Home
Unlabelled
kikao cha kero za muungano
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
jamani hicho ni kikao sio sherehe, sasa hayo mapambo ya nini?
ReplyDeletesifa za waliouanzisha muungano kamwe hazita potea kama ilivyo kwa aliyegundua computer... tofauti ni kwamba kuanzia Pentiam 1 up to date there is a great revolution (Hard tauch to Soft Tauch), while in our Muungano there are a lot of old VIRAKA without a huge changes viongozi walewale mtizamo uleule na hawataki mawazo mapya. labda kwa sababu wanaosimamia mabadiliko ya computer ni wazungu... wanaitisha vikao vya muungano kwa ajili ya kuongezeana posho and nothing else. wana mitazamo hasi wanafikiri kama mabadiliko makubwa yakifanyika sifa zao zitatoweka. wanapiga marktime na kushona viraka kwa kutumia uzi wa zamani, machine ya zamani, kitambaa cha zamani,...
ReplyDeleteMUUNGANO WENYE VIRAKA
DAR
Ina maana Serikali ya Mapinduzi tu ndio inaona kero? Je patina wake yaani Tanganyika(Tanzania Bara) haina vitu vya kuboresha au kurekebisha ndani ya Muuungano?
ReplyDeleteNadhani muungano ufe kwani hausaidii zaidi ya kuleta machafuko nyakati za uchaguzi mkuu.
ReplyDeleteMichuzi, umejuaje haya yote wakati wewe haupo bongo???
ReplyDeleteMi naona kama muungano ni muhimu sana basi wa-WATAMIL tu, crush wapinzani wote na tangaza kuwa waliotaka kujitenga wamekuwa defeated na jumuia ya kimataifa itawapongeza.
ReplyDeleteSasa naelewa kwa nini hatusongi mbele na hizi kero za muungano. Wanaume peke yao ndio wanaoshughulia tatizo hili na sifa zao zinajulikana. Maneno mengi matendo hakuna. Kwa nini wasiwape fursa wanawake kuwatatulia hili tatizo la Muungano? Cheki hiyo safu, mijidume mitupu na imeshiba kisawasawa kwa posho za vikao.
ReplyDeleteKama ningelikuwa na uwezo ningeingia ikulu ni kuvunja huu muungano.hautusaidii chochote bara,kwa kweli huu muungano hautusaidii sioni umuhimu wake wakati Zanzibar wanaona kama bara inawameza lakini ukweli ni kuwa bara ndiyo inaingia hasara kubwa.Zanzibar hata hailingani na ukubwa wa wilaya ya Bagamoyo wao siku zote watu wa kulalamika yamemeguka mataifa makubwa lakini maisha yanaendekea itakuwa sembuse na sisi.kwasababu sioni umuhimu wa huu muungano tena .kila mmoja achukue time yake.tumechoka na kelele nyingi kuliko faida tunayota huu ni muungano wa hasara ,si mmesikia Zanzibar wanasema kuwa M-Bara akimiliki ardhi Zanzibar lazima akodishiwe, na kulipa dola elfu tano kwa ekari kwa mwaka.hapa bara wazanzibar na wapemaba wanamiliki malaki ya majumba na maekari ya mashamba sasa hawa nao tuwafanyeje???? muda umefika sasa wa kuelezana ukweli
ReplyDeleteMie sioni faida ya huo muungano wowote, naona maloalamiko tu kila siku kutoka kwa wazanzibari, si wapewe tu nchi yao wajiongoze wenyewe,
ReplyDeleteKero za muungano hazitaisha kwasababu `kero' yenyewe ni `ulaji'. Vikao, makongamano, wafadhili, yote hayo ni ulaji kwa wanasiasa. Hii sasa ni `kufa kufaana'
ReplyDeleteLakini kwa maoni yangu wananchi wengi wanaumia(kiakili na kujiona hawathaminiwi kwa baadhi ya maeneo kama Zanzibar), kwani mpaka kuoneka na kuitwa kero ujue kuna jambo, na sidhani kuwa ni mchezo wa siasa tu.
Cha muhimu tujue panapofuka moshi kuna kitu kinateketea. Tusifumbie macho tukaona kuwa ni mtaji,tukawa tunapiga danadana kupoteza muda, ipo siku moto utalipuka, na kero itakuwa sio kero tena!
