Mlimbwende Ida


Michuzi,
Kuna habari hapa ya mlimbwende matumbi mwenzetu Ida Ljungqvist amekuwa model wa kwanzamwenye asili ya Afrika kutwaa taji la Playmate of the yearlinalotolewa na gazeti maarufu la mambo ya kikubwa la PlayBoy.


Kwa kubeba taji hilo Ida Ljungqvist amejishindia kitita cha fedhataslimu dola za Kimarekani 100,000; mkoko mpya na ma-deal kibao yau-model.


Kwa mujibu wa

http://www.kansascity.com/stargazing/story/1177876.html

Ida anapendelea kuwa mcheza sinema Hollywood na hivyo anatumaini tajihili la Playboy litampa nafasi nzuri zaidi ya kuingia katika sinema zaHollywood.
Ida amezaliwa Tanzania (kwa baba Mswidi, mama Mbongo) na anabongaKiswahili kama hana akili nzuri.


Hivyo ni mwenzetu kabisa huyu na japokuwa waosha vinywa watachongakuhusu fani yake, lakini huwezi jua kati ya wanawake milioni 20walioko Tanzania ni wangapi wangependa kufuata nyayo zake.


Histori yake kwa ufupi iko hapa:

http://en.wikipedia.org/wiki/Ida_Ljungqvist

Siku njemaFred

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 33 mpaka sasa

  1. MwanakijijiMay 06, 2009

    "....anabongaKiswahili kama hana akili nzuri."....i think wewe uliyeandika ndo hauna Akili Nzuri..inamaana Watanzania hawana akili nzuri....shame on U!

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2009

    Duh!!! Wabongo bwana!! huyu dada mnasema mmatumbi mwenzetu wakati anaonekana hata kiswahili hakijui lakini ROSTAM mnasema muIRAN; Je tutafika?
    yangu macho. Safi sana Rostam kwa kumwaga ugali kwani mengi alishamwaga mboga.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2009

    Kaka michuzi, umenikumbusha ule wimbo wa bongo flava unasema " misifa ya kijinga".
    Playboy, porno sijaona tofauti yake nisaidieni! Anyway ndio "mtanzania" wa kwanza _ misifa ya kijinga!
    Naomba tumsifie yule mshikaji wangu, mtanzania wa kwanza kuiba magari ya kifahari uingereza na kuyauza East african countries na amefungwa jela UK, maana huwezi fahamu katika watanzania milioni 30 niwangapi tungetamani kujaribu hilo deal!

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 06, 2009

    curtains open let the drama begin!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 06, 2009

    She won for being the best naked body in a magazine. She’s beautiful, but man PlayBoy is the best she could do? How about Vogue, Ebony, or JET?

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 06, 2009

    Ida Ljungqvist ni mmatumbi au ndio mambo ya kina Pramukhswami? ok balozi twende kazi

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 06, 2009

    Plzzzzz Michuzi weka picha FULL tuone alichowashinda wezake

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 06, 2009

    yaani bongo bwana mtu ukifanikiwa kufanya kitu abroad hata kama kiwe cha kudhalilisha watu wanafagilia...anyways i guess "kula ni kula bora mkono uende kinywani" aliyeask kuhusu Vogue, Ebony, or JET...sidhani kama anajua magazeti vizuri....yaani jet umeona nalo ni gazeti la maana...funny !!!

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 06, 2009

    weka ujumbe wa kesho::

    unahusu watu wanaoponda matawi ya CCM ughaibuni:

    "While we may not agree on every issue, we should show respect for others"

    Mwenyekiti wa tawi la CCM- Saudia

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 06, 2009

    Watanzania kweli sisi kwishehi! mimi nilifikiri tunachukua identity from the father not mother, mimi baba ni msukuma mama ni mchaga kila mtu ananiita mimi ngosha, kinehe huyu dada ni mtanzania wakati dingi msweedishi.
    yeye mwenyewe anaji identify as sweedish and tanzanis opps shauri yenu.
    fani yake changuduo kucheza uchi na wazee, unataka tumsapoti nini/

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 06, 2009

    SAFIIII SANA MWANADADA
    KAZA BUTI NA HONGERA SANA,SIO SIRI ATA KM NI GAZETI LA UTUPU,KWANI NDIO IMANISHE ULILALA NA WANAUME AO BILA KINGA??UNAWEZA FANYA KAZI BAA NA USIWE MALAYA VILEVILE.

    BORA UMECHAGUA ILO KULIKO AO ANNONS WANAOPONDA ILHALI WAO NDO MA-EPA NA MAFISADI WA NCHI.

    BORA NINI?JAMBAZI,LESBIAN,SHOGA,KULALA NWA WANAWAKE KIBAO TENA BILA KONDOM AU?

