Home
Unlabelled
vodacom yamwaga kopyuta sekondari ya korogwe girls
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Samahani jamaa, kuuliza si ujinga. Hivi huyu Mwamvita Makamba ni mtoto wake kabisa mzee mzima Makamba au??
ReplyDeleteMichu usinibanie, nauliza kwa uzuri tu!
Salama jamani, michuzi kazi yako nzuri sana haswa kwa walio nje ya Tanzania. Tatizo langu na hiyo misaada ni jinsi inavyotolewa ni vyema vigezo vya kusaidia hizo shule vikajulikana. Lakini kama sivyo mimi ninaona ni kama maandalizi ya kampeni za mwakani.
ReplyDeleteVoda oyeeeeeeeeee
Mdau wa May 14, 2009 1:38 PM -Hiyo misaada haina uhusiano na kampeni za 2010,kwani Voda,Zain or Tigo si vyama bali ni makampuni ya nje yaliwekeza TZ,kutoa mitoa misaada ni moja ya makubaliano ktk mkataba kwamba kampuni yoyote ya nje iliyowekeza nchini lazini itoe misaada ikiwa ni sehemu ya faida yake,Makapuni yanayofanya vizuri hutoa zaidi,mtu yeyote ambaye anataka msaada hasa inayogusa jamii,mfano-elimu,afya,watoto yatima,etc anaweza kutuma maombi yanayoambatana na proposal (mchangunuo wa pesa na matumizi)anaweza kuomba.
ReplyDeleteby kisenga
Huyu dada mwelezeni aache kutangaza lebo za nguo kwani hiyo sio kazi yake.Lebo hizo ni za dukani unapoangalia nguo na sio baada ya kuinunua na kuivaa.
ReplyDeleteWachaga hoyeee.
ReplyDeleteKila eneo la maana tupo msitari wa mbele.
Hongera dada Mushi Dada Mkuu Korogwe girls
Koogwe sekondai, jamani inanikumbusha wakati tunasoma miaka ya 80.. Wabwanga wetu walikua Tanga sekondai.
ReplyDeleteKuna walimu wakongwe hapo (sijui bado wapo?!!)kama kina mama Senzige,Mama Mbaruku na zee lenyewe la shamba la mahindi mwl Maneneto.
Tuanshukuru Private sector kusaidia jamii na haswa sekta muhimu kama ya elimu, inatia moyo.
Ndio mwanae, we unayeihusisha voda na kampeni zimekutimia kweli. Halafu nimesikia voda na tigo wataka kuungana
ReplyDeleteWewe Tarehe May 14, 2009 10:58 AM, Mtoa Maoni: Anonymous
ReplyDeleteNdio huyu ni Mtoto kabisa wa Yusuf Makamba. Huoni miradi mingi ni Tanga?
Leboz ovyoooooooooo
ReplyDeleterostam kweli untouchable,he has embark his force in every part of the country.
ReplyDeleteI like Mwamvita.
ReplyDeleteVery pretty and smart girl.
Keep it up girl!
Sio Siri Dada Mwamvita huwa una-NIKUNA na jinsi unavyojiamini napenda ladies wengi wazidi kujiamini.
ReplyDeleteNilisoma makala ya huyu dada ni kweli anapenda siasa na labda huko mbele atajikita kwenye politics rasmi ila misaada ya VODA haihusiani na kampeni yoyote ile hata wewe huko kijijini kwenu kama mnataka misaada andikeni VodaCom Foundation mtasaidiwa acheni maneno msio na uthibitisho wake.
Acheni watu wafanye kazi.
Ndio ni mtoto wa Mhe. Mzee Yusuf Makamba (Al Haji)
ReplyDeleteOk so we appreicate the fact that voda com and other coys are doing their part towards social responsibility to the community. but let me remind madam Mwamvita that wadau wa vodacom (users) hawapo tanga tu but in all regions of tz and as Dir of vodacom foundation her responsibility is not only in tanga but tanzania yote. if its politics whe wants this isn't the way to go about it. management of vodacom must investigate to ensure that there are no personal gains out of what mwamvita is doing or else we do not have faith in her.
ReplyDelete