THE DIAPORA AND DUAL CITIZENSHIP
By Diaspora Writer
First of all I would like to commend our president for being the first African Leader to meet the Us president Obama .Its quite an honour for us as Tanzania. Nice one Mr president. Carry on the good work!
I would like to use this opportunity respond to the President’s speech that he made in the USA about Dual citizenship which I read on your blog . The first issue is to examine the present role of the Diaspora: As the worlds' boundaries including Tanzania become more fluid and as globalization and democratization become increasingly omnipresent, the implications for the meaning of citizenship grow increasingly significant.
No government at the moment can afford to ignore the Diaspora which is now seen as the 6th region of Africa. The Constitutive Act of the African Union which our president was heading recently , was amended according to a proposal by Senegal, leading to the adoption of a new Article 3(q) which declares that the AU shall “invite and encourage the full participation of the African Diaspora as an important part of our continent, in the building of the African Union”.
Along the same lines, 20 seats on the AU’s Economic, Social and Cultural Council (ECOSOCC), are reserved for Diaspora organizations. Therefore his Excellency cannot address the role of the Diaspora and Dual nationality in isolation from geopolitics.
In sheer numbers, the Third Millennium looks destined to be the age of the greatest human mobility in recorded history. Consider, for example:Were today's 200 million migrants to come together to form a single nation, they would be one of the world's five most populous nations.
If pooled together, migrants' annual remittances (money sent back to countries of origin) of more than US$ 300 billion, would give the migrant community a GDP larger than any number of developed countries, including the country that hosts IOM's headquarters, Switzerland.
These remittances from the Diaspora – who still constitute only three percent of the world's population – are twice as large as official development aid and nearly two thirds that of total foreign direct investment in developing countries.
While the communications revolution may have launched today's movement of people, it is current demographic and economic trends that will assure a continuing massive flow of people across borders in an ever more complex migration picture: Demographically, most industrialized nations are characterized by aging populations and dramatically declining birth-rates, amounting to longer-term negative population growth.
Combine this trend with the persistent North-South economic divide and the results are
- a North increasingly in need of additional labour, and a South with an ever larger excess of labour – not all of which can be absorbed in South-South migration
– even though South-South migration is almost as large as that of South-North migration. This is all simply to say that migration, and in particular, the political and economic relevance of Diaspora communities, is with us for the indefinite future in an unprecedented manner and will continue to have a wide ranging global impact.
As in Tanzania terms the government is wrong to say that they cant deal with the issue of dual nationality at this time. Our neighbours Uganda which seems to have the largest East Africa Diaspora ( and who seem to be opposing the present government) , but despite that the Uganda Government has gone on to give dual nationality on the condition that they cannot hold positions like the Presidency, the Prime Minister, ministers, the Inspector General of Government, the head of the armed forces or commanding officers.
They can also not head the Police, any of the intelligence organisations or departments responsible for records, personnel and logistics in all branches of the armed forces .
For me this is strategic thinking And for those who are mooting for Dual citizenship should know that citizenship frequently carries with it legal obligations relating to taxes, military service, and/or travel restrictions and other things.
That leaves the argument that their Tanzanian counterparts might feel that they are being treated in a less favourable manner.
Conclusively, therefore, Migration and Diaspora is here to stay , then its time for the Government to reconsider its position on Dual citizenship and invest in this 6th region of Africa

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 31 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 23, 2009

    Ndugu Writer: Unachokiandika kuhusu Umoja wa Afrika na umuhimu wa uraia wa nchi mbili ni muhimu sana. Tatizo ni kuwa wananchi wetu wako nyuma kimaendeleo na kielimu. Ukiangalia maoni ya watu wengi hata hapa kwa Balozi Michuzi utaona kuwa wengi wetu hatujasoma na hatuelewi jinsi dunia ya kiuchumi inavyoeneshwa. Huwezi ukategemea mdau ambaye hajatoka hata nje ya Afrika Mashariki kuelewa kuwa Wafilipino wanapeleka bilioni 25 dola kila mwaka nyumbani kwao. Wanafuatiliwa na Wamexico na Wahindi (haswa wanaofanya kazi ngumu huko Uarabuni). Wote hawa wanaruhusiwa kuwa na pasi mbili na serikali yao.

