
NI KIPINDI CHA PILI HAPA NESHNO NA YANGA WAMESAWZISHA KWA BAO SWAFI LA BERNARD MWALALA AMBAYE AKIWA NDANI YA 18 ALIPITISHA KIKI KWENYE MSITU WA MABEKI WA SIMBA NA KUTIKISA NYAVU NDOGO.
HIVI SASA YANGA WAMEKUJA JUU NA WANAWACHEZEA SIMBA NUSU UWANJA.
HATA HIVYO SIMBA WANAZINDUKA NA KURUDISHA MASHAMBULIZI NA KATIKA DAKIKA YA62 HARUNA MOSHI 'BOBAN' ANAPIGA BAO LA PILI KWA KIKI KALI INAYOMSHINDA JUMA KASEJA NDANI YA 18


kaka michuzi unatisha kama Yanga uko juuuuu sana blog zingine ndoo maana hatuangalii uko juu kwa ku up date mamabo hata kama hatuko uwajanilakinitunapata burudani hongera saana kaka.
ReplyDeleteSawa kaka Michuzi kwa kutupa matokeo on time. Sasa huyu mwenyekiti ndo kocha???! kwa mtazamo wangu ana amini ndumba na waganga wa jadi na ndo maana ana onyesha akiamini kuwa simba itashinda bao tatu.
ReplyDeleteBadilisheni mfumo wa timu hasa hizi Simba na Yanga ziwe makampuni haya mambo ya kuwabandika wazee kuwa wenyeviti kuwa wamechaguliwa kwa kura yamepitwa na wakati. Net work ya Simba au Yanga hapa Tz ni kubwa mno, Ina nishangaza sana kuona kuwa Timu zetu hizi kubwa zina Historia nzuri sana toka zilipo anzishwa miaka ya nyuma lakini hadi leo hii hazina home ground???!!! Wadau, huu ni mtazamo wangu tu..
huyo kiongozi anaonyesha goli tatu(3),yani hajui kufanya hivyo ni hali tosha ya kuwaongeza nguvu timu pinzani.upeo wa viongozi wengi wa soka ktk vilabu ni mdogo sana.wanaendesha wajibu wao kwa kubahatisha mambo.is not too late kwa wakubwa kusoma.tena kwa jinsi mfumo wa elimu ulipo siku hizi,wanaweza hata kuchukua madarasa online.
ReplyDeleteshule muhimu na wakati ndo huu.
ila hii si kwa wao tu bali hata vijana wanaopenda michezo wafanye hivyo.elimu ya michezo ni muhimu kama idara nyingine na haswa kwa jinsi teknolojia ya michezo inavyokwenda sasa.