Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando (kushoto) akikabidhi mfano wa hundi ya shs milioni tano kwa Mwenyekiti wa Chama cha  Riadha Mkoa wa Dar es Salaam, Christina Malunda ikiwa ni udhamini wa Tigo katika masindano yam bio za nyika yanayotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam Mei 16 mwaka huu. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijini humo jana. Katikati ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Lucas Nkunga.
Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando (kushoto) akikabidhi moja ya sare ya fulana kwa Mwenyekiti wa Chama cha  Riadha Mkoa wa Dar es Salaam, Christina Malunda ikiwa ni udhamini wa Tigo katika masindano ya mbio za nyika yanayotarajiwa kufanyika jijini Dar es Salaam Mei 16 mwaka huu. Hafla ya makabidhiano ilifanyika jijini humo jana. Katikati ni Katibu Mkuu wa chama hicho, Lucas Nkunga.
 Ofisa Uhusiano wa Tigo, Jackson Mmbando (katikati) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana kuhusu udhamini wao katika mashindano ya Mr & Miss Talent ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam yanayotarajiwa kufanyika chuoni hapo kesho. Kutoka kushoto ni Miss UDSM 2008, Tunu Yongolo, Mr UDSM 2008, Mussa George na Waziri wa Michezo wa chuo hicho, Philip Simon.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 15, 2009

    shati sijui top ya uyu dada shoto
    apo palipo wazi tunaruhusiwa??
    ulijiandaa kwa pozi

    asante burudiko

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...