    Subiri tu watu waamke halafu uone utakavyokandamizwa na maoni yako. Kwanza kabisa utaambiwa kuwa andika kwa Kiswahili kwa kuwa wengiw etu hatujasoma. Ukienda shule hata darasa la saba, lazima utajua Kiingereza. Inaonyesha kuwa unapoteza muda wako hapa kuelimisha watu ambao hawataki kuelimishwa. Wanataka Tanzania iwe kama ilivyo. Wanataka iombe misaada ili mpaka milele. Ardhi imejaa, lakini hawana uwezo wa kilimo bora. Akija Mkenya au mgeni mwingine, wanamvamia, kwa nini wanataka ardhi yetu. Bora kununua machungwa na matunda mengine ya Afrika Kusini kuliko kumwachia mgeni atumie ardhi na kutupa kazi na kulipa ushuru serikalini.

    Haingii katika akili kumnyima mwananchi aliyezaliwa Tanzania, haki ya kuja nyumbani na pasi ya Tanzania na kumlazimisha achague kwa kuwa ana pasi ya nchi nyingine. Kitu kimoja tu Raisi amesema lenye maana: WIVU. Kama umeshawahi kukaa nchi ya Kitajiri na kuona faida yake kwako binafsi na familia yako, utakuwa kichaa kama kutaitumia pasi ya nchi tajiri kujiendeleza kimaisha. Kama kukana uraia basi uraia wa Tanzania n9 rahisi sana kuukana kama unapenda maendeleo yako na ya watoto wako.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 23, 2009

    I DID NOT WANT TO READ YOUR WHOLE PIECE OF WRITING AFTER YOU COMMENDED ON JK'S VISIT TO THE US AS AN OUTSTANDING THING.......

    YOU REALLY ARE NOT EDUCATED. WHAT DIFFERENCE DOES IT MAKE, SAY FOR EXAMPLE WITH KENYAN PRESIDENT OR EVEN SOUTH AFRICAN PRESIDENT WHO HAVE NOT VISITED AND THEY MAY NOT EVEN WANT TO? DO YOU THINK VISITING A SUPER POWER GIVES ANY PUSH TO DEVELOPMENT NECESSARILY?

    HIVI UKIWA WA KWANZA KUWA OMBAOMBA NA BAKULI LAKO NDIYO UNAJISIFU? JE, KAMA WENZAKO SIYO OMBAOMBA WANAHITAJI KUFANYA HIVO KAMA ULIVOFANYA? UNATUAIBISHA KWA KUSIFIA JK KUONANA NA OBAMA KAMA NDIO SIFA. NYIE NDIO MNAORUDISHWA KWENYE VITU VISIVYO NA MSINGI VILE VYA KIKOLONI. ETI NIMETEULIWA KUWA DC NA MZUNGU.... SO WHAT??? SAME KUWA JK WA KWANZA KUONANA NA OBAMA ,,,,SO WHAT????
    MAN, I HATE TANZANIANS OF THIS TYPE. KWELI TUNA SAMPULI TOFAUTI KWELIKWELI...

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 23, 2009

    Mh mtoa maoni hapo juu wewe ndiye unayepotea, usiwe wa kwanza kulaumu wenzako (hasa tulioko nyumbani) kuwa uelewa mdogo. Suala hapa ni kujenga hoja na sio kuleta mifano ambayo hata huna uhakika nao, yaani imejaa nadharia tu. Wewe tukikuuliza huko uliko umesaidia nini so far, na ukilitambua hilo leta mchango wako kwa Watanzania wenzako na usiwe wa kwanza kusema uelewa mdogo ili tu basi upate unachotaka. Hii ya dual citizenship kwa nchi yetu tuiangalie sana, maana kumbuka mambo mengi kwenye mfumo wetu bado yangali shaghala bagala, tafakari!!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 23, 2009

    NASHUKURU BOX LINANISAIDIA SANA MIMI NA FAMILIA YANGU, TOFAUTI NA BONGO HAPA NATENGENEZA DOLA 135 (KWA MADAFU YALEO NI KAMA 182,575) KWA SIKU. NA NINA PASPOT MBILI YA BONGO NA YA UGHAIBUNI. NYIE ENDELEENI NA MIJADALA YENU YA KULA HUKU NA HUKU. BOX OYEEEEEEEEEEEEEEEE.

