplyDelete
  2. I Congratulate the TZ Champion Yanga; vijana wa Jangwani. Simba ZIIIII, Yanga OYEEEE. Kimanu manu, Simba wanakimanua. Yanga OYEEE.

    ReplyDelete
  3. SIJUI MSIMAMO HUU UNATUONESHA KUWA BAADHI YA TIMU ZIMESHAMALIZA MECHI ZAKE AU BADO? KWANI HAUSEMI NI MECHI NGAPI ZINAZOTAKIWA KUCHEZWA NA KILA TIMU.

    ReplyDelete
  4. wewe anon wa april 21,2009 8:12 AM.
    ina maana hujui hata kufikiria ni game ngapi zimechezwa na ngapi zimebakia,kweli wewe ni ziiii na nao Simba ni ziiiiiiiii.Yanga OYEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE.

    ReplyDelete
  5. wewe anony wa April 2009 8:12 am kaa kimya kama huna cha kusema na inaonekana tosha kuwa huna hoby ya mpira wa miguu, husituchafulie kijiwe chetu, Table inajieleza, kwa kukusaidia kila timu inacheza mechi nyumbani na ugenii na kila kila timu inayoshiriki ligi kuu,it is simple mathematic as table expains itself, jione ni jinsi gani ulivyo kurupuka kuchangia' utumbo'.

    ReplyDelete
  6. 9:37am na 9:47am INAELEKEA HATA SHULE MLIFELI, 21 GAWA KWA MBILI UEAPATA NGAPI?(mechi zilizochezwa ni 21 ikiwa ya nyumbani na ugenini) SIJUI AKILI ZENU ZIMO NDANI YA MAJI? HAIWEZEKANI TIMU KUCHEZA MECHI 10.5 UGENINI NA 10.5 NYUMBANI JUMLA KUWA 21. UNAPOANDIKA TABLE NI LAZIMA IKAMILIKE ISIWE NA MAPUNGUFU YOYOTE.

    ReplyDelete
  7. hawa moro utd vipi tena,?ndo kusema wanaiga ligi kweli mpira bongo tamabarare.NIMI NI SIMBA LKN sijapenda kabisa gap la mshindi wa1 na wa2 ni kubwa sana ukizingatia mechi ni chache hii inaua mpira na ladha ya ligi hata mapato yanapungua kwa timu zetu.
    angalia la liga barca walianza kuongoza kwa tofauti ya pts 12 waspain wengi waliacha kuangalia ligi wakijua barca champ, sasa hiv zimepungua mpk 6 fans wamerudi na madrid wanazid kukaza

    MAN UTD tulivyoongoza ligi kwa pts 7 mapema na game mkononi ligi ilikosa msisimko kbsa lkn angalia sasa hivi BPL ilivokuwa moto wa chuma na mapato yanavyozidi kupanda

    Najua mtanipinga lkn kimaslahi hata huku nje vyama vya soka vinaongea kiutu uzima na clubs ili kuleta msisimko wa ligi na kuongeza mapato. TFF kuweni macho na hili mpira unakufa....

    ReplyDelete
  8. Inaonyesha labda amefanya haraka kuandika hiyo message.... la sivyo hajui LIGI ya Tanzania inavyokwenda

    ReplyDelete
  9. duh Simba wanaweza kukosa nafasi ya pili kwani timu wanayocheza nayo mechi ya mwisho iko kwenye hali mbaya ya kushuka daraja.

    ReplyDelete
  10. Toto Africans - mtaa wa Kishamapanda, pale uchochoroni kuelekea Uhuru - kwao Salama. Bado mpo pale? Ama kweli miaka hupaa...

    ReplyDelete
  11. Kwa taarifa yenu watu wasiofahamu uendeshaji wa mpira hapa nchini, tofauti kubwa ya pointi kati ya wa kwanza na wengine inatokana na tofauti ya matumizi makubwa ya fedha kwa timu inayoongoza ukilinganisha na nyingine kama ilivyo kawaida ya kila kitu sasa hivi hapa TZ na wala sio uwezo wa uchezaji ndio maana wakitoka nje ya ligi hii hawaonyeshi uwezo kiasi hicho. Yanga "wamewezeshwa" kiasi kwamba wana uwezo wa kuamua na kuinfluence lolote katika ligi hii. Wadau wote wanalijua hili ila hawalisemi kwa kuwa wahusika watadai ushahidi wakijua kuwa masuala yao yanafanywa kwa siri kwa hiyo ushahidi wa kukubalika kisheria hauwezi kupatikana, ila ktk uendeshaji wa mpira wetu hakuna siri ya kudumu.

    ReplyDelete
  12. wewe anon wa april 21,2009 8:12 AM kenge sanaaa... Table zote huwa hawaoneshi timu imebakiza mechi ngapi ila kwa hesabu kama mfuatiliaji wa mpira wa miguu utajua... Angalia hata table ya england(http://news.bbc.co.uk/sport2/hi/football/eng_prem/table/default.stm)..Tanzania kuna timu 12, kwa mechi ya nyumbani na ugenini jumla timu inacheza mechi 22.. hapo table inaonyesha P ni 21(mechi zilizochezwa na timu so far ) kwa hiyo kila timu imebaki na mechi 1 yaani (22-21=1)... vipi ulisoma history nini?

    ReplyDelete
  13. SIMBA TAIFA KUBWA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...