mama wa mitindo asia idarous-khamsin anaibuka tena na shoo moja kali sana ya kanga ambapo mamodo wataonesha matumizi mbalimbali ya vazi hilo mashuhuri siku ya alhamisi aprili 30, 2009 katika ukumbi wa diamond jubilee hall, dar.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Hongera zake mama Khamsin, tutakaribia hapo diOmond hall

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...