    ReplyDelete
  5. KabakakiMay 23, 2009

    Yes or No to dual citizenship, after all it does not help much? When it comes to legal rights and defence Courts always look at Effective Residence! so holding dual citizenship is just a fashion my colleguies

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 23, 2009

    Kama mnataka kukaa huko majuu basi kaeni faidini makombo yenu ya kuku tuacheni na bongo yetu na dagaa zetu msilete mambo ya ingilish yes no nyingi hapa kwani nani kawatuma mwende huko? Kani mnatusaidia nini ila bugdha tu hizo fedha zenu za mabox ni zenu na wanenu nasi shida zetu ni zetu tusidanganyane hakuna umoja wala mshikamano, HAKUNA HATA DIASPORA ALIYETUCHANGIA YALIYOTUFIKA MBAGALA!
    MDAU MBAGALA

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 23, 2009

    mdau wa 12:39,una chuki binafsi na wabeba mabox nahisi ni baada ya kunyimwa visa,au labda ni mtoto wa mama hawezi maisha bila mama na pengine umelelewa na single bibi.watu wa majuu tuko juu nyie jinyongeni au kuleni nyembe.anaeutaka huo u dual citizenship ana kichaa kibichi.pasi ya bongo itakusaidia nini???huko tunakuja nakuondoka kama kawa.vakesheni kwa sana.

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 23, 2009

    SISI NA BOX ZETU NYIE NA MABOMU YENU.MTAKOMA KURINGA.

    ReplyDelete
  9. MzalendoMay 23, 2009

    Mjadala mzuri huu.

    Mi nina maswali machache kwa wadau wanaotaka Dual Citizenship.

    1. Je kama una passport ya ugenini ni vitu gani ambavyo unashindwa kufanya Tanzania ilhali umekulia hapa, unawajua watu wa hapa na unajua kona zote za nchi hii?

    2. Je kilio cha kupinga kuingia Tanzania na passport ya ugenini ni kwa ajili tu ya kukwepa kulipa vijisenti vichache vya VISA na permits?

    3. Kuna wageni wengi tu hapa Tanzania (kwa maana haswa ya ugeni, sio passport tu) ambao wanakuja na kufanikiwa kufanya biashara na tena zinakuwa kubwa tu. Je kuna vikwazo gani ambacho hawa wageni halisi wanashinda lakini Watanzania wenye uraia wa nje wanaogopa vitawakwamisha?

    Otherwise sioni faida yoyote ya dual citizenship maana ni dhahiri katika suala zima la Uchumi (yaani kufanya biashara Tanzania) hakuna kitu ambacho utashindwa kufanya eti kwa kuwa huna passport ya Tanzania.

    Kama maslahi ya dual citizenship yanalenga kwenye utawala wa serikalini basi hiyo inaleta wasiwasi zaidi. Maana kiongozi mwenye passport mbili tutamwelewaje?

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 23, 2009

    Nilijua'tu hawa watu wanajiita wa box lazima watadandia treni kwa mbele, hawa watu bwana michuzi ni waajabu sana, wenyewe huwa hawajali kinachoongelewa ninini au kutaka kujua jambo linaloongelewa lina maana gani,wao wakianza utasikia kujisifia ,kujisifia,kujisifia kwa kweli kwanza wanachofanya cha maana hata sikioni,kwakweli mnaniboa sana , mgekuwa na kiongozi wenu ningemkamata kwa gharama yeyote ile. hovooooo sheenzzzzzzitaipu. Mdau-Mtaalamu pekee wa kutegemewa na taifa.

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 23, 2009

    Nyie manotaka Dual Citizenship mtaka kwa ajili ya kuja kutembea au kuwekeza? Hakuna anyekuziia kuja kuwekeza hata kama uta pasport ya Nje. Tena masharti ya uwekezaji is more favaorable kwa foreigners than locals. Mimi nipo huku ughaibuni na hata lakini siamii in dual citizenship. tanzania we have very week legal system,Hatuogopi uraia wa nchi mbili kwa ajili yenu ndugu zetu but because of wahindi na watu wengine , Ukitangaza uraia wa nchi mbili leo haitachukua hata mwaka mmoja ardhi yote itakuwa mali ya wazungu na wahindi wachache, tusidanganyane bado hatujafika hapo, tukifika haitakuwa haina hata haja ya kuuliza. hata hiyo kenya unayoiongelea wanaogopa dual citizenship na wanawananchi wengi kuliko Tanzania.

