
Suzy amevalishwa pete ya uchumba na mchumba wake ambaye ni raia wa Uingereza anayeishi na kufanya kazi nchini Malaysia.
Kwa picha zaidi na habari bofya hapo chini:
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
baba na mwana
ReplyDeleteHongera mbona kibabu? Anatafuta wa kumlea.
ReplyDeletekweli njaa zitatuuwa! hapa ni mapenzi au ni uzungu na hela?...............hongera mtoto na mjukuuu
ReplyDeleteGimme a break!
ReplyDeleteNaona ni mjukuu na babu! Hapa sijui niseme nini? Lakini hongera sana kwangu mimi kuvalishwa pete ni bora kuliko kazi unayofanya ambayo kila mtu anaweza akakupenda halafu akikutumia anakuacha! Kila la kheri!
ReplyDeleteHata kama ni mambo ya wazungu jamani hii ni kali. Huyu mzungu anamu-abuse mtoto wake kwa kufunga nae ndo. Nahisi limbwata imetumika hakuna lingine. Hata sio mapenzi ni kugangiania eti aonekane kaolewa na baba yake. Ni ilikuwa ni haki ya mama wa huyu binti. Huyu mzungu nahisi anatafuta "CAREGIVER" baada ya retirement. Hata mshipa wa nyege hana kabisa. Wasichana muache tabia ya ku-abuse wazee kisa kugang'ania uolewe na zungu.
ReplyDeleteDuu! Suzy! Mchumba au mradi? Just wondering...
ReplyDeletePamoja na yote, hongera zako are in order.
Utulie sasa maana nyie nao hamtuliagi, Hongera sana dada
ReplyDeleteDuh!!! Kwa kweli Mapenzi Hayachagui!!
ReplyDeletesasa jamani huyu si ni makamo ya Babu yake kabisa!! Au ndiyo mzungu,tena Mwingereza!!Haya Hongera Dada kwa kuvishwa pete.
Mzungu keshapigwa dude,hapo hakuna penzi wala mahaba,mahesabu ya wazi yanaonyesha ni ukombozi wa kiuchumi.
ReplyDeleteIla mkumbuke kuwa sio wazungu wote wanaingia kichwa kichwa,akiona unamletea gozi atakurudisha bongo bila ya pocket money,kuweni makini masister du
Mimi nimemshangaa sana huyu anae sema baba na mwana ,wakati vijana hamtaki kuoa kutuchezea tu,mtu akiwa hajaolewa mnauliza ataolewa lini?akipata mchumba mnaanza kumponda kwa umri,kwani umri ndo nini swala la kuwa na mwenza ni maelewano na hakuna mtu anayemlazimisha mtu mzima kuolewa na mtu wa umri gani kumbukeni umri ni namba tu kinachotakiwa ni upendo na maelewano .mkiona msichana anabadili wanaume mwasema muhuni kumbe wote wanaomfuata si waoaji.Kapata mwenzie ili ajiepushe na magonjwa hili nalo hamumpongezi, mbona sisi wanadamu hatukubali kupomngeza mtu anapopata mafanikio,hata Tz kuna wasichana wadogo wameolewa na wanaume wakubwa ,mbona mke wa shehe Yahya hamkusema kaolewa na mzee ,Njooni na kwangu mumuone shemeji yenu (mume) wangu wa miaka 70 na bado ndoa ni kama tumeoana leo malavidav kibao na macare haluuuu.Mtajiju na midomo yenu sie twala vyetu
ReplyDeleteissue za vibali hiyo a.k.a papers. ingekuwa we mbongo usingepata kitu labda uwe na papers za UK. kwetu bado njaa njaa tu. jitu zee walitakia nini?? eti mapenzi!! loo wapi na wapi? bongo tambarare.
ReplyDeletejina langu ni taymour, ninaishi na kufanya kazi hapa uk. nina umri wa miaka 42 na natafuta mchumba. Paper zangu ziko sawa na wala sijaripuwa au kuchukuwa uraia wa nchi nyengine. nina ruhusa ya kukaa hapa indefinately. kama kuna mwanamke (umri kati ya miaka 25 - 50)yuko tayari kuolewa awasiliane nami kwenye email hii mr_taymour@hotmail.com
ReplyDeleteHongera dada yetu kwa kufanya uamuzi wa busara.
