Home
Unlabelled
kp leo
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
I LOVE TANZANIA!!! In no time watatajana mpaka then watajipeleka mahakamani na selo WENYEWE!!!! Kiulaini... Kudoz Kipanya!!
ReplyDeleteFISADI PAPA NA FISADI NYANGUMI HAPO
ReplyDeleteMAKULILO, Jr.
www.makulilo.blogspot.com
HONGERA MICHUZI UKO FAIR SANA KULE JAMII FORUMS WACHAGA WA CHADEMA WAKISHIRIKIANA NA MAMLUKI WAO KAMA BENSON MWAKYANJALA-MWANAKIJIJI WANAZUIA MAONI YA KUMSEMA VIBAYA MENGI KWA VILE NDIO M
ReplyDeleteMWANAKIJIJI ANASEMA KUWA MENGI KAIPOTEZA BILIONI 28 WAKATI ROSTAM AMEPOTEZA BILLIONI 40.
AMESHINDWA KUELEWA KUWA MENGI ALIIBA PESA ZA UKIMWI TOKA MAREKANI BILLIONI 47 KUPITIA CRDB.ACHILIA MBALI MZUNGU ALIYEIBIWA POUNDS MILIONI TATU AKIWA KAMA MUWEKEZAJI KWENYE FAMILIA YA MENGI.
MICHUZI UMEKOMAA HUKO JAMII FORUMS-JAMBO NI KUSIFIA CHADEMA NA WACHAGGA TU.TEMA MENGI MAANDISHI YAKE YAMENUKULIWA JAMII FORUMS KAMA HIYO ENOUGH IS ENOUGH IKO JF MUDA MREFU.
MENGI NI TAPELI NA JAMBAZI KUBWA NDIO MAANA NYERERE HAKUWAHI KUMKARIBISHA NYUMBANI-MSASANI ALIJUA KUWA NI TAPELI.
HATA KUUUNGUA BENKI KUU WALIOHUSIKA NI WATU WA KILIMANJARO TU.
WACHAGGA ACHENI WIVU WA KIBIASHARA.
ROSTAM KAFANYA MENGI JIMBONI KWAKE IGUNGA KILA NYUMBA IMEPEWA CHAKULA NA ROSTAM KIPINDI CHA NJAA, ACHA SHULE, HOSPITAL NA ZAHANATI.ROSTAM HANA MPINZANI JIMBONI KWAKE KWA KAZI NZURI ALIYOIFANYA.ROSTAM NI MSOMI WA OXFORD.
US Blogger
Wewe unayejiita US blogger ni mpumbavu sana. Unawasema JF kuwa one sided na wewe maoni yako yakoje? Unaegemea kwa Azizi. Labda nikuulize hivi hiyo pesa aliyotumia kununua chakula wakati wa njaa, kujenga shule, zahanati nk ni kiasi gani? Unajua ni kiasi gani fisadi Aziz anawaibia wananchi? He is just pretending to be giving back to people but in actual fact he is not. Hizo shule alizojenga zina hadhi ya kuitwa shule? Zahanati zina waganga na wauguzi, madawa nk?
ReplyDeleteGood sasa tunakwenda! naona tunaanza kukua! Hongereni watanzania! ninaposoma haya maoni najua sasa tutafika, kilichokua kinapiganiwa na Mwalimu Nyerere ni watu waelimike ndo watajua kupigania hakizao, naona sasa Elimu imokidogo ingawa bado watu sio wafatiliaji wa mambo lakini, si haba mpaka sasa!Tukiedelea hivi Ukabila utaisha natutajenga nchi.Sio vibaya kuwasema watufulani wakabila fulani wakiwa wana mwenedo wa ukabila, ila si vizuri pia kuwa point kupita kiasi,ita wafanya wawe defencive na sio jambo zuri!
ReplyDeleteKiufupi Hawa jamaa wote nimafisadi, invyo onekana wame shindwa kuelewana kwenye mambo fulani fulani sasa wameanza kujianiaka.
