uzi mpya wa ugenini wa bwawa la maini umeshatoka

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 13, 2009

    du poleni sana yaani bado mnaomboleza kipigo cha mwanaume U hadi mmeamua na jezi zenu ziwe na rangi ya maombolezo poleni sana

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 13, 2009

    Michuzi hayo ndo uliyobakiza! kweli umeishiwa, yaani unaanza kuota next season eeh teh teh teh, tena jezi lenyewe jeusi, msibaaaaaaaaaaaaaaaa! kila siku nasema KUUZUNGUKA MBUYU SI KAZI, KAZI KUUKUMBATIA!

    Ni Man-Utd-Die-Hard-Fan!

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 13, 2009

    KUDADADADEKI...Hicho kifaa kinaitwa XABI ALONSO the best passer of the ball in the world!! Mtoto anapiga mipasi huyu balaaa walai! Nyie mnasema Gerrard ndo Player of the year lakini sisi Liverpool mchezaji wetu ambaye ni Liverpool player of the year ni huyu mtoto. Wachzaji wa timu pinzani wameshindwa kabisa kumkaba Alonso hadi wakamfanyia mifaulu kibao ndo maana Alonso anaongoza kwa kusababisha wachezaji wa timu pinzani kupigwa kadi red kibao

    ReplyDelete
  4. Mdau, SoharMay 13, 2009

    Balozi eeh, mbona maombolezo mmeanza mapeeeema hivo?

    ReplyDelete
  5. Hongera kwa kazi nzuri.
    Nakukaribisha Mei 27 jioni ujifaudie vinywaji vya buuuure wakati Giggs/Neville akikabidhiwa kombe pale mjini Rome,Bagamoyo.

    ReplyDelete
  6. AnonymousMay 13, 2009

    Mtabalisha UZi mpaka mmalize rangi lakini, makombe Maniyuu!

    ReplyDelete
  7. AnonymousMay 13, 2009

    MANCHESTER UNITED tunabadili Vikombe nyinyi munabadili Uzi Wa Mikosi! kaazi munayo lazima musasambue!

    ReplyDelete
  8. AnonymousMay 13, 2009

    Mdau wa kwanza kabisa anazungumzia nini? Mwanaume U ndio timu gani?
    Katika mengineyo, kama Manchester United wakichukua ubingwa msimu huu ubingwa hautanoga kwa sababu wanajua wana mtemi wao. Japo walipigwa mbili tu hapo Anfield lakini hawatasahau dhahama iliyowashukia Old Trafford ya 4x4 by far. Kiwewe kiliwasumbua mpaka mechi iliyofuata na Fulham.

    ReplyDelete
  9. AnonymousMay 14, 2009

    Kuna watu ambao watabakia kusema 4 by 4 by far. Chukua kombe ndiyo uanze kutamba kwamba uliwashinda manchester.Inakuwa sawa na kufanya mtihani darsani na kumpitia mtu ambayo kwa jumla ya masomo yote yeye ni wa kwanza.Wewe umempita sayansi kilimo tu unapiga kelele. Mwenzako anacover field zote.
    Mie si mshabiki wa Manchester, lakini nawakubali. Wako juu msimu huu.

    ReplyDelete
  10. AnonymousMay 14, 2009

    PREMIER LEAGUE CHAMPIONS TABLE:

    ­MAN UTD 10 ­ (soon to be­ 11)
    ARSENAL 3
    ­CHELSEA ­ 2
    ­BLACKBURN 1
    ­LIVERPOOL 0

    GLORY GLORY MAN UNITED !!!

    ARE U WATCHING MERSEYSIDE???????????????
    ARE U WATCHING­ MERSEYSIDE???????????????
    ARE U WATCHING­ MERSEYSIDE???????????????
    ARE U WATCHING­ MERSEYSIDE???????????????
    ARE U WATCHING­ MERSEYSIDE???????????????
    ARE U WATCHING­ MERSEYSIDE???????????????
    ARE U WATCHING­ MERSEYSIDE???????????????


    YNWA= YOU WILL NEVER WIN ANYTHING
    YOU WILL NEVER WIN ANYTHING
    YOU WILL NEVER WIN ANYTHING
    YOU WILL WALK ALONE LOOSERPOOL

    CHAMPION, CHAMPION, CHAMPION CHAMPION 2009,
    RONALDOOOOO
    ROOOOOONEY, ROOOONEY
    RIO , RIO,
    MACHEDA, KIKO...MACHEDA

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...