ReplyDeleteIla wakati wa harusi mkumbushe shemeji yetu asisahau miwani, maana ktk hii picha naona anafinya macho kuhakikisha anavisha pete ya uchumba ktk kidole husika.
bongo bwana, haters wengi...chaguo lake hilo...hongera
ReplyDeleteNamwonea babu wa watu huruma asije angaondoka siku si zake.....Waliwahi kupima kweli hao kabla hawajapeana ring? Huyo babau anaidea ya jinsi gani miwaya ya umeme iliyojazagaa Bongo......ziarani na mara ring....Kweli hii imecalculaitiwa vizuri sana.....Au ndio Love at first sight....Kila mtu anagain hapo....babu kapata true love na caregiver na bibi kakimbia mavumbi
ReplyDeletenani mkalimani hapo?
ReplyDeleteAmefanana na Ray C!!!
ReplyDeleteHamna lolote Wabongo mnaponda sana nyie, Nani alikwambia mtu mzima hana mapenzi? hana moyo ama?
ReplyDeleteMtaufikia utu uzima ndio mtajua kwa nini wanatakaga watoto nyambaf!!
Haya ni mambo ya kawaida ni bora uolewe na mzee kuliko vijana. Vijana ni waongo sana. Mimi nimeolewa na MTZ miaka 51, mimi nina miaka 32. Tunaishi maisha yenye upendo na amani katika ndoa yetu. Wasichana wenzangu msidanganywe na vijana, sio waoaji zaidi ya kukuchezea tu. Dada yangu ziba masikio usisikilize maneno ya majungu zaidi ya kukaza kamba. Hongera sana dada yangu. Ndoa ni maelewano tu na upendo kwa ujumla.
ReplyDeleteMdau USA
mmmmmmmmh hamna ndoa hapo we subiri huyu demu apate nyekundu,huyo babu wala hatajua huyo demu katokomea wapi,njoo dadad yangu uingereza kupiga box tu kwa kwenda mbele ila uvumilie mpaka hayo mapepa uyapate maana sio issue ndogo.
ReplyDeletehata mke wa yahya ni kwasababu za kutaka umaarufu wa jina tu,angalieni jamani njaa ni kitu kibaya sana,kinaweza kumfanya mtu akafanya asichokuwa ametegemea kukifanya maishani kama asipojifunza kuridhika na kujituma mwenyewe.haya ndo yale ya kutaka kunufaika njia za mkato,lakini kumbukeni pia hata wazungu wengine pia ni choka mbaya tu!ila kama ni tajiri haya dada kazi kwako akili ku kichwa unalako jambo,mapenzi nyuma uchumi mbele,kisha ubinadamu wako na utashi unakuwa umeeuza kisha PESA.kama mnabisha kiambie kibabu cha 70 cha huko vijijini ambacho ni fukara kije kutokea mnenguaji yeyote hapo bongo uone kama kitaambulia hata kumgusa mkono tu!tehtehteh
ReplyDeleteKAZI NA DAWA.
mchumba hakioni kidole kilipo doh anakitafuta
ReplyDeletewabongo tuna jua kuosha vinywa, kama makaratasi yana tuhusu nini?wewe ungempa hayo makaratasi bure?juzi alipo kuwa akikata mauno kupata riski yake kuna mtu alimwambia acha hiyo kazi nita kupa makaratasi ya UK mmhh si dhani leo kaji patia huyu babu/baba/sijui nini pilip[ili shambani.. mwacheni mbona hata ni hatua nyingine tena huenda ni bora kulikoni.Kama ni mzee hakumzaa yeye.happy for you girl.
ReplyDelete"Jamani mimi ni Buzi eeh nichuneni...Jamani mimi ni Buzi eeh Nichuneni.."General Defao.
ReplyDeletewalikuwa wakienda Thailand sasa wanageusa upepo kwa wasichana wadogo wa kiafrika mbona mnatia aibu jamani ni njaa gani hiyo
ReplyDeleteMuacheni jamani. Wakaka wa kibongo hawataki kutuoa. wanatuchezea tu wanatuacha tuko hart broken kila kukicha. Sasa ukipata akupendae, awe kilema, kipofu mtoto, mbabu, poa tu.Tunachotaka sasa hivi ni kupendwa na si kuchezewa. Mtu anakutongoza anakwambia mambo kibao. eti ooo, i wanna love u like u no any other, then baada ya mwezi mmoja vituko haviishi na bado kusema kakuchoka hasemi so anakufanya unaumia weeeee bila hata sababu jamani. So hata mie sasa hivi nikipata kijibabu poa tu. Mradi kinanipenda, feelings zangu zitakujaga huko juu kwa juu.