M3
jamani hata mtoto hukua kwa babaye zanzibar kakua mwacheni aende akatafute bwana mara mafuta yetu wenyewe bara wasnusema mara rais ashindwa kuhuduria sherehe za muunganao ukiona mke anafanya vituko ujue anataka talaka maana vitabu vinasema mwanamke hupewa talaka yeye hatoi talaka hakuna kero hivyo ni vutiko tu waacheni waende mbona mademu wengi tu kuna burundi rwanda wote wantumind
ReplyDeleteMuungano tunaupenda lkn check hii link usome mambo ya znz kama kweli wanatundea haki sie tutokao Bara
ReplyDeletehttp://www.freemedia.co.tz/daima/habari.php?id=4855
safi sana
ReplyDeleteamen...
wewe mchangiaje wa May 19, 2009 4:06 AM nakushauri chcochote unachokunywa, kubugia au kuvuta uwache mara moja.
ReplyDeleteper diems
ReplyDeletembona hatuambiwi ni kero zipi zimepatiwa ufumbuzi? Kwa nini?
ReplyDeletewewe mtowa maoni wa May 19, 2009 10:15 AM unasikitika nini? mbona unataka kuwa kigeugeu? watanzania hatutaki wakenya na waganda wamiliki ardhi tanzania, sasa na kwa nini wazanzibari wasilinde ardhi yao? ukitaka usitake zanzibar ni nchi na wananchi wake wanahaki ya kulinda mali yao. unataka tutendewe haki? basi na tuwatendee wakenya, waganda na warundi haki tuwaache wachukuwe ardhi yetu!
ReplyDeleteKwa mtizamo wangu, Rais Karume anachangia kwa kiasi kikubwa kwa hisia za watu juu ya muungano kutojulikana, hivyo sio rahisi kupata ufumbuzi.
ReplyDeleteTangu mjadala juu ya "muungano" uwe mkali Karume hajawahi kutoa kauli yake kama alivyofanya Kikwete ili nasi tumuelewe. Ukimya wake, kutohudhuria sherehe za Muungano, kutokutoa msimamo wake juu ya Muungano bado ni mambo ya kujiuliza.
Kwa nini, wakati yeye ni kiongozi anaetakiwa kutoa kauli ili tulio chini yake tujue nae ana msimamo gani juu ya muungano?
Your silence maims Karume.
mdau wa May 19, 2009 10:15 AM hebu jaribu kwenda visiwani ununue gari halafu ulilete bongo usikiye utakachoambiwa na wanaforodha! confusion ya muungano sio upande mmoja ni pande zote. kuna sheria nyingi hazieleweki na ni confusion kwa wananchi.
ReplyDeletehamuezi mkaambiwa n kero zipi wala solution gani itafanyika, ni mambo ya viongozi tu, kwan wao ndo walouweka uo muungano na ayo mambo ya muungano wanayajua wao na wake zao, nyinyi wananchi nyamazeni tu wao waendelee kula.
ReplyDeletekero zipo na bara pia co zenji tu, uyo alotoa link apo katupa vp muandishi wabara analalamika khs umiliki wa ardhi zenji, msisahau km zenji ipo ndani ya tz, kwa hiyo wazenji wote n watanzania lakn c watanzania wote n wazenji, na ndio maana mzenji anaweza kumiliki ardhi bara na visiwani lkn mtanzania bara analazimika kulipa kodi uko zenji, pia kipindi cha nyuma wazenji walikua wanaweza kuingia bara bila ya pasi yoyote(ni sawa coz wazenji wote n watanzania na hawajotoka nje ya tanzania) lkn wabara walikua hawawezi kuingi zenji bila ya pasi, na hiyo ilikua kero kwa upande wa bara, pia zantelilipokua inataka kuanza biashara bara ilikua kuna kero pande zote 2, bara ilikua inataka zantel i-move bara (walikua wako sawa) na zenji hawatak coz waendelee kupata kodi, sasa matatizo km haya ili tuya-solve na km muungano uendelee basi lazim kuwe na serikali 3 ili kijulikane kipi cha muungano na kipi c cha muungan. jambo jengine uyo shein yeye mzenji na vtu ambavyo c vya muungano vinamhusu nn?, hou ni mtazamo wangu tu pengine nipo sawa au laa.
ReplyDeleteWanawake hawahusiki kujadili muungano?
ReplyDeleteWEWE UFE SIYO MUUNGANO, WACHA PUMBA ZAKO,AUFI NG"OOO.
ReplyDelete