    UKO JUU,NA HOLLYWOOD UTAFIKA TU

    asiye na dhambi na awe wa kwanza kumpiga JIWE tuone,,

    "roho za kwanini"

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 06, 2009

    WEWE annon wa 1:26 Mimi nakuunga mkono wewe una akili sana yaani umeleta point ya maana sana.

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 06, 2009

    aisee mtoto ana tea-teazzz adi raha tupu dah!!

    haiba nzuri

    basi tu acheni

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 06, 2009

    shetani kweli katawala...dunia hii!

    bingwa wa kukaa utupu ana pewa pesa kiasi hichoooo!!

    huna nao ni ufisadi!

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 06, 2009

    nimesoma iyo kitu apo chini

    jamani??adi aibu akisema yeye ni mtanzania,
    "WANAGOMBANIA NANI AMCHUKUE MNYAMA?"sijui ni pet gani uyo,uyu mtoto ni mzungu tu wala si mtanzania

    khaaaaaa

    ReplyDelete
  16. United nationMay 06, 2009

    Watanzania hiki sio kitu cha kujisfia hata kidogo kwa kifupi inahusika na picha za ngono na ni jambo la aibu kwetu watanzania kujisia kwa ujinga huu

    michuzi weka picha alizozishindia kama unaweza kuzikubali kuangaliwa na jamii kwenye globu ya jamii sana sana inaongeza vichocheo vya ukimwi

    Michuzi samahani naomba uondoe tanagzo hili la aibu kwa watanzania

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 06, 2009

    wakina john mashaka wanatokea kwenye business week magazine tunakandia, dada yetu anatolea kwenye playboy tinashabikia??

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 06, 2009

    Duh safi sana hii ... naona dada kalipaisha jina la Tanzania ... kila article inazungumzia kwamba "She was born in Tanzania" and "She speaks Swahili"

    Well done!

    Tunasubiri kwa hamu kukuona kwenye big screen za pale Mlimani City na small screen za majumbani mwetu kupitia DVDs au MovieMagic!

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 06, 2009

    Mchafu kinoma-Ushetani mtupu
    Anasubiri divosi toka kwa mumewe

    Consider these facts.

    -Ida Ljungqvist was sleeping with men for money?
    -She has a public divorce with her husband Joshua Lang?
    -She had an affair and is having an affair with another guy?
    -She was on adult web-sites seeking men for “financial gain”
    -Wears religious symbols around her neck while wearing…? (you get the idea)

    Many blogs and comment pages are saying she is a “fraud” and a “liar” who didn’t deserve to win the crown.
    Most Americans aren’t that dumb and will most likely see through the plastic doll Playboy pronounced to be the queen of nudity.

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 06, 2009

    Kusema kweli inabidi watu tuwe na fikra kichwani!1Kwasababu naona watu wakifanya vitu vya ajabu nje waTz tunaona kama ni jambo a maana.Huyo kuwa uchi na kulala na hicho kibabu ni kwa ajii ya pesa unadhani hiyo ni kitu cha maana??nOOOOOO kwanza ni aibu tu watu wote wanaoenda ktk pay boy ni dumb asses mtu mwenye akili nzuri hawezi kwenda kujidhalilisha....

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 06, 2009

    Haya sasa African wa wapi she is mixed race as far as i'm concerned, jamani au wazungu wao mtoto ni wa maternal parent? Baba Mswede, mama Mtanzania kwa maeneo ninayotoka mimi ambapo mtoto ni wa upande wa baba huyu ni Mswede!!

    Jamani hebu atupishe kabisa tena bro Michuzi ninaomba uitoe hiyo habari hapa mimi kama mtoto wa kike na ninajua wenzangu wengi hawatamani katu! playboy? of all the jobs za modelling? na mbona hakwenda America's Next top Model basi? Jamani...

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 06, 2009

    Anon wa May 06, 2009 9:22 PM hapo juu,

    Ndio kusema wewe ni msafi saana au?!!

    ReplyDelete
  23. AnonymousMay 07, 2009

    Mtindi wa kutengeneza, Mgumuuuuu.Mwanamke ashinde kitu kwa Natural Beauty bwana,Ndo maana nasema,WANAWAKE WETU WA KIBONGO BOMBA, mara chache sana sana kukuta wametengeneza Vitu, Wao kidogo tatizo LAO MKOROGO!!

    ReplyDelete
  24. AnonymousMay 07, 2009

    Michuzi nawe ndio nini sasa? Yaani picha za kikubwa ndio picha gani hizo?Hebu weka wazi basi ili tujue picha za kikubwa ndio nini?

    ReplyDelete
  25. AnonymousMay 07, 2009

    Mbongo/Mtanzania gani katika nchi za ughaibuni ameshika nafasi bora katika elimu either ya chuo ktka hao wanaoendaga?

