neshno likiwa limeshona siku yanga ilipokipiga na al ahly. siku hizi familia nzima inakwenda mpirani kwani ni raha na salama kila upande



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 11 mpaka sasa

  1. mkapa aliahidi kutujengea kiwanja kabla hajaondoka madarakani ni vizuri katimiza ahadi,
    UMEFIKA WAKATI WA KUAHIDIWA HUDUMA MUHIMU KWA JAMII KAMA
    .MAJI
    .UMEME
    .NA ELIMU NA AFYA.
    TUNA VYANZO VYA MAJI YAMETUZUNGUKA KULIKO NCHI YOYOTE DUNIANI.
    KAMA LAKE VICTORIA ,NYASA, TANGANYIKA, NA MITO LUKUKI NABAHARI TELE. INAKUWAJE WAARABU WAKO JANGWANI LAKINI KILA NYUMBA KUNA BOMBA LA MAJI TELE LAKINI SISI MAJI NI YA KUPIGANA NGUMI.
    AHADI ZA MAANA ZITAKUJA LINI NDUGU WADAU MI HILI JAMBO LINANIKERA KWELIKWELI KWANI LIPO NDANI YA UWEZO WA SERIKARI.

    MBONA WABUNGE WANA MAPOSHO YA KUTUPA SH MILIONI 7 WANATIA MFUKONI KWA MWEZI .KAZIGANI WANAIFANYA YA KULIPWA HIVYO???????????????

    MJENGA NCHI

    ReplyDelete
  2. Uwanja huu ni zawadi kutoka serikali ya China.

    Hatujajenga kwa pesa yetu wala elimu yetu. China vilevile wametuzawadia treni. Lini tutaacha kuwa ombaomba?

    ReplyDelete
  3. Tanzania tukiwa makini, umaskini tutausahau kabisaaaaaa! Chonde chonde JK unapoendelea kuwashughulikia mafisadi, rekebesha pia sekta za kilimo na madini. Wa-TZ tunakuunga mkono kwa umakini wako na tunaamini tutafika mahali pazuri. Mungu Ibariki Afrika, Mungu ibariki TZ, LONG LIVE JK.
    Mvuja Jasho

    ReplyDelete
  4. nyomiiiiii.....

    ReplyDelete
  5. Yes, Anon wa kwanza umepatia na uko sawa kabisaa

    Mkapa aliahidi na kutimia

    Sasa JK ametuahidi maisha bora kila mmoja wetu na tumeyapata, na sasa tunashuhudia ubora wa maisha kila nyanja kuma vile:
    1. Umeme ni wa mgao
    2. Hamna uhakika wa maji salama
    3. Ajari bado mwendo mdundo
    4. Michango mashuleni bado mzigo
    5. Mtanzania anaioshi kwa kima cha chini kabisa
    6. Mzigo wa kodi kwa mtanzania huyu bado unamwelemea
    7. Wabunge wa TZ wanapata zaidi ya Milioni 6 kwa mwezi, hawakatwi kodi hata senti ili wafaidi wao tu maisha bora
    8. Mauaji wa albino yanazidi kuongezeka huku kukiwa hamna haja ya kuwashitaki wahusika
    9. NK
    Duhhh, kwali MAISHA BORA tunayoo

    Je ataendelea kutekeleza ahadi zake?

    ReplyDelete
  6. WACHINA HAWAJATUJENGEA KIWANJA BURE HAYO NI MALIPO YA MADINI WANAYOTUIBIA ACHENI UJINGA.

    ReplyDelete
  7. wachina wanakuibieni madini au mnawapa wenyewe, wacha ujinga ww anon said, kwann na sisi tushindwe kuwaibia wao, waswahili hawana shukurani tu

    ReplyDelete
  8. acheni kuponda nchi yenu nyie!!! nina wasiwasi hao wanaoponda si watanzania. International community inafahamu tanzania tunajitahidi katika nyanja nyingi, anaglieni statistics za world bank na IMF, sio kupayuka tu. Tatizo letu sisi tuna population kubwa saana kuliko uwezo wetu.

    ReplyDelete
  9. Ukiona unasifiwa na IMF na World Bank ujue unachemsha, acha ushamba...wanataka ukakope zaidi wao waendelee kula interest. Let us use our own resources

    ReplyDelete
  10. MDAU WA 6:12 SAWA KABISA. CHINA INAONGOZA KWA EXPLOITATION NA NDIYO INA FEDHA KULIKO SERIKALI YOYOTE DUNIANI.
    HAWA JAMAA WAPO KILA KONA. WAPO ANGOLA, ALGERIA, SUDAN, ZAIRE NA BONGO. UNAFIKIRI WANATOA MSAADA BURE.
    NYERERE ALISEMA,"WATANZANIA UCHUMI TUNAO LAKINI MNAUKALIA."
    WANJA HILO HAKUNA MTU MWENYE MAWAZO HATA KUANZISHA MASHINDANO ILI KUCHNAGISHA FEDHA. AIBUUU WANDENGEREKO NA WAMATUMBI NYIEEEE

    ReplyDelete
  11. Jibu kwa mdau 12;51. sio kwamba nawasifia IMF na World bank, nakubali hao hawana nia njema na nchi zinazoendelea. nilichokuwa naamanisha ni kwamba, statistics zao zinaonesha Tanzania ni miongoni mwa nchi zinazojitahidi katika maendeleo. Tungekuwa ni nchi ndogo, tungeonekana tupo mbali. tatizo letu ni nchi kubwa yenye watu wengi, na population inakua kwa kasi especially dependants ie kids

    Mdau toka Bariadi, Ikungulipu

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...