    Mfano mwingine Ghana ina dual citizenship for abou 20 yrs now imesaidia nini, mbona bado ni maskini kuliko Tanzania. Swala la wahindi ni uzalendo, wahindi ni wazalendo kuliko sisi waafrika na ndio maaana hata wao kwa wao wananyanuana.

    Angalieni upande wa pili.

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 23, 2009

    a) Sikubaliana kuwa watanzania wanauelewa mdogo je tumewaelimisha? hakuna nchi yenye bahati kama Tanzania watu wake "wanaelewa haraka na kufuata bila kupinga" sema tuna viongozi "wachoyo" lakini msituadhibu sisi wananchi tunaelewa sana.
    b) Ni kweli faida zake ni kubwa kuliko hasara hata kama ikiwekwa some conditions ni vizuri

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 23, 2009

    MDAU WA 10:49AM I WISH UNGEMALIZIA KUSOMA ARTICLE NZIMA KULIKO HIO PART ULIO IBEBA KWA JAZBA.WEWE NI MNAFIKI KWANI ANGEKUWA RAISI WA KWANZA KUKUTANA NAE KUTOKA AFRIKA NI WA KENYA UNGELALAMIKA OBAMA ANAIPENDELEA KENYA KWA VILE BLAH BLAH BLAH.WE R PROUD FOR HIM TO BE THE FIRST ONE FROM AFRICA TO REPRESENT HIS GOALS.
    WEKA CHUKI PEMBENI KAMALIZIE KUSOMA ARTICLE KUNA MAMBO MENGI MAZURI JAMAA KAANDIKA KULIKO HIO SEHEMU ULIOCHOTA.
    KUHUSU SWALA LA URAIA WA NCHI MBILI NADHANI JK KAONESHA TENA KWAMBA VIONGOZI WETU NI WAVIVU WA KUFIKIRIA AU KUTAFAKARI MAMBO AU JAMBO.TO ME THE PRESIDENT SOUNDED MORE LIKE A WANKER.
    KAULI YA KWAMBA WATU WANATAKA KULA HUKU NA HUKU NI YA KITOTO MNO KWANI NCHI ZA KULALAMIKA HAPO ZINGEKUWA ZA NJE AMBAZO WATU KWA KUWA NA URAIA WA KULE WANGECHUMA NA KUJA KUWEKEZA NYUMBANI KWAO TANZANIA AMBAPO RAISI WETU KAMA ANATAKA KUTUKATAZA KUJA KUWEKEZA KWA VILE TUTA KULA HUKU NA HUKU.SASA HAO WAGENI WA NCHI ZINGINE WANAKULA WAPI NA WAPI?WANA URAIA MMOJA TU NA BADO WANAKULA NCHI YETU KUSHINDA HUYO MTANZANIA MWENYE URAIA MMOJA.
    HILI SWALA LIPELEKWE BUNGENI NA IKIWEZEKANA PIA WATANZANIA TUPEWE NAFASI YA KUPIGA KURA KUAMUA PIA.
    mdau "MZAWA"

