1. MWANAMUZIKI BORA WA KIUME TARAAB ASILIA
MOHAMMED ILIYAS (NAD IKHWAN SAFAA)
MOHAMMED ILIYAS (NAD IKHWAN SAFAA)
2. MWANAMUZIKI BORA WA KIKE TARAAB ASILIA
FAUZIA ABDALLA (NAD IKHWAN SAFAA)
3. KIKUNDI BORA TAARAB ASILIA
(NAD IKHWAN SAFAA)
4. WIMBO BORA WA MWAKA TAARAB ASILIA
(NAD IKHWAN SAFAA) BORA UKATE TAMAA
5. MWANAMUZIKI BORA WA KIUME TARAAB YA KISASA
IBRAHIM KHAMIS (NDANI YA 18)
6. MWANAMUZIKI BORA WA KIKE TARAAB KISASA
RUKIA RAMADHAN (UFUNGUO WA HERI)
7. WIMBO BORA WA MWAKA TAARAB KISASA
BINADAMU SI WEMA ( SAADA NASSOR)
8. KIKUNDI BORA TAARAB KISASA.
SPICE MODERN TAARAB
9. KIKUNDI BORA NGOMA ASILIA.
SINA CHUKI KIDUMBAKI
10. KIKUNDI BORA CHA MUZIKI WA DANSI.
THE COCONUT BAND
11. MWANAMUZIKI BORA WA KIUME MUZIKI WA KIZAZI KIPYA.
BERRY BLACK (MREMBO)
12. MWANAMUZIKI BORA WA KIKE MUZIKI WA KIZAZI KIPYA.
BABY J (MOYO WANGU UMECHOKA)
13. WIMBO BORA WA MWAKA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA.
BERRY BLACK (MREMBO)
14. ALBUM BORA YA MWAKA.
DUA LA KUKU – SPICE MODERN TAARAB
15. KIKUNDI BORA CHA MWAKA.
ROAD SQUAD
16. MWANAMUZIKI BORA CHIPUKIZI WA MWAKA
DORIKA - SIWEZI
17. MWANAMUZIKI BORA WA MWAKA