Home
Unlabelled
roho sitazaja
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
wabongo kwa copy and paste tu hatujambo.
ReplyDeleteHaya tena TOLLYWOOD?? Nahisi kizunguzungu.
kuweni wabunifu tokeni na vyenu.cover tu inaonesha wamecopy naira. nendeni bagamoyo mkasome drama, tuna chuo pekee cha sanaa east¢ral africa bagamoyo, nendeni mkaombe ushauri B'YO kwa ma experts JAMANI MSIKURUPUKE....
ReplyDeleteTuwatumie wataalam wetu vizuri. naikumbuka sana filamu ya kisomi ya RAMA iliyotengenezwa B'yo miaka ile mpk kesho
Wote hapo juu acheni hizo! Dunia nzima poster za movies zinafanana kwa hiyo hakuna kuiga Naija au nini! Msubiri muone talent za watu na yaliyomo humo ndani ndio muanze kupaka na sio kabla hujaona unaanza kubwabaja ovyo!
ReplyDeleteWatu wengine bwana, oooovyo!!!!!
anaon wa 9:02 AM we ni mwehu kabisaa na shule ilipita pembeni,hata maana ya cover hujui au we unafikiri cover la movie unapiga picha na kuweka tu mradi itoke chicha, hata o-level hujasoma kina ngoswe,kusadikika, things fall a part,owino etc.. wewe,hilo cover linamaana sana watu wa literature hapo kwa kutumia hilo cover kama aliyeweka alikuwa mwanaliterature aliyeapply elimu yake kutengeneza hilo cover wanakusimulia movie mwanzo mwisho.
ReplyDeletesasa hivi kila kitu ni shule mjomba
hakuna mambo ya experience nenda BAGAMOYO chuo cha sanaa kabla hujakurupuka nawengine wote mtaojifanya mnaniponda, hata kupiga ngoma, kuchonga vinyago sasa hivi ni shule yote yapo b'yo ndo maana jamaa madili yao ni ya nje na si bongo
siku nyingine usikurupuke mdau
Nyie! Tollywood ni nothing but a movie company managed by Hammie Rajab - wale old skul wataweza kumkumbuka huyu kwa utunzi wa vitabu, novo, na picha zenye wanawake wenye wowowo kubwa pasibo mfano!!!
ReplyDeletecover Kiinglishi na kontenti kiswahihi, wapuuzi nyie. Kwanza wote ni school drop outs!
ReplyDeleteAnony wa May 18, 2009 2:48 PM sasa unapiga kelele za nini? Wewe unajua Bagamoyo tu hujui vyuo vingine vya performing arts? Vp kujisomea mwenyewe, kuangalia self-help videos/dvds etc? Halafu hebu shuka chini kidogo manake huko ulikopanda sio kwenyewe - nani anayekuponda? Anony unayemsema kasema a fact kwamba posters za movies duniani kote zinafanana, sasa amekuponda nini hapo? Kama nilivyosema: watu wengine bwana oooovyooooo!!!
ReplyDeleteAnony wa May 18, 2009 4:57 PM - what the hell are you talking about?!!??? Sio lazima useme kitu, bwana, na saa zingine ukikaa kimya ni poa sana tu. Unataka kuongelea usomi wa wasanii wetu? Unalinganisha na nani? Wamarekani? Sylvester Stallone hana elimu yeyote na alishindwa kupata kazi wakati anaanza kwa vile alikuwa haelewki akiongea on screen. Chris Rock kapata cheti chake cha kumaliza elimu ya msingi, GED, akiwa na miaka 35!Kate Blekinsdale (sp) alikataa kwenda chuo baada ya elimu ya sekondari na sasa ni actress bomba tu. Na wengine wengi. Hao hapo kwenye cover I can guarantee you wameenda shule na at least wamefika sekondari na ni true professionals in their respective fields.
WaTanzania wengine bwana - ndivyo walivyo.....oooovyyooo!!!!
ano wa May 19, 2009 9:32 AM bado unakurupuka
ReplyDeletemimi ninaongelea khs elimu ya sanaa ya maigizo,ninaongea coz nafahamu. nakwambia tena katafute movie inayoitwa "filamu ya RAMA" angalia mwanzo mwisho halafu fananisha na hao watu wako kina ray, kanumba, etc
kwa msaada zaidi nenda b'yo kuanzia tar 25 sept ya kila mwaka ukaone tamasha la sanaa ili uelewe ninayoongea, unavyosema sijui chuo zaidi ya b'yo haya nambie niongelee chuo kipi cha sanaa ambacho wasanii wetu wateweza kuafford fees US or UK kma phillipines ni 20m tsh/yr? vyuo vya sanaa E.Africa ni mlimani, makerere lkn hawana practice kama b'yo.
nambie ni movie gani ya tz iliyopata tuzo ya nje kiubora zaidi ya wasauzi, na ni kwanini?
pole sana mwehu....