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 23, 2009

    Suala hili la uraia wa nchi mbil kwasasa tunalifanyia mzaha na kuliona kama maigizo fulani,babda hadi pale litakapo tinga bungeni. Bwana Michuzi naomba uniruhusu ni mnukuu waziri wa mambo ya nje Bw Bernad Membe sikumoja alikaririwa na shirika moja la habari, Nanukuu=Serikali imeona upo umuhimu wa kutunga sheria itakayowaruhusu wananchi kuwa na uraia wa nchi mbili ili waweze kushiriki kuleta maendeleo nyumbani.
    ``Tayari Rais Jakaya Kikwete ameagiza tuanze mchakato wa kuwapatia wananchi wetu uraia wa nchi mbili... tumegundua kuwa tukifanya hivyo wenzetu hao wanaweza kusaidia sana kuleta maendeleo nchini,`` akasema Bw. Membe,Mwisho wa kunukuu .Sasa hapa kwa upande wa
    sheria ya Tanzania inasema mtu akipewa uraia wa nchi nyingine atalazimika kuukana urai wa Tanzania na hivyo kukosa haki ya kuitwa Mtanzania.
    Dhana iliyokuwa imejengeka hapo awali kuwa wananchi wanaoukana uraia wa Tanzania ni wasaliti imepitwa na wakati kwa vile wengi wao hufanya hivyo kwa lengo la kujitafutia maisha bora mbona nchi nyingi sana zimeruhusu suala hili, zimeona kuna faida nyingi kuliko hasara ya kulikataa.Kuhusu hili naomba nimnukuu tena Bwana Membe,Nanukuu=
    ``Wengi wanaoukana uraia wa Tanzania wanatafuta huduma zilizo bora na nafuu kama vile matibabu, Elimu, biashara na maisha bora kwa ujumla, hao sio wasaliti.Mwisho wa kunukuu. kama haitoshi waziri huyo mwenye dhamana juu ya suala hili ambalo linashabikiwa sana na hasa sisi wabeba box aliendelea kusema''
    Ikiwa watapewa uraia wa nchi mbili itawawia rahisi kuchuma mali na kuzileta nchini kuwasaidia ndugu zao waliowaacha Tanzania jambo ambalo linaweza kusaidia kuinua uchumi wa nchi.
    Namnukuu``Watu hawa hasa waliofanikiwa kupata maisha bora ugenini wakijua kuwa bado wanayo haki nchini mwao lazima watarudi kuwasaidia shangazi na wajomba zao, hiyo itasaidia kuboresha maisha ya watanzania,`` Mwisho wakunukuu
    Hata hivyo Waziri Membe hakueleza lini mchakato huo unatarajia kumalizika na hatimaye kuwa sheria inayowaruhusu wanaoukana uraia wa Tanzania kuwa na uraia wa nchi mbili.Ndugu zangu hapa tunajifunza nini
    kupitia kauli hizi za waziri. Juzi tumemsikia Mh JK akituelezea kwamba jambo hili bado halikupokelewa vema na wasomi wetu hivyo basi kwakuwa wasomi hawaliafiki basi halifai kwa sasa.Nadhani wasomi aliokuwa anawazungumzia Mh rais ni wale wa pale mlimani.niliwahi kwanukuu wasomi hao katika mjadala uliandaliwana Taasisi ya Maendeleo ya Taaluma -IDS ya Chuo Kikuu cha Dar.Wasomi hao walisema kwa sauti kubwa kabisa''UDSM "scholars" Say NO To Dual Citizenship'' Wasomi hao walidai hiyo ni janja ya Watanzania wachache kwa maslahi yao binafsi na wala haina manufaa kwa wananchi wengi wa nchi hii.Walisema kuwa endapo Wabongo hao wana mapendo na nchi yao, basi ni bora warejee nchini kuendeleza nchi yao. Hayo yalisemwa wakati wa mjadala ulioandaliwa na Taasisi ya Maendeleo ya Taaluma -IDS ya Chuo Kikuu cha Dar baada ya pande kutoka kwa Rais JK aliyetaka kuwepo kwa mchakato wa suala hilo.Washiriki wa mjadala huo waliongeza kuwa sheria hiyo itaibua hasara kuliko faida kwani hata baadhi ya wageni wataruhusiwa kumiliki ardhi kwa kuwa watakuwa na uraia wa Bongo.Maslahi ya wachache yasiingilie maslahi ya taifa kwa kuwa si rahisi kwa mtu mmoja kutumikia kwa dhati uraia wa nchi mbili, walisema wasomi hao. kama haitoshi wasomi hao ambao nahisi ni maadui wakubwa wa wabeba box waliongeza na hili, sheria hiyo mpya itawanufaisha Watanzania wachache wanaoishi nje ya nchi na si Wabongo wanaoishi nchini, kwa hiyo ni bora maslahi ya wengi yazingatiwe kwanza.Nadhani hawa ndiyo wasomi aliyokuwa akiwazugunzia Mh rais. Ndugu wadau kwamtazamo wangu nahisi hili suala limekaa ki siasa zaidi, Kama bwana michuzi ataniruhusu wakati mwingine nitaelezea kwa namna gani ni la kisiasa. Mdau- MAJUTO.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 23, 2009