Kuna usemi unaosema dhambi haijifichi! sasa wanaumbuana,Rostam alicho kisema sio kigeni kwa watanzania, watu wanajua yote hayo, nivyema amewapa watu ushahidi sasa nikazi kwenu wana sheria na waandishi wa habari, Mengi anasthili kuchukuliwa hatua, na Rostam pia, wakikutwa na hatiya,
HUU NDIO WAKATI NATAKA KUJUA WATANZANIA WANAAKILI AU LA! KWAJINSI NINVYO JUA WABONGO LINAWEZA KUISHIA HEWANI! NA WATU WAKASAHAU, LAKINI ILIJAMBO NINYETI SANA KWASABABU LINATAKIWA KUA LAMFANO KWAMENGINE MENGI YANAYO KUJA NAYANAYO ENDELEA HADI SASA! NATAMANI NINGEKUA Tanzania kwasababu ningekua mstari wambele kufuatilia kwaukaribu! kazikwenu mlioko bongo.
Wewe US blogger koma tena koma usianze kuweka ukabila ndani yake tuatulipua kinoma....Kila mtu na hulka yake mafisadi wako wengi tuu kwani ni wachaga peke yao???? Stop that Nonsense plseeeeeeeeee...Kwanza wewe pia inawezekana fisadi
ReplyDeleteNDIO Wachaga tunawivu wa kibiashara ndio maana tunaendelea....Wachaga tupo JUUU..Wewe jee vipi mwenzangu? Unakata mauno tuuuu
ReplyDeleteALAFU NA WEWE KIPANYA MATOKEO YA FORM FOUR YALIVYOTOKA UKATUCHORA KINA DADA TULIVYOBURUZWA NA KINA KAKA KWENYE MATOKEO SASA NAOMBA UIRUDIE ILE KATUNI YAKO KINA DADA WALIVYOONGOZA MATOKEO YA FORM SIX USILETE MFUMO DUME APA
ReplyDeleteHao ndi nyangumi na papa wa nchi hii. ndio wanaotumaliza watanzania. kila mtu ana kauli zuri utafikili malaika kumbe wote ni wezi tu.hakuna cha muhindi wala huyo mweusi mwenzetu wizi mtupu.
ReplyDeletendani ya muda mfupi makampuni kibao ya bwana mengi, wizi mtupuuuuu!!!!!!!!
ReplyDeleteWOTE NI MAFISADI,SI PAPA WALA NYANGUMI WANATUBOA,
ReplyDeleteMENGI kamwaga mboga, ROSTAM kamwaga ugali. patamu hapo!!! Ila tuhuma za Rostam zipo wazi zaidi kuliko za mengi kwani amejaribu kutoa vielelezo na siyo maneno kama anavyofanya mengi.
ReplyDeleteKP umeniua yani hao dagaa hapo chini wanavoshangaa wameniacha hoi,, sura zao za mshangao zimenichekesha, lol,lol,lol,
ReplyDeleteKipanya yu a e jiniaz, lol,
Bronx NY
Wewe unaejiita US Blogger kweli hajui unalosema. Unamtetea huyo Rostam wakati unajua wazi kuwa huyo ni mwizi. Yeye kama mbunge kwanini hakutoa hizi data kabla za kwake hazijaanikwa hadharani? Huoni kuwa huyo mtu sio mzuri, yaani amefanya hivi kwa kuwa amelazimika kujibu mashambulizi ya Mengi vinginevyo angebaki kimya. Na sidhani kama alishawahi kufichua uovu wowote wa aina kama hii huko nyuma kwa kuwa yeye mwenyewe ana kashfa kama hizo. Kumbuka kwamba yeye katuhumiwa, alichotakiwa kufanya ni kukanusha kwa kutoa ufafanuzi unaoonyesha kuwa tuhuma alizotupiwa sio za kweli, badala yake katoa mchanganuo mreeefu unaoonyesha ni jinsi gani Mengi nae ni fisadi. Yaani hapo ni kama anatuambia kuwa "jamani fisadi sio mimi peke yangu na Mengi nae ni mwenzangu".
ReplyDeleteUliyejiita 'US Blogger' nitashukuru kama utacha kutumia Trademark yangu.
ReplyDeleteSioni sababu kwa nini usiwe anonymous ama utumie jina lako la blog ama jina lolote ulitakalo lakini kutumia majina ya wengine haipendezi.
Globu ya jamii inaruhusu kila mtu atoe maoni yake lakini kutumia majina ya wengine haipendezi.
MAALUMU KWA MISUPU
ReplyDeletewewe michuzi unajifanya editor sana eeeh! unachagua maoni gani u publish na yepi uyatie kapuni siyo! hilo kapu litakapojaa sijui utaziweka wapi? pole sana! ninaendelea kusema hiviii, I HATE THAT DEVIL ROSTAM! JUST THAT! Hii pia weka kapuni! Utajiju!