shampeni yao

kaka mtu amkabidhi herieth kwa prosper wakati wa send off ilofanyika alhamisi ukumbi wa ttc club
watarajiwa prosper na herieth na wapambe wao wakati wa msosi wa send off tcc club alhamsi

maharusi prosper na herieth wakiwa wamekabidhiwa vifaa vya kimila wakati wa mnuso wao viwanja vya karimjee hall usiku huu

prosper na herieth wakiwasili ukumbini kwa mbwembwe zote

maharusi na wapambe wao baada ya kumeremeta katika kanisa la mtakatifu joseph jumamosi hii

maharusi na wapambe wao wakielekea ukumbini

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 23 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 10, 2009

    Hongera sana Prosper na Harieth, mmependeza sana.Uvumilivu na upendo huimarisha ndoa.Mungu awabariki mdumu katika maisha mema ya ndoa.Msiwape nafasi watu wafitini watawaharibia, mtangulizeni Mungu kwa kila jambo.

    Mdau K wa UK.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 10, 2009

    Michuzi Nakuja uko lazima nikuajiri ata kwa masaa saba tu. Unimurike murike mimi na shemeji yako.mwezi wa 6

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 10, 2009

    Prosper mdogo wangu Hongera sana.
    Ni text bwana kwenye +60176452510
    Kaka yako wa Upanga/St Joseph.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 10, 2009

    alilililiiiiii!endelesa ripeneke papake!wee nakwisa pada jiko,tunsa yeye mpa yeye upendo na yeye ape wewe yote,na mungu tanyorosha mambo!! asee hepu tafutia mimi pia jiko,ako nataka sana,iwe ya mujina au ya musungu sawa tu,lakini nafagilia ya kwetu ile ya mkaa!

    ReplyDelete
  5. AnonymousMay 10, 2009

    hongereni sana,mmependesa sana wachameni hadi naona wifu,ingisa upendo kwa ndoa yenyu pata miparaka ingisa yote na manege furaha iwebo sikusote pira majifuno na kuchionaona.

    mudawu-chosefu.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 10, 2009

    We Prosper wewe!!! Umemfanyaje Harrieth?????

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 10, 2009

    Hizo mila za mikuki na kapu ni za kanyigo au karibu na huko. I guess their first baby girl will have the name Koku. Just a joke!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 10, 2009

    eeeeeeeeeeeee kaka we ongera kwa kufanya kweli tumefurahi saaaaaaaaana sisi dada zako wa Uk mungu awabariki katika maisha yenu ya ndoa, zaeni matunda mema mungu awatangulie katika kila jambo, THANX AND WISH U ALL THE BEST

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 10, 2009

    mimi huwa nabaki solemba tu na hao watumishi wa Mungu. Wanajua wazi Ndoa ni muungano kati ya watu wawili nao huwa mwili mmoja wala sio wawili tena. Sasa pale wanapofungisha na wengine ndani ya wengine wanatuambia nini? Iko wazi kabisa kwenye vitabu na mafundisho kwamba ukimfungisha ndoa mke mjamzito ina maana na kiumbe kilicho ndani ni halali ya Mume, na ndio manake wazee wetu walikuwa wanakataa kabisa jambo hili. Michuzi michuzi michuzi naamini kabisa hutabinia.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 10, 2009

    Hongera sana Polo, ni muda mrefu sasa toka tuwasiliane, anyway ukipata muda nicheki.
    magoha mayagila
    dallas, texas
    214-876-0257
    goagear@yahoo.com
    peace

    ReplyDelete
  11. AnonymousMay 10, 2009

    Hongereni, maisha ni uvumilivu jamani. Hizo foleni za magari zisiwe kisingizio cha kupita nyumba ndogo jamani, kuweni na heshima na mpendani kwa dhati

    ReplyDelete
  12. AnonymousMay 10, 2009

    Jamani naomba kuuliza kuna siku niliona humu humu mtu aki"bonda" wanaume kuvaa shati ya "pink" kwani pink colour ina maana gani?

    ReplyDelete
  13. AnonymousMay 11, 2009

    Hongera sana Prosper.. u look diffent bro, long time!!!tokea jitegemee sec school?Nice to see u though ,mdau London

    ReplyDelete
  14. AnonymousMay 11, 2009

    Yani swahiba prosper siamini umeninyima harusi. Anyway wish you all the best and am so happy for you 2.

    ReplyDelete
  15. AnonymousMay 11, 2009

    mnalipa ila vijana

    ila apo kaka anakabidhi nini sasa?
    jamaa keshawapiga bao siku nyingii eshaopoa mtoto

    hahahaaaa,kiziba oyeeeeeeee

    ReplyDelete
  16. AnonymousMay 11, 2009

    Pink Colour inamaanisha JINSIA ya KIKE.......Vazi linaloonesha jinsia ya kiume ni rangi kama hiyo iliyoandikwa POST A COMMENT/RUDI MWANZO/MTUMIE RAFIKI YAKO...Mdau MBIJE A-Kafanabo

    ReplyDelete
  17. AnonymousMay 11, 2009

    Karibu karibu, manake wengi wanatam,ani kujiunga upande huu, na waliopo huku, wengine wanatamani kukimbia. Sikukatishi tamaa, ila kwa usia wangu kwenu, ni kukaza buti. Kwa mfano mzuri ni huyo dada aliyeomba ushauri leo kuwa `ligwaride limemshinda'
    Haya maswala hayashindwi mtu ni wewe na mwenzako kujiweka vyema, kupendana na kula vitakiwavyo, vinginevyo ukifika miaka 35, unaanza kulalamika. Hamna kulalamika hapo, ndio ndoa hiyoo, ukizubaa jamaa anachepuka nyumba ndogo

    ReplyDelete
  18. AnonymousMay 11, 2009

    Du himetulia sana kaka karibu kwenye club
    Byabato Biggie

    ReplyDelete
  19. AnonymousMay 11, 2009

    Hongera uncle polo na aunt Haritie .Lakini tumekosa harusi yako.But never mind
    From Lily and Jerry young teenagers from uk london

    ReplyDelete
  20. AnonymousMay 11, 2009

    Hongera uncle polo na aunt Haritie .Lakini tumekosa harusi yako.But never mind
    From Lily and Jerry young teenagers from uk london

    ReplyDelete
  21. AnonymousMay 12, 2009

    wewe biggie siyo nduguye na alvera babyato wa Ohio

    ReplyDelete
  22. AnonymousMay 12, 2009

    mwenzangu bakora hiyo yaani mmewacharaza wanga kitu yaani hi ceers mpaka na picha kweli nyie matawi ya juu, na ukumbi walivyopamba nimekubali, na mbunge wa tegeta jamani anajuwa kuphotoa mnyonge mnyongeni lakini sifa yake mpeni

    ReplyDelete
  23. AnonymousJune 09, 2009

    Hongera sana mshkaji siku nyingi sana toka enzi za jitegemee. Nakutakia maisha safi yenye upendo muweke Mungu mbele maana dunia imeharibika. Jitegemee U.S.A

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...