    Ndugu zangu Watanzania naomba tuelewe kuwa kila mtu anao uhuru wa kuongea.Sidhani kama ni busara kuanza kutukanana.Tunaweza kutofautiana sana tu bila kuvunjiana heshima.Hiyo ndio maana ya demokrasia na ndiyo maana ya kwenda shule.Mimi nipo upande wa wadau wa ughaibuni.sababu ya kutoka wengi wetu ni shule.Hatuwezi kubanana hapo nyumbani kutegemea vyuo vyetu ambavyo ni vichache.Tusubiri hadi raisi aje Marekani aombe ndipo tupate mikopo ya shule,ikichelewa tuandamane,tukibahatika kumaliza shule kazi ni mziki mnene.Kundi linalotoka nafikiri linawasaidia mnaobaki kuondoa ushindani katika kupata mikopo ya shule na pengine kazi baaye.Serikali ya Marekani haijali umetoka wapi.ukirekebisha karatasi utakutana na FAFSA pamoja na misaada mingine mingi kwa students.Kuhusu dual citizenship labda tuzungumzie faida na hasara zake.Mimi ni US citizen,ninaomba viza na kuja kusalimia ndugu zangu kila mwaka na kurudi Marekani.Hapo sioni tofauti kati yangu na mfanyakazi wa wilaya ya Ngara(Kagera)anayetokea Masasi(Mtwara)Nimewasaidia sana nduguzangu na ninashukuru mambo yao safi.Kinachinifanya nilie kila ninapokwenda Tanzania ni kuwa baba yangu amezungukwa na umaskini.Nimedharia kusaidia hawa jirani zangu siyo kwa kuwapa samaki bali kuwafundisha kivua samaki ili waondokane na umaskini.Hii inahitaji long term investment ambayo nikianzisha serikali itanilima kodi kubwa kwa kua mimi ni mgeni ambaye ninaweza kufukuzwa Tanzania wakati wowote nikikutwa na kosa hata la kutupiwa bangi ndani ya gari langu na polisi.Kwa hiyo sidhani kama ninastahi lawama za kushindwa kusaidia mabomu Mbagala yaliyosabishwa na uzembe wa serikali iliyoninyima mkopo wa kwenda Mzumbe na kunishauri kurudi kuwekeza nyumbani ili wani overtax baada ya kusomeshwa na serikali ya Marekani.Hata hivyo nimeshasaidia majirani wa baba yangu pamoja na waathirika mbagala.Tuendelee kuelimishana kwa kutofautiana na siyo kupingana wala kutukanana.Tulioko ughaibuni tuendelee kusaidia Tanzania hata kama siyo nyumbani tena.Jenga familia yako ughabuni saidia Tanzania ukiweza.Mungu ibariki TANUSA.

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 23, 2009

    Nyie na mabox yenu, sisi na mabomu yetu.Nyie binadamu sijui mna kasumba gani,misha pata vijidola vya kuungaunga mnajiona mmeukata.Umemsikia mjinga menzio hapo juu anajisisia kapata dola 135 kwa siku anajiona mjanja wakati hiyo pesa kwa kushinda feri tu,unaweza kuipata zaidi ya hiyo kwa siku.acheni ujinga na kujiona wajanja kwa kubeba box.angalieni umri unakwenda na kama mlivyomsikia mjomba mambo ya kula huku na huku hataki kuyasikia kabisa.Msitegemee siye kuwatafunie eti nyie mje kumeza.

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 23, 2009

    Iam with you,brother on issue of dual citizenship.if some of us are undereducated,Are we all suppose to suffer because of it?.Come on give us a break.We all Tanzanian if unabeba mabox ama upo mbagala kwenye mabomu,We need to come up with things to help us all.

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 23, 2009

    Mimi ni mdau nipo majuu,kila wakati niko bongo for vacation sijaona kipya cha kunilizisha kwanza, huduma za afya ziko nyuma,traffic nyingi barabarani ,airport yetu chafu inanuka,barabara mbovu, mafisadi,mgao wa maji,umeme palepale hakuna kilichobadilika uozo mtu nao viongozi wenu.

    ReplyDelete
  19. Yaani kweli kuna mtu analililia kupata pasi ya TZ??!!
    Najua labda mmekaa sana nje mmeanza kusahau matatizo ya hii nchi! Hii nchi imeoza jamani! Kwanzia juu mpaka chini! Nchi imeshindikana! Sio mimi wala wewe atakayekuja kuiokoa nchi hii!

