Ndugu Michuzi, 
Kwa kupitia katika mtandao huu wa jamii ninapenda kuwakaribisa watanzania wote katika semina ya siku moja ya neno la Mungu.Semina hii itafanyika siku ya  jumatano tarehe 04.22.09. 

Mkurugenzi wa kituo cha Agape Television  ambae pia ni mchungaji na kiongozi wa Agape International Ministry zenye makao yake makuu Mbezi Beach Dar-es-alaam atahudumia. Mtumishi wa Mungu amejiandaa kufundisha na kuombea watu wenye shida mbali mbali.Tunaomba kila atakae soma tangazo hili amtaarifu mwenzake.

Location: Ukumbi wa DaySpring Bible Church, 
2505 Irving 
Tx 75062
Time:Kuanzia saa moja kamili jioni  kwa saa za Texas.
Kwa maelezo zaidi wasiliana na: 
Pastor Abisalom Nasuwa 214 554 7381,
Pastor Emiliana Ntwina 2148685151.
Karibuni sana.
Pastor AbisaloM Nasuwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...