
Komandoo Hamza Kalala
salaam sana bro michuzi,
Nomba niweke ombi langu katika blogu ya jamii ili wadau waweze kunisasaidia.
ombi langu kwa wadau: kuna nyimbo naipenda sana ya Hamza Kalala jina lake siikumbuki vizuri ila nakumbuka maneno machache katika beti zake.
"nimekusamehe lakini sintakusahau kwa uliyo nitendea kalala heee heeee
.....wakati wa shida umesahau yale tuliyotenda nawe,wakati unaelewa
wakati una elewa hakuna bingwa/komando wa shida....."
kama kuna mtu anaweza kunishauli wapi nitaipata.tafadhari naomba afanye hivyo.
asante sana bro
mdau.
mtanzaniamwenzenu@yahoo.com
kadiri kasimba, naonekana mjinga
ReplyDeleteiringa, mwanza, arusha kote nimefika
nifanye nini cherie ujue kama nakupenda
unaitwa rafiki mnafiki.alipiga akiwa na washirika jazz band akiwa na kina abdul salvar,Adam bakari( sauti ya zege)Eddy sheggy,msafiri n.k
ReplyDeletemdau kisiju.
heee
ReplyDeleteunautakia nini??mbona umekaa kishari wimbo wenyewe,mipasho!!
nna wasiwasi nawe muombaji
wewe unataka ule wazamani au alio uludia akiwa na mwanae kalala jonear/
ReplyDeleteWE ANONY WA 3 HAPO JUU,KAMA HUJUI KITU KAA KIMYA, SIO KUANZA KUWEKA MADONGO PASI NA SABABU. KWA WENGINE MJIFUNZE KUSOMA MASWALI, MNAKURUPUKA TU, MDAU ANATAKA KUJUA PIA KUWA ATAUPTA WAPI HUO WIMBO
ReplyDelete