Waziri Kiongozi wa Zanzibar SHAMSI VUAI NAHODHA akitoa hotuba ya uzinduzi wa Vodacom Special Zanzibar iliyofanyika kwenye Hoteli ya Serena Inn Mjini Zanzibar usiku kuamkia leo.
Waziri Kiongozi wa zanzibar SHAMSI VUAI NAHODHA( kushoto) akibadilishana mawazo na Chief Operating Officer wa Vodacom Tanzania wakati wa sherehe ya uzinduzi rasmi wa Vodacom Special Zanzibar usiku kuamkia leo

mkurugenzi wa masoko wa vodacom tanzania, Ephraim mafuru akibadilishana mawazo na waziri Kiongozi wa Zanzibar SHAMSI VUAI NAHODHA wakati wa sherehe ya uzinduzi wa Vodacom Special Zanzibar usiku kuamkia leo.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. AnonymousMay 05, 2009

    Doh mbonak idole kama anaimba taarab? Taratibu kidole unavyosisitiza hahaha.

    ReplyDelete
  2. AnonymousMay 06, 2009

    Mmmmmh Mwaanogewa mwavunja Kapu... Yaaakhe karibuni Zenji...lakini siye Zanteli ya-kwetu yaaakhe...
    Miiye Anonimaaasi...

    ReplyDelete
  3. AnonymousMay 06, 2009

    Vodacom special?!! It means watakuwa wanabonyeza kizenj BONYEEEEEEEEE

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...