ReplyDeletetest kwanza kitu kama kinasimama ndio uingie mtoto mie nataka mjukuu wa kizungu
ReplyDeleteMapenzi si kalenda ati mkaanza kuhesabu miaka, mapenzi yanatoka moyoni tu.
ReplyDeleteMapenzi mapenzi mimi wala umri haunishtui kabisa.
ReplyDeleteKinachonishangaza ni huo muda waliojuana na kuamua kukubali pete yake. Kweli utakubali kuolewa na mtu wala humjui katika nchi ya watu. Nyie wasichana nyie hawa watu unatakiwa uwajue sana tu kabla hujajiingiza katika cycle yao. Kwanza huyo umeshamcheki background yake kweli? Huwezi jua usione meno manne tu mdomoni mtu akikutolea basi unayeyuka rohoni lazima uyaone yote ndio ujue mwenyewe kuwa uko kwenye mikono salama au la......
Hivi kwanini tunamsema sana huyu Binti kujiopolea kibabu chake cha kiingereza, kwanini tusimseme na huyo babu kujiopolea kimwana kama mjukuu wake? hamuona kwamba huyo babu naye ana taka sex kwa damu changa? , ngoma droo hapo for her it's money and for him it's Sex .
ReplyDeleteHongera zenu sana na Kila la Kheri.
Hiyo ring si ajabu keshawavika watu mia teh teh teh teh
ReplyDeletenaamini wamekutana alipokwenda kuangalia show yake...wazee hawa wanaokwenda kuopoa watoto bar wanapenda mchezo mchafu sana tu
MWMBIE BABU AVAE MIWANI, ANAPATA TABU KUONA KIDOLE CHA PETE..HONGERA..
ReplyDeleteKama alivyosema mdau mmoja juu hapo, hii ni ngoma draw.
ReplyDeleteKibabu kime exploit kibinti kidogo akitawale na kukifanya kijakazi chake (kibabu kipate physical and psychological nursing), na kibinti nacho kimeingia kwenye "mradi" huu kipate kutunzwa na kukiibia kibabu kwa manufaa ya kikazi (visa, professional and economic exploitation).
Nadhani ni mkataba wenye tija kwa pande zote mbili za Muungano.
hacheni kazi za unajimu ,kama mtu anaamua kufwata mambo ya kheri hakuna sababu ya kutoa dosari.kweni wangapi wameolewa au kuoa wazee.au vijana wangapi kawakatalia posa zenu.tunajua kuchonga sana na kutia gundu maisha ya watu .provided she is happy and target to achieve something in future whether status or wot ever is ridiculous for negative comment
ReplyDeletecomment nyingi za wabongo zimejaa mambo ya kipashukuna kama kibabu ,kajiopolea.haya yote ni mambo ya umbea na upashukuna ,kwa nini tufwatilie maisha ya watu,ndo maana tupo nyuma wewe utamani hivyo vizee hili utatoe
ReplyDeletewatu wivu na ntimanyongo tu!!!!!!!! mwacheni dada wa watu she is happy, babu nae yupo happy thats all that matters!!!! The rest of you anzeni kushoto and mind your own bussiness!!!!!!
ReplyDeleteHey John!
ReplyDeleteI couldn't believe it's you mate! It has been long time since we saw each other in Loughborough (UK) in 2007. Remember?
You look old know? What happened? I know you are only 25!
Don't tell me you have divorced your lovely wife Fiona!? Anyway, that is life!
How did you manage to get Bongo's woman? They are so beautiful and as you have got a dancer, I hope, she can take you to 'the top of mount Kilimanjaro' after long time!-their arts on bed in second to none!
I would fancy to get one like your, John!
Catch you later mate.
Sean
Niliona documentary moja ya child pornography kutoka kwa HBO nilisikitika sana. Inaonyesha jinsi hawa watu wanavyoshikwa sana na sheria hapa nchini hiyo hawawezi kupata watoto wadogo kama mademon yao yanavyowatuma. Hivyo wameamua kuwa wanakwenda Malaysia na huko wanaenda kwa sijui guest house halafu wanaletewa watoto wanachagua yupi wanampenda.It is so sad watoto wadogooooo wanawapa just $5. Nilishikwa na hasira sana.
