nyota wa muziki wa kizazi kipya, mwansiti, aongea
na globu ya jamii kuhusu mambo yake, ikiwa ni
pamoja na kibao chake kipya pamoja
na albamu itayoingia sokoni punde
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Michuzi acha uhuni, eti mie napenda sana ule mziki hebu niiimbiee
ReplyDeleteMichuzi acha uhuni eti kuchomekea, lol naona ulitaka kumchomekea dada wa watu akashtuka.
ReplyDeleteJapokuwa nadhani hakuwa amejitayarisha kuongea na mwandishi, lakini nimeona kuwa ana uwezo mzuri wa kujieleza na kujibu maswali...ninamsihi kuwa yeye si lolote kwa sasa hivi aendelee na tabia yake njema na wala asije akalewa sifa na kupoteza uwezowake katika fani ya muziki.
ReplyDeleteHongera Mwasiti na sasa hivi ninakusikiliza katika kibao chako, japo ni maelfu ya maili.
mwasiti upo juu sauti yako inamtoa nyoka pangoni
ReplyDeleteI wish dada zetu wawe "sharp-minded" like her.She appears simple but complex in her own way.Namtakia heri ya maisha na music.
ReplyDeleteJamani siyo MWANSINTI, NI MWASITI.
ReplyDelete..mwansiti, mwasiti, mwaciti?..
ReplyDeleteNow there's a genuine talent!
ReplyDeleteBig up mwasiti keep keepin on work harder everyday, harder than yesterday and you will reap the the fruits of ur labor. Aim high, go for bigger things. Nakaaya is doin good for us, you can do better if u put urself down to it!
I love uuuuuuuuuuu!!!
Eneo la interview ni Starbucks au HardRock Illinois? au Bongo ndo imekuwa tambarare hivi?
ReplyDeleteMbeba Box Mkongwe
Belgium.
michuzi bwana "mi naupenda sana ule mwimbo hebu nipe mstari mmoja, KWELI TENA"LOL
ReplyDeleteoyaaaaa
Hapo ni Best Bite...Namanga Dar... Iyo mbona cha mtoto kuna Marybrown Masaki usssipaiiiimeeeeeeeeee...
ReplyDeleteshe seems to be very smart, she can do more than music. Keep it up Mwasit.
ReplyDelete