linbeneke linaendelea na uji wa mfinyanzi
njia hii inayokatisha viwanja vya jangwani inahitaji ubunifu kidogo tu kuelewa kwamba endapo itatengenezwa itasaidia sana foleni katikati ya jiji, ukizingatia mdau akitaka kwenda kigogo ama ilala akitokea sehemu za faya ama jangwani hana haja ya kupita shule ya uhuru.

 ama anayetoka magomeni ama mwananyamala na anataka kwenda sehemu za ilala ama temeke hana haja ya kuzunguka aida barabara za  kawawa rodi ama morogoro rodi. tutumai kwamba mh. william lukuvi atafanya mambozzz hapa akiwa kama mkuu mpya wa mkoa wa dar. wazee wa jiji mpoooo???

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Mkuu,
    Sitarajii mabadiliko au maboresho katika miundombinu ya Dar kama tutaendela kuwa na viongozi wa Jiji wenye mawazo ya kujinufaisha wao binafsi kwanza na wenye fikra za kushindwa kabla ya kuanza kazi.

    Utatuzi wa matatizo yetu unabidi uanze kwenye mabadiliko ya fikra.

    Mdau
    Faustine
    http://drfaustine.blogspot.com/

    ReplyDelete
  2. Maofisa wa jiji wanaohusika na miundo mbinu wako wapi?na wanashindwa kuja hili tatizo kweli?Sio hapo ziko sehemu nyingi sana ambazo wakiweka sawa foleni nyingi zingepungua kwenye big junction,na jangwani baada pafanywe maeneo ya wakazi wa jiji kuja kupumzika na kujiliwaza kama jk alivyosema ndio kwanza hao wazembe wamekaa tu kwali bongo mukideee,hali mbaya ktikati ya mji na huko kwetu madongo kuporomoka?

    ReplyDelete
  3. Bongo Tambarare mmmm.

    ReplyDelete
  4. Na kweli kwa wanayanga kule jangwani tambarare haswa!!!

    ReplyDelete
  5. MIchuzi Raund abaut ya town ishafunguriwa na Mh Rais,ao bado ajapata nafasi.

    ReplyDelete
  6. si jambo la busara kupitisha barabara katikati ya jangwani. Tunatakiwa tulinde mazingira na sio kujenga kila mahali! Dawa ni kuziboresha barabara zetu au kujenga RING road inayozunguka dar nzima.

    asparagus

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...