    Hakuna kitu kinachofanyika bila rushwa na ufisadi! Jeshi limeua na kubomoa makazi ya watu, halafu hata kuwapa mahema ya kujisitiri wameshindwa! Misaada ya waathirika inaliwa daily. Mafisadi wako kwenye TV daily wanadanganya toto, wabongo wanajua wamepata mkombozi kumbe ni viini macho tu!

    Raisi kazi yake kupiga misele isiyoeleweka na kukenyua meno tu, mafisadi wamemshika pabaya!

    Wananchi wakigawiwa T-Shirt wakati wa uchaguzi wanatulia!

    Hao "wasomi" hawajawahi kusikilizwa kwenye jambo lolote hapa Tanzania, maajabu wanaanza kusikilizwa kwenye swala hili.



    Msidanganye hata siku moja na hizi ngonjera za Uzalendo! Hao "wazalendo" wamejazana sana serikalini na bungeni na ndio wezi namba moja!
    Sana sana fanyeni mpango wa kuwakomboa ndugu zenu waliobaki huku.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 23, 2009

    wapiga box wote probably have psychological problems.Rember u crazy guys good life does not mean having huge some of money at all! u are very ignorant with ur "boxes"

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 23, 2009

    John Mashaka, hacha zako. mbona unatuchanganya?

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 23, 2009

    Jamani mfuata njia mbili huishia kupasuka msamba. Kama unataka kuwa MTZ sawa, kama unaukana UTZ ni sawa pia. Uchaguzi ni wako, usitake kuwa kama popo.

    Kwanza kuwa ughaibuni si lazima uwe na uraia wao ili upate huduma kama raia wengine. Mimi niko Finland (Suomi-kama wanavyoiita kwa kifini ama SUOMEA), mtoto wako kwenda shule ni kama mtoto wa kifini anavyostahili, si lazima uwe na pasi ya kifini.

    WEWE PIGA BOX PAMOJA NA SHULE, PATA UTAALAMU WAKO NA MAMBO MENGINE YATAJINYOOKEA TU. SEHEMU NYINGI HUKU UGHAIBUNI WANAHITAJI WAFANYAKAZI KUTOKANA NA IDADI NDOGO YA WATU WENYE UWEZO WA KUFANYA KAZI. TUMEWAONA WATU WENGI WAKIISHI UGHAIBUNI MIAKA NENDA RUDI KWA KUTUMIA PASI ZA NCHI ZAO WALIZOZALIWA NA HAINA SHIDA YOYOTE. TATIZO LETU SISI WAPIGA BOX HATUTAKI KUMALIZA SHULE, HUU NDIYO UKWELI, JAPO UNAUMA. TUNAPENDA SANA SHORT CUT!

    Halafu JK kuongea na Obama hicho si kitu cha kujivunia, tusitiane aibu kwa kutembeza bakuli NA KUONYESHA DHARAU KWA WENZETU WALIOKO BONGO ETI KWAMBA WAO NI WALA VUMBI KISA HAWAJAFIKA UGHAIBUNI. KWA TAARIFA YENU KUNA WATU KIBAO WAKO BONGO WALISHAISHI UGHAIBUNI MIAKA KIBAO WAKASOMA NA WENGINE KUFANYA KAZI, WANAJUA KILA KINACHOENDELEA HUKU UGHAIBUNI.

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 24, 2009

    Kwa jinsi tunavyotunga sheria za kujitia vidole bora tuvute subira. Badala ya kutunga sheria ya kuendeleza nchi yetu hatukawii kutunga sheria ya kutumaliza kabisa.

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 24, 2009

    TARATIIIBU MADA INAANZA KUHAMIA KWENYE BOX

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 24, 2009

    SITHANI URAIA WA NCHI MBILI UTASAIDIA LOLOTE.NA NATHANI NI TAMAA TU.NA UKIANGALIA WANAOTETEA HOJA WENGI WAO WAMEAMMUA KUISHI NJE YA NCHI.AU WANAISHI.WAMEXICO AU HAO WAFILIPINO WENGI WAO HATA HAWANA MAPEOA ILA WANAJALI KWAKO NA KUINUA WENZAO.HAKUNA HATA MMOJA ALYETOA HOJA YA MSINGI NA THABITI.
    mdau-cal

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 24, 2009

    Sijui wengine, lakini kwangu ilikuwa ni rahisi sana kuukana uraia wa Tanzania na kubaki na uraia wa Kanada. Hainisaidii hata chembe hio pasi ya Bongo kwa kuwa maisha yangu yapo hapa na sio huko. Sina nia yoyote ya kuendesha biashara huko wala kuweka pesa zangu kwa wezi, wala kujenga. Nikitaka kuja kutembea nakuja kama kawaida kama mtalii.

