na anakukaribisha mdau umtembelee. hongera jide kwa libeneke
Home
Unlabelled
libeneke la ladyjaydee
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
hongera mama, nimekusoma.hayo ndo maendeleom ya wanawake yanayotakiwa
ReplyDeleteits Neyma
Good!
ReplyDeleteSiku hazigandi bint Machozi, kaza buti Mungu atazidi kuzibariki kazi za mikono yako.
kwa kweli picha imekufanya bomba. Nadhani hata wewe huamini kama ni picha yako. idumu photo make over.
ReplyDeletehapana lady JD ni mzuri ila alikuwa hajijulii makeup alikuwa anajibandika tu sasa kapata mwalimu mzuri. yote heri hongera dada
ReplyDeletelibeneke limeenda shule na lakibunifu, kaza buti mama
ReplyDeleteUmembeba haraka sana kaka si kawaida yako au kwa vile ni nanihii na we ni nanihii kaka?
ReplyDeletehaya bana kila la heri
Wabillah Tawfiq
Hongera dada Judy.Good move tutatembelea libeneke lako muda c mrefu.
ReplyDeletejamani picha ya Binti machozi imetoka sana tofauti na yeye alivyo. jikwatue mama labda Gadna atatulia maana kwa vicheche mh!
ReplyDeleteKaza buti Mama
Mangi wa K'koo
kwanza nampa hongera binti machozi kwa kuanzisha blogspot yake. huu ni mfano mzuri kwa wanamziki wetu wa kutoka tanzania kuonyesha sio kwamba wanaweza kuimba tu bali wanauwezo wa technologia. Ila jambo moja ningependa kumshauri binti machozi ni kwamba amewahi kutangaza blogspot yake. Ni vyema angesubiri mpaka iwe na contents za kutosha ndio aitangaze. However, well done Lady jaydee....
ReplyDeletehongera sana Jide mimi ni mpenzi wa nyimbo zako nimefurahi kwa kufungua blog yako nyimbo zote ni nzuri sana tena sana lakini zaidi wimbo ulionikosha wa siku hazigandi ni kweli kila mtu anadhambi hakuna aliye msafi ukisema hapa nafurahi sana maana binadamu hawachelewi kumhukumu mtu, Jide unakipaji Mungu kakujalia nakuombea kila la heri na Mungu akusimamie kwa kila kazi yako mamaa songa mbele . Dada Betty
ReplyDeletemimi nilifikiri hili libeneke ni kwa ajili ya shughuli zake tours, picha zake, n.k???
ReplyDeletehuyu binti katulia na anajua anacho kifanya, zaidi ya hapo kwa sasa anazungukwa na watu wa maana kama vile huyu barozi wa nanihii si una jua ni mama m'moja lakini tumbo mbalimbali, hivyo hana room for mistakes any more, soma profile yake ujionee- go girl. Dada J hiyo makeup imetulia nadhani sasa kweli umejua the right type of your make up .
ReplyDeletebig up
huyu binti katulia na anajua anacho kifanya, zaidi ya hapo kwa sasa anazungukwa na watu wa maana kama vile huyu barozi wa nanihii si una jua ni mama m'moja lakini tumbo mbalimbali, hivyo hana room for mistakes any more, soma profile yake ujionee- go girl. Dada J hiyo makeup imetulia nadhani sasa kweli umejua the right type of your make up .
ReplyDeletebig up
Wewe Mangi k'koo macho yako yana makengeza,eti unasema picha imetoka tofauti na yeye alivyo,lady jaydee yuko kama anavyoonekana hapo kwenye picha na mtu yeyote ukimuonyesha picha hii ukamuuliza huyu ni nani atakuambia Lady Jaydee,sio kama wewe picha yako ya kijijini wakati una kwashiakor inatofautiana na ya kariakoo baada ya kupata vyepe!!!! Bravooo Jay dee
ReplyDeleteMwacheni Jide awe Jide na hata Michuzi akiwa kaka ake kuna nini? tunajifunza kupitia kwa wakubwa zetu ati we ulijua kunya chooni kabla ya kukalishwa ebooo hata blog ikiwa haijitoshelezi ndio mwanzo atakua tu, big up saaana tu
ReplyDeleteTatizo jide wewe tayari umeshakuwa model kwa wadada wa kibongo, mambo kama haya inadhihirisha wewe ni kiwango , endelea hivihivi kukandamiza na kudumisha mafanikio yako kwani wewe ndivyo ulivyo, kuongoza kwa mifano ndiyo zako.
ReplyDeleteKeeep it up,
Mdau
Nelsprit
RSA
jamani km kuna mwanamziki anae jieshimu hapa tanzania km judy kweli sijamuona kwanza ni mwanamke anae jiamini , pia anajua kulea mume kabda sijamaliza sifa zote naomba aachwe msimchafue binti machozi wa watu , wanamziki kibao wa kike hapa ni kashfa tuu hawaolewi wakatulia hebu mjaribu kuiga manzuri ya binti machozi .. hata km aa matatizo yake hakuna binadamu aliye kabili bali mengi manzuri ya jidee yanajieleza yenyewe
ReplyDeletepia kwa kweli kwa sasa binti machozi yupo juu km nyimbo yakee alivyoo iimba isitoshe bidada ww kwa sasa unatisha kwa mavazi na hata kujiremba kweli sikuhizi jidee anapendeza unapendeza mama ww kazi buti waache wanaokusema vibaya wasome nambaaa tuu kwa nyuma ww mbele kwa mbele ...nakupenda sana huwa sikosagi kwenye makamuzi yako kila wiki UPO JUUUUUUU MAMA
bora umeiondoa ile picha ya mume wangu kwani aliondoka nyumbani hakuaga paka nikamuona kwenye blog yako. maana pangekuwa hapakaliki. halafu alivyo kukumbatia??!!!
ReplyDeletemamaa uko juu.wasiache kuongea kwani maneno jadi yao, but to me your among the few strong women,sijawahi kukuhate and i dont expect to do so. keep it up mumy your da best.
ReplyDelete