90 people get the Swine Flu and everybody wants to wear a mask...
A million people have AIDS and few people want to wear a condom...
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Balozi! Hii imekaa vyema mnoooooo!!
ReplyDeleteeveryone wears condoms EXCEPT SISI WAAFRIKA... SHAME
ReplyDeleteANON WA PILI, who told you that only africans hawavai CD? have you been in Asia esp. Japan na kujua kinachoendelea.....?Smtimes msijishushe waafrika!
ReplyDeleteNdugu zetu Afrika tumeshindwa kubadili tabia ya mapezi zinaa, wanawake hawana nguvu na uwezo wa kujadili matumizi ya Condom wakati wa zinaa, aibu ya kununua condom bado ipo, na mwisho pombe na madawa tukipunguza zinaa itapungua na watu watavaa kondom...hii ni mchepuo wangu wa fani ya elimu juu "PhD" juu ya magonjwa ya kuambukizwa hususani ukimwi.
ReplyDeletemuache sio mvae kondom.Hivi kwani imekuwa chakula hiyo ngono usipo kula unakufa?
ReplyDeleteHii imetulia, BIG UP
ReplyDeleteyou made my day 6 May 09,,,
ReplyDeletetrue completely
AIDS imekaa pabaya.
ReplyDeletewewe anon wa pili acha upuuzi wako. kwa tarifa yako mimi nina washikaji kibao ninaosoma nao hapa UK ambao kila siku wanasifia ngono wanaume kwa wanawake. ukiwauliza kama wanatumia condom wanauliza ya nini. watu wana magonjwa kibao ya zinaa hapa, advantage walionayo wenzetu wana madawa kibao na mtu akihisi tu amenasa anakimbilia kwa GP anapata dawa bure. wewe unaweza kufanya reseach simple tu ya kuangalia kwenye picha ngono kisha tuambie katika hizo ulizoangalia wangapi wametumia condomu. Acha kutuzalilisha waafrika kwa kila kitu, kwani umeambiwa hiyo statement imetoka Afrika? nchi ngapi Afrika so far zimekumbwa na Swine flu?
ReplyDeleteafter a while, even swine flu it should be like aids
ReplyDeletesio ivo tu, bali ukimwi watu wanaufata, (ukiachia mbali wale wanaopata kwa njia nyengine), raha ya dkk 5 inakutesa kwa miaka mi5
ReplyDeleteWewe ni mpumbavu katika wapumbavu wote hapa dunia,How can you fucken relate HID/AIDS with flu fuck u ass.Ifikie wakati muwe mnatumia utandawazi vizuri sio kuleta utani hapa.Ndio nyie mnao sababisha hata condom zina panda bei na kuwa na ubora usiofaa kilasiku.Usitake kupima watu hapa mbwa wewe.
ReplyDeleteThink about transmissio process people.Dont just rise something like that.
ReplyDeletemsitake kuzengua watu kilakitu wafrika wafrika, anayeangalia Jeremy Kelly's show ataona jinsi gani wazungu ni wazembe kwa ngono zembe. kila kibaya sio lazima kiwe cha weusi.
ReplyDeletemsitake kuzengua watu kilakitu wafrika wafrika, anayeangalia Jeremy Kelly's show ataona jinsi gani wazungu ni wazembe kwa ngono zembe. kila kibaya sio lazima kiwe cha weusi.
ReplyDeleteWatu wanavaa MASK kama show off coz wanaonekana lakini ukivaa Condom hatakuona nani
ReplyDeleteJacob Zuma alizumgumza maneno yenye akili sana lakini watu hususan wazungu walimuona kama ni mlevi wa komoni.. "mtu hawezi kufa kwa UKIMWI kinachotuua ni umasikini"Jamani sio waafrika tu wanaokumbwa na haya magonjwa, hata wazungu pia, ila kinachowasaidia ni kwamba wana kila facilities za kukabiliana na haya matatizo, na hata hao waafrika walio europe ambao wamepata ngoma afya zao ni nzuri tu na huwezi kuwajua kama hujaambiwa .. mm niko Denmark hapa na hawa jamaa wanapandana kama kuku na hakuna cha kondom wala nini.. kwa hiyo it is not fair to insult ourselves
ReplyDeleteina manisha swine flu ni hatari zaidi ya AIDS mana inasambaa kwa kasi na kuhuwa kwa kasi.
ReplyDeleteukimwi unaweza ishi miaka hata 20.
swine flu siku kadhaa tu unakitoa .na ukipiga chafya tu umeambukiza wenzio.
kwa mana hiyo tusi nyanyase wenye ukimwi kwani swine flu nayo inauwa .
mungu anaweza leta magonjwa hapa duniani tukaona ukimwi cha mtoto.
WEWE ulioandika huo ujumbe na wanaokusupport nadhani inabidi msome zaidi mjue tofauti ya AIDS na Swine flu.Swine flu ni airborne disease so uambukizi ni wa haraka sana na inaua haraka.AIDS ni bloodborne disease na ukiipata unaweza kudunda miaka kadhaa unawagawia wenzako.
ReplyDelete