mashabiki wa simba
mashabiki wa yanga
wanja lilishona kiasi, ingawa si kiivyo. mtu alfu 60 si mchezo ati
wadau jesse na mashaka ni mashabiki wakubwa wa simba na bwawa la maini
mvua ilitaka kuleta noma, lakini ikapita
mwenyekiti wa simba hassan dalali kabla ya gemu kuanza
ramadhani chambo wa simba anaruka juu kushangilia bao alilowapiga yanga huku wenzie wakiwa wamemzunguka
yanga
simba

gemu limeanza kama nusu saa ilopita na simba keshapigwa moja kwa bao maridadi la mshambuliaji ramadhani chombo dakika mbili zilopita kwa shuti ya mbali iliyomshinda  kipa wa yanga juma kaseja. yanga wanashambulia sana sana na kona kibao upande wa simba

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. He was married to Samia Kamruddin, a handbag designer in London, England. They divorced after only a few months December 4. Sources said that Faisal Khan had gone into depression after he separated from his wife.

    The Mumbai police reportedly persuaded Faisal to get admitted to a hospital for psychological treatment in 2004

    ReplyDelete
  2. Mkuu wa wilaya mbona unatuchanganya au ndio unazi..umeandika simba kisha pigwa moja halafu huko juu umeandika yanga kasawazisha ..imekaaje hapo?

    ReplyDelete
  3. Duuh mkuu wa nanihii kiboko simba kishapigwa bao. manake unanikumbusha enzi za mwalimu wakati ahmed jongo yupo rtd alikuwa anatangaza mechi ya simba na yanga. simba ilipata bao akatangaza simba 1 sisi bila.
    mdau
    kisiju pwani

    ReplyDelete
  4. Baba UbayaApril 19, 2009

    soka la bongo bwn.yani viongozi huwa mstari wa mbele kujua idadi ya magoli watakayofunga hata kama watakuwa wanacheza na timu ngumu kiasi gani.
    nadhani kwa wakati tulionao na huo unaokuja,ni muhimu kwa viongozi wa soka wa bongo kuanza masomo ya uongozi wa michezo(sports mgt) ili kuwaongezea ufahamu zaidi.na sio ubabaishaji tu uliokuwepo toka enzi za kale.

    ReplyDelete
  5. Wanja unasema mvua ilitaka kuleta noma. Kwani hilo wanja halifungiki juu? mimi nilizania tumejengewa wanja la kisasa la kimataifa na umbrella juu. Ikiwa sooo ni shwaaaa watu ni ndani kwa ndani.

    ReplyDelete
  6. Kwa viongozi kama kina Dalali (wazee wa kiswahili) mpira wetu hauwezi kuendelea hata kidogo. Hapo kanyoosha vidole vitatu ili kuwaonyesha mashabiki kwamba kocha hana kazi magoli yanaletwa na kamati ya ufundi. Sijawahi kuona Peter Kenyon akionyesha vidole kabla ya mechi ya chelsea kuanza, tutabaki hivyo hivyo na uswahili wetu.

    ReplyDelete
  7. Nakuona Kumwembe Edo, kumbe na wewe Simba, hapo ndo bei gani? Au watano???!!!!

    ReplyDelete
  8. Wewe Yusuph Mapumzi(Jesse)upo kaka?Ni long time ile mbaya kiasi nyundo 15 hivi,poa lazima nikutafute.Na mimi chama langu Simba hao bwawa la maini siwahusudu.

    ReplyDelete
  9. NAUNGANA NA MDAU APO JUU

    YANI HUU UWANJA HAUFUNGI JUU?NA MAVUA ZA NCHI HII NA JUA?????
    WALISHINDWA NINI KUJENGA UKITEGEMEA NI MSAADA KWA SEHEMU KUBWA UMETOKA KWAO??UNGEJENGWA BURE TUNGESEMA HATUNA USEMI TUMESAIDIWA BT SERIKALI TZ IMETOA FUNGU APO,,,
    viti tuuu havitoshi sijui adi wanaleta office chairs uwanjani...
    shenzi taipu nanihii zao sana

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...