ReplyDeleteI am glad huyu babu kachukua legal
wale walio na interest ya kuongea na mr taymour email yake sio mr_taymour@hotmail.com nimejaribu na imerudi, baadae nimebadili baada ya nukta na imeenda kwa hiyo jaribuni kwa mr_taymour@hotmail.co.uk
ReplyDeleteHey! hey! man, dont kill me with your John-Fiona letter. Pips , u dont have to- kuliforce on blog, k. Kama english haipandi kiswahili, ruksa!
ReplyDeleteTo get to the point,I think this is a perfect couple. So for us who are barely 20 we got a variety of totos to choose from wengine hata bado hawajazaliwa including huyo coloured atakayezaliwa na mnenguaji!tehteh
Wasungu ni miradi jamani nina land cruiser 3 vibibi wamenunua lakini kiu ya kimapenzi nakata clock tower,Mrina au Shivaz wazee wa A, city mnisadie dili za uvuvi.Tuko commercial men
ReplyDeleteI am mentioning this just for interest,has nothing to do with the above event, and please do not misinterpret or make any inferences
ReplyDeleteSiku moja nilimuuliza kisura wa mjini pale star bar,alikuwa kajipamba sana kwa wanja na poda, alikuwa ajitafutia rizki....suala ..nyinyi naona mara nyingi sana mwaondoka na wazungu au wahindi hapa kuna sababu ,,jibu.. ukienda na mmatumbi basi hakuna usingizi usiku huo, kila akikumbuka noti zake jogoo lawika
Wakatabahu
dada yangu mi nakushauri kitu kimoja tu ukishafunga ndoa akikisha mwaka wa kwanza unamzalia mtoto mmoja yani maisha yenu yatakuwa ya raha sana maana yake jamaa atajivunia sana kwa wenzake na nguvu yako katika familia itaongezeka...
ReplyDeleteusisikilize majungu kila mtu na bahati yake.....
tena huyo mzee anaonekana ana vijisenti kwa hiyo usisahau kwenda kufuta ujinga kashule tu ka kawaida ambako katakufungua macho zaidi
watu wanapata shida sana kupata makaratasi ndio maana unaona waosha vinywa wengi wanakuonea wivu
na ukipata mtoto usisahau kumweka katika blog ya jamii ili watu waendelee kuumia roho
I wish you a happy marriage....
Jamani muacheni SUZY wa watu, mbona nyie wabeba maboksi mmekimbia kwenu kwenda nje kutafuta maisha kila mtu ana njia yake ya KUITOLEA.Muacheni dada wa watu mnajua kafanya nini mpaka PETE AIMENUNULIWA........EHHHHHHHH??
ReplyDeletekabla sijasoma jumbez izi ebu kwanza nisafishe nji ivi;
ReplyDeletehahahahaaaaaaa hahahahahaaa
jaman msg 44??uyo dada si kapenda,na penzi halina UMRI.najua mmechonga saana apa
aya dada kila la heri tu
hongera bi'shosti
ReplyDeletewoooote wenye roho za kwanini na mfe,ivi nyie mliokaa na wachumba sijui wake zenu ktk relationship sijui miaka 5,2,1,10 nk!!mko wapi?mbona MNACHEAT SANA NA WEEENGI MSHAACHANA AU KUCHOKANA??penzi ni muda uliokaa,umri,pesa,kisomo au?
mabegwe sana nyie na nyumba ndogo zenu na ubuzi-fasidi viwembe wakubwa
kitu ni kile roho yako imeridhika,
once again sista congrats
THIS IS A NEW ERA FOR US,EBU SOMENI HISTORIA VIZURI NCHI NYINGI DUNIANI IKIWEMO JAPAN ZILIWAHI TOA WANAWAKE ZAO KWENDA KUOLEWA UGHAIBUNI ILI WAWEZE KUPUNGUZA UMASKINI WAO NA LEO ZIMEPATA MAENDELEO YA KUPIGIWA MFANO.KWAHIYO DADA SUZIE HONGERA YAWEZEKANA UKAWA NDIO UNAFUNGUA NJIA YA UWEKEZAJI!!!!
ReplyDeleteMdada Hongera kwa kuvalishwa pete....Watu lazima waelewe kwamba kuna umri mwanamke ukiufukia unataka kutulia na kuwa na familia yako......Sasa ukipata mwenzi wako unona ya kuwa ametulia ....ni kwa nini usifanye uamuzi wa kweli....Age doesn't matter...is just numbers.....
ReplyDeleteHaya Mambo ya kupata vijibob na halafu baada ya mwezi untegemea kuanza ugomvi wapi na wapi.....HONGERA MDADA KWA UAMUZI WA BUSARA