mwanamuziki nyota lady JD aongea na globu ya jamii
Home
Unlabelled
lady JD aongea
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
dah,safi sana,hata kama sio official talk ila i real appreciate her,she is so coonfident,so chaming na anajihami mno,thtz great,hoping jide bado atawashika sana tu rof the coming yrs,i real like her....jide bg up sana,usistuke na maneno ya magazeti ya ijumaa,udaku ,umbea na watasutwa kweli......rafiki wa mashaka
ReplyDeleteNilisikia wimbo unaitwa "Njalo" ukitamba South Africa..Sikuamini kama kuna sauti ya huyu binti yetu..Ametulia sana kulinganisha na wanamuziki wengi wa nyumbani.. Yaani ana kipaji.. Keep it up Jay dee..
ReplyDeleteJide u rock, mama Mbibo hajambo mpe hi na hongera kwa kuzaa chuma kama wee very strong woman, comandoooooo uko juu zaidi ya wote
ReplyDeleteupo juu sana jide,we are appreciatin your work,wewe ni hardworker, upo simple,na unajua unafanya nini,tunakuombea usonge mbele zaidi
ReplyDeleteAma kweli siku hazigandi mwanangu, kaza buti Jide.....Watu mara ooh! Jide na Gadna hivi..mara vile...hamchoki? Mtasema sana jamani.... lakini wenyewe wajinywea wine yao taratiiibu na maisha yanasonga mbele kama kawa!!!! Mungu awabariki Gadna na Jide ili tuendelee kupata burudani ya machozi band na Jahazi. Asante Bro misupu kwa kutuletea hii video.
ReplyDeleteMdau
Cardiff
yo interview nzuri lakini tulio mbali tungependa kama ungeifanya ndefu kidogo keep it up lady JD kazi nzuri,when lady jd coming to holland?
ReplyDeleteMichuzi wacha kutuzingua! eti habari za siku nyingi! kwani huyo si balozi mwenzio wa Zain??
ReplyDeleteBig up Jide
ReplyDeleteNext time kaka michuzi zima simu yako ukiwa unafanya mahojiano..duh kelele hapo mwishoni hadi karaha!!
ReplyDeleteJide uko juu, wewe ni mtu wa watu, huna dharau na una mchukulia kila mtu kama alivyo na hiyo ndiyo siri ya mafanikio yako, usije badilika na Mungu ataendelea kuku bariki utakuwa juu kuzidi mu-ashock babe.
ReplyDelete