Hosted by York University Swahili 2000 Students
When: May 23 2009
Time: 2:30-6:00pm
Where: 953 Gerrard St. East
(Pape Ave and Gerrard St East, at the Matty Eckler C.R.C)

Inviting Family and Friends to come and join us in celebrating Swahili Language, Culture and Art, with Music, Food and other Entertainment
Price: No Cover Charge.
Food and Beverages price range $0.50 – 4.00
For more Information please contact Regina:
or

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 20, 2009

    Ni Kiswahili hakuna swahili

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 20, 2009

    mmekosa kazi hebu rudini nyumbani nyie wakimbizi wa kiuchumi!! hii ni pamoja na wale walioko nchi nyingine.

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 20, 2009

    HAYA TENA, SHIME WATANZANIA MLIOPO CANADA. JITOKEZENI BASI KWA WINGI ILI KUITANGAZA LUGHA YETU TAMU YA KISWAHILI AS THE NUMBER ONE LINGUA FRANCA IN AFRICA. WEKENI PEMBENI TOFAUTI ZENU ILI MUWAONYESHE CANADIANS KWAMBA YOU ARE ALIVE AND KICKING.

    ReplyDelete
  4. AnonymousMay 20, 2009

    Kwa anonymous wa May 20 5.14 AM - Swahili ni English na Kiswahili ni kwa lugha ya Kiswahili, sawa na kusema English kwa lugha ya Kiingereza na Kiingereza kwa Kiswahili. Hicho chama chao kina jina la Kiingereza kwahiyo ni lazima waseme Swahili na sio Kiswahili.

    ReplyDelete
  5. Kwa Anonymous May 20, 2009 7:55 PM umemjibu mwenzako vizuri, karibu nimjibu lakini hakuna haja sasa. Mara nyingi naona watu wetu hudhani utumizi wa "swahili" kwa lugha ya kiingereza ni makosa na kumaanisha wanaotumia "swahili" katika maandiko yao ya kiingereza, hawajui kuwa lugha enyewe inaitwa kiswahili kwa kiswahili. Na hii dhana itaendelea tu vile vile sijui ni nini kitakacho badili fikra za wenzetu kuhusu yale niliyoyataja juu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...