    Hao wanaosema sijui kuna maendeleo sasa hivi, tusidanganyane hapa. Soma uchumi wa nchi na utaona picha vizuri. Majengo mepya hayaleti maendeleo. Nenda kijijini uone umasikini wa Tanzania. Kuwa na wasomi wengi sio utajiri, utajiri unakuja kwa kuchapa kazi masaa 24. Angalia uchumi wetu, utaona kuwa bado tunaomba misaada tangu tupate uhuru. bado hatuna dawa, elimu, maji safi na umeme wa kutosha. Watu wanakufa wakiwa vijana mpaka leo. Nyinyi kaeni na Tanzania yenu, sisi wengine tumeshtuka long time na tunakaa ugenini kuendesha maisha yetu vizuri tu. Kama utabeba boxi beba, kama una biashara yako fanya, lakini hatuchuziki hapa. Mkae na kujua kuwa sisi tuliozaliwa huko tunasaidia Tanzania kila mara Serikali ya Tanzania ikiomba na kupokea misaada kutoka nchi za kitajiri. Ni pesa zetu sisi walipa kodi huku mnazozitumia kujengawa barabara zenu, uwanja wa mpira, stesheni ya treni, uwanja wa ndege na kadhalika. mwaka huu, tumelipa asilimia 40% ya gharama za serikali katika bajeti yake. na mwakani pia tutakusaidieni tena.

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 24, 2009

    Majuto Sweden
    ulienda kwa ajili ya box kweli? au mzee upo kwenye kitengo maalum,sema bwana sikuhizi yale mambo si ya kujificha sana kama zamani,majuto umwelevusana Kazi njema. Mary- Sinza

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 24, 2009

    Mimi najianda kupata uraia wa marekani, lakini mimi ni Mtanzania kabla ya yote. Nisingependa kuvuliwa uraia wa tanzania. i don want to be an American, Iwant to be a Tanzanian American.

    ReplyDelete
  29. AnonymousMay 24, 2009

    Hilo wazo la uraia wa nchi mbili sio baya....lakini ubaya wake unatokana na ukweli kwamba...Iwapo serikali itapitisha kuwepo kwa uraia wa nchi mbili ...basi na Tanzania nayo itakuwa "Imeuzwa rasmi". Wafanya biashara wengi wa kiAsia wana uraia wa Uingereza, Canada, India, Uarabuni n.k. kwa hiyo "Profit" zao zote watazipeleka nje.
    Halafu pia swali linakuja...Uraia huu wa nchi mbili utamfaidishaje mlala hoi mwenzangu? Mimi naona watakaofaifi ni walioko nje ya nchi. Wakirudi wata-enjoy "privelege" za kitalii.
    Kwa hiyo mimi naona Tanzania isiruhusu "uraia wa nchi mbili"......Bado wakati wake.

    ReplyDelete
  30. AnonymousMay 25, 2009

    Anony 10:46 PM, Kwa taarifa yako, Wazawa wengi tu kama mimi tuna pasipoti mbili sio tu Wahindi. Ila tumekaa kimya tu. Kuna wazawa wengi tu wanaweka fedha zao nje kutokana na hali ya uchumi Bongo. Nenda Canada, UK, Marekani au Australia, utaona wazawa wengi kuliko wahindi wanadunda na uraia wa huko. Kwa hivyo usikonde wala nini.

    Mlala hoi namsaidia tangu uhuru. Unafikiri fedha za kulipa bajeti ya serikali imetoka wapi? Sisi walipa kodi nje ndio tunaotoa misaada Tanzania kila mwaka. Mwaka huu tumelipa asilimia 40 ya bajeti.

    ReplyDelete
  31. kauli ya kwamba JK amekuwa wa kwanza kupeleka njaa kwa OBama...ni upuuzi mtupu....ni kujidhalilisha....kuhusu uraia...kama mimi nilishajilipua siku nyingi...naishi bila wasiwasi wowote...bongo naenda na nafanya mambo yangu kama kawaida.....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...