Yule mwanamuziki mahariri wa miondoko ya Bongo Flava, Ali kiba kwa mara ya kwanza kabisa atakuwepo mjini Columbus Ohio kutoa show ya mwaka jumamosi 05/23/2009 (Memorial weekend) kwenye ukumbi wa Alrosa Villa  (Studio 69)…. 

Washabiki wote wa muziki wa nyumbani kutoka maeneo ya karibu Cleveland, Cincinnati, Toledo, Dayton, Indiana, Kentucky, Michigan, Illinois, D.C na kwengine kote mnakaribishwa.  Ali kiba ataintroduce nyimbo zake zitakazokuwepo kwenye album mpya anayotarajia kuitoa mwanzoni mwezi ujao na pia atawakonga na vibao vyake vinavyotingisha hivi sasa; CINDERELLA, NAKSHI MREMBO, MAC MUGA, KARIM, NAFSI INATESEKA, PRINCE WAWERU, SI MZIMA, WAJUA WANIPENDA na vingine kem kem utavyovisikia hiyo siku… 
 
USINGOJE KUHADITHIWA!!! KUNA SEHEMU MOJA TUU UNATAKIWA UWEPO  during the memorial weekend…. COLUMBUS OHIO!!!!  
 
Kwa maelezo zaidi tafadhali nenda www.alrosavilla.com 
or 
angalia  flyer
 
Milango itafunguliwa saa 3 usiku address ni 
5055 sinclair rd,
 Columbus Oh 43229.
 
After party Columbus Square….
 
Aksanteni na Karibuni 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 09, 2009

    Huenda wengi wasinielewe, poa tu, but kaka michuzi sasa tafuta story nyingine, huyu Ali Kiba sasa anachosha. Kila kukicha ni Ali Kiba tu, no kaka this tooooo muchhhhh now!!!! Ziara gani hizi zisizo kwisha? mi naona angerudi home apate muda wa kutunga mashairi mengine, or aamue moja kuishi ughaibuni atafute shule au afanye kazi ima za care au box.

    ReplyDelete
  2. TEACHER,DEMARKMay 09, 2009

    MOJA WAPO MIMI SIKUELEWI UNAWWIVU NA ALI KIBA TENA WEWE MCHÁWI YAELEKEA UMEISHIWA HUNADILI BONGO AHAA! WIVU TUU! USIMPANGIE MAISHA ALI KIBA WEWE CHA KUWASHA NINI ATAAKIZUNGUKA KWANI HUKU HAWAZI KUTUNGA MASHAIRI KAMA ANATOA MATANGAZO YAKE NAKULIPIA UNAJUAWAJE?? USIMPNGIE KAZI ISSA MICHUZI DUU KWELI WABONGO TUNA ROHO YA KWANINI ACHA WIVU HUNA POINT FUNGUA BLOG YAKO UKUTANE NA WATU DIZEN(DIZAINI!!) YAKO T I HOPE NINGEKUONA USO KWA USO WEWE DUU NINGEKUPA VIPANDE VYAKO YUACHIE ALIKIBA WTU AWABURUDISHE UMEMUNA YEYE TU AU MPAKA UMSIKIE KOFFI OLOMIDE NDO UNGEPIGA VIGELEGELE!!! DUU NGOJA NIISHIE HAPO MAANA UMENITIA HASIRA SWANA WEEE

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 09, 2009

    $20 kwa onyesho la ali kiba? $20 are you kidding us?

    ReplyDelete
  4. duuh anony hapo juu ni hater wa hali ya juuu. kama mtu yupo juu msifie . na kumbuka hawa wanamziki wetu wa bongo flava wanawika kwa muda tuu sasa kwa nini mwenzio asizichange bado jina lake linawika .eti aje afanye nursing home au kunyanyua mabox kama wewe. lool kama we uko chini uko chini tuu usimvute na mwenzio eti idadi ya mabox iongezeke . mwenzio kapewa kipaji ambacho anakitumia kama kitega uchumi chake.SWALI: kwani watanzania tutaacha lini uhater na chuki za hali ya juu dhidi ya watu wanaochipuka kimaisha? mnawatisha mpaka wasanii au watu wanaotaka kujaribu maana mtu kama huyo hapo juu ni rahisi sanaa kuchukua picha ya ali kiba a kaiweka zeutamu . kisa hata hana basi tuu kamchoka yaani watanzania tunahitaji maombi .iI HATE ALL HATERS Mnarudisha sana maendeleo msonyooooooooooooooooooo

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 09, 2009

    kijana kawa JK sasa

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 09, 2009

    we anomy no 1 wacha mtimanyongo! kwani umelazimishwa usome habari zake! Ali kiba uko juuuuuuu!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 09, 2009

    No hater here but for $20 and he was here not long ago you are kidding right? With the economy right now he better brings up a lot of new materials.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 10, 2009

    HATA JK ANA NAFUU MAANA YEYE KUNA WAKATI HURUDI NYUMBANI JAPO KWA WIKI MOJA

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 10, 2009

    Duh! afadhali na sisi tupate kumuona hata kama ingekuwa $40 ningetoa.Kila siku states nyingine tu,now zamu yetu.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 10, 2009

    Dah Alikiba we upo juu sana yani dis week ulikuwa Sudan mara marekani tena eh si mchezo hongera sana,then ntajitahidi kuja katika uzinduzi wa album yako ya pili naskia ndani ya zanzibar tar 16 big up sana,naskia ni ngoma 17 ktk album we ni noma,poa dogo zindua then ukawape ladha usa,navyojua ni miaka miwili na nusu hujatoa album mpya,aminia,wanaokuhate walie tu upo mzuka dogo

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 11, 2009

    $20 ni nyingi au???

    mweeee uyu mtoto,uislamu kaupiga teke kabisa,na majuu kumemnogea

    TOKA ITALY TO AMERIKA

    hahahaaaaa annon #1 umenichekesha sana

    #2 hujui kiswahili au iyo lugha ni kibantu cha congo??sijakuelewa kabisa

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 11, 2009

    uyu mvulana!!

    ofkoz yuko katika TOUR kuintroduce mziki wake

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...