Home
Unlabelled
jacob zuma
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I wish all south africans - africans, wazungus or wahindis all the best with new leader...unfortunatley he has too much baggage and lets hope he does not turn out to be like mugabe or iddi amin
ReplyDeleteI could not agree more with the above mdau...just read the dude's history ,,,yaani I wish all South Africans all the best maana jamaa hajatulia kabisa
ReplyDeleteHuyu Mchunga Ng'ombe ana kizizi! kila afanyalo huwa ananawa! Mhhh ukimwi haupo hapo, may be!!!!! I hope he gets good advisers! perhaps that will make a difference!
ReplyDeleteNkosi Sikeleli Africa... Maluphakanyisw' uphondo lwayo. Mfundini inzima!!!
We shall see!!!!
huyu mtu ameelimika kwa elimu ya kidunia tu sio lazima uwe na degree ndio uwe umeelimika,mzee huyu pamoja na mambo fulani aliyotereza profile yake inatisha ni kiongozi imara,mfano vice president mzuri kwa takribani 10 years,msuluhishi wa migogoro ya rwanda na burundi,mwenyekiti wa anc mzuri,alipigania uhuru kufa na kupona wa watu weusi na kufungwa roben island 11 years,ameshakaa zambia,tz,botswana,mi naona ana experience ya kutosha,private life yake ni yake.
ReplyDeleteona baraza ..la mawaziri..
ReplyDeleteni nusu ya lile la Jk..
http://www.politicsweb.co.za/politicsweb/view/politicsweb/en/page71619?oid=128222&sn=Detail
kiihiyo kachukua nchi.tanzania lazima uwe na madegree bwana then ma experiance yanafata baadaye.
ReplyDeleteJZ kweli ulituhumiwa mno ili tu usiingie Ikulu. Tabia yako hatuijui ipo moyoni mwako. Mimi nakutakia kila la kheri ingawa najua hii blog wala huijui wala huisomi
ReplyDeleteNawatakia wana wa Afrika ya Kusini uongozi bora chini ya Zuma.
ReplyDeleteTumeambiwa mengi mabaya juu ya Zuma kutoka vyombo vya Magaharibina wapambe wao hapa Afrika. Hatujaambiwa kwa nini wananchi wampende kiasi hicho. Yeye ni mtu wa watu, kashiriki ukombozi kwa vitendo. Anaishi kizuru na kutukuza uafrika hadharani kwa kuimba na kucheza sawia.
Maisha yake binafsi tumwachie mwenyewe maadam hayaathiri maisha ya wananchi wa Afrika Kusini. Zuma ni mkweli na muwazi tofauti na waafrika wengi waishio kinafiki kwa kujifanya wana ndoa moja huku wana msururu wa vimada, wanakana watoto wao na kuwatupa mitaani.
Hope he is a good leader, just let south aficans support him for their better welfare
Mfano kwa maraisi kuwa na muda wa kuongeza watoto kama Raisi huyu mwenye wanawake lukuki na watoto lukuki.Anajitahidi kwa uwazi kwani pia uzazi haja kataa mtoto hata mmoja.
ReplyDeleteI am worried about the future of South Africa. Jamani uongozi wa nchi si lele mama wala si kujua kucheza ngoma. Idi Amin alikuwa mcheza ngoma sana tu...I hope SA haitaishia kuwa kama Zimbabwe but I guess we shall see.
ReplyDeleteGod Bless South Africa, God Bless Africa.
Mdau, Boston, US.
Mnamsema JK na Zuma. Mbona Obama mnanyamaza? Acheni uzushi.
ReplyDelete