    Eti katwaa taji la picha za kikubwa Wabongo mnashangiliia..Upuuzi gani huo..

    Hiyo ndio kuonyesha waafrika hamna kingine mnachokijua zaidi ya hicho..Mnadharauliwa bado mnakenua mimeno...

    Wazungu ni wajanja wakikudharau wanakudharau kisomi(kiakili)hujigundui ndio kama hivyo....Kenueni tuu

    ReplyDelete
  26. AnonymousMay 07, 2009

    Anon wa May 07, 10:50 AM

    Unaposema "Hiyo ndio kuonyesha waafrika hamna kingine mnachokijua zaidi ya hicho..Mnadharauliwa bado mnakenua mimeno...

    Wazungu ni wajanja wakikudharau wanakudharau kisomi(kiakili)hujigundui ndio kama hivyo....Kenueni tuu"

    JE PLAYMATES AROBAINI NA TISA WALIOCHAGULIWA KABLA YA IDA - AMBAO WOTE NI WAZUNGU - UNAWAWEKA KUNDI GANI?

    KUWA MAKINI BWANA NA KAULI ZAKO. USILETE UCHONGANISHI KUPITIA KASHFA ZA REJA REJA.

    ReplyDelete
  27. AnonymousMay 07, 2009

    Michu ungetoa habari hii na tahadhari kwamba ni "kwa wakubwa tu" manake fani ya huyu Mmatumbi ni "kwa wakubwa tu".

    ReplyDelete
  28. AnonymousMay 07, 2009

    anafanya miti iliolala iamke tayari kusimikwa, ua lake linachanua likiguswa, kuna utelezi mti ukisimikwa, anacheka na ngozi yake nyororo. ananasa mtu ampendaye. kama anauza ni juu yake ukiuziwa na kama pesa unayo utakataa? Mmh onja
    zafanana hiyo ni packaging tu! Mtoto kaumbika kiwiliwili chake ila hana msondo.

    ReplyDelete
  29. AnonymousMay 07, 2009

    ehee mpateni kwa video hapo,http://www.icelebz.com/celebs/ida_ljungqvist/videos/playboy_goes_black_for_playmate_of_the_year.html.

    ReplyDelete
  30. AnonymousMay 08, 2009

    Come on people!! This is her life; if she decided to be a hookier/porno star or nudity model so let it be. She is not carrying a Tanzania flag. She is just a chick who trying to be herself, and get what she wants. She was born in Tanzania and her mother is Tanzanian, so what? She has a Tanzanian blood get over it! She is not representing you or your country; let her do her…If her family approves it, that’s all matters. How many women sleep with man for money, promotion or opportunity for that matters……We need to stop making people accountable for representing Tanzania when they are trying to better themselves. If somebody is successfully and happen to be Tanzanian we all jump in the wagon and trying to cheer him/her. What about those who are failure? they are not Tanzanian? Or we find a way to bail them out? That’s her body she can do whatever she wanna do with it. I’m not supporting what did, all I ‘m saying is she is 27 years old who trying to be famous and happen to be born Tanzania. A lot of people came from that pass, like Anna Nicole Smith…We have a lot to worry about like clean water, electricity, unemployment and much much more. Instead we spend a lot of time criticize Ida for doing something for herself.
    How many public leaders in Tanzania are doing stupid things, why nobody stand up and say enough is enough…especially they get there by your vote and they are using your public fund to benefit themselves and their families. At least nobody died because Ida posed nude. But (and this big ‘but’) your leaders make mistakes which lead to people losing their life. And you still go and vote for them on the next election……”DO NOT WORRY ABOUT WHAT IS IN YOUR NEIGHBOR BACKYARD, WORRY ABOUT WHAT IS IN YOUR BACKYARD”
    And people are trying to attack Michuzi, please “Don’t kill the Messenger”. He delivers news, if you don’t like it, don’t read it.

    ReplyDelete
  31. AnonymousMay 08, 2009

    Atupelekee huko sinema zake za p.......... Hana haya.

    ReplyDelete
  32. AnonymousMay 09, 2009

    Kwishnei/kwishnehi maana yake nini wadau?

    ReplyDelete
  33. AnonymousMay 09, 2009

    watu wanafurahia things like these but sio kitu,mtu akiwa MIss hiyo ni poa bt being in a playboy magzne tht means being naked cause thats what that magazine is famous for and it daznt bring a good pic kwa waTZ wengine ambao tuko huku n working cz we are all underestimated by some pple,she mait not b carrying the TZ flag bt she's carrying our countryz name,to be famous,y daznt she say shz Swedish then!!....not good...bt anywy,its her life rait?!her body..make paper bt not taking such shortcuts,coz they might not last forever..getting a serious education is the best option in life

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...