mgeni rasmi mkurugenzi mkuu wa kenya breweries ltd Baker Magunda akitoa darasa wakati wa sherehe ya usiku wa masoko kwa wana afrika mashariki uliofanyika hoteli ya kempinski kilimanjaro jijini dar usiku wa kuamkia leo ambapo wafanyakazi katika vitengo vya masoko toka makampuni mbalimbali walikusanyika pamoja katika mnuso huo uliodhaminiwa na vodacom, tbl na mwananchi
bosi wa masoko wa vodacom ephraim mafuru akiongea wakati wa mnuso huo
meneja wa kilaji cha ndovu wa tbl george kavishe akimwaga sera
mashindano yaliyoshirikisha wadau mbalimbali yalikuwepo. hapo ni kabla ya kuanza kwa shindano la kusakata rhumba
bosi wa masoko wa vodacom tanzania ephraim mafuru akishuhudia mai waifu wake akikata keki aliyomwandalia ikiwa ni sapraizi kwani siku hii iliangukia siku ya mnuso wa wana masoko
wasanii wakali wa afrika mashariki kwa sasa amani toka kenya (shoto) akila pozi na marlaw kabla hawajatumbuiza
amani akitumbuiza
bebe cool toka uganda alikuwepo kutia radha mnuso huu 






whatttttttttttttt?
ReplyDeletebalozi wa nanihiiii hahahahaaaa....hujatulia kabisa
sasa ndo nini apo
nadhani mainjinia na wachumi nao wanajiandaa kutoka kivyaovyao
ReplyDeleteDuh! kumbe Ephraim Mafuru ana mke? mbona bado yuko sokoni kwa sana tu anatuzibia nafasi mabechela kibao?
ReplyDeletemmhh very' nice lakini wee kaka Michu' mbona mama barozi una mwacha mwacha kwa nyuma? ok anyway good job bro!!
ReplyDelete:-) :-)
Inaelekea sherehe zilifana, na nafurahi jinsi walivyo vaa "simple". Ila Michuzi nadhani ulikuwa umechoka umebana sana picha. Happy B'day naniii wa Voda
ReplyDeleteKaka michu hii ni bonge la event ever seen before.Big up to organisers but next time they should raise their heads and marketers in other regions.TUPO ACTUALLY.
ReplyDeleteEverything seems to be so interesting. ni sherehe ambayo ukienda una-gain NONDOOOZ
Mdau-moshi
Papa Kool is that you?? Eee bwana za siku ...JIRANI yako toka Tanga....NYC hapa.
ReplyDeleteTutafutane facebook.
Michuzi,
ReplyDeletePeleka salamu kwa Papa Cool na mwambie huyu ni Pat Magazeti wa Pazi na Magnet kumbukumbu pale Gymkhana na Magorofhani-Ohio.....
Hivi JAy-Z akivaa miwani usiku na sie TUVAE JAMANI?? tabia hii ya kuiga kila kitu kwa macelebrity wa magharibi inanikera ile mbaya?? WHATS THE POINT OF WEARING SHADES DURING THE NIGHT????
ReplyDeletehizi style nyingine .. Mwe!!
The local affluents
ReplyDeleteDude! dont embarass urself, note the difference between stunners and sunglasses. Thats Bebe Cool! Comeon ma!
ReplyDeletemamaa Mafuru hongera sana kwa tendo hilo umeonyesha KITU SAFIII
ReplyDeletewakome na wajiju ving'ang'a wa waume wa watu!!
safi sana
Mi ni mwana masoko pia, how can I join the team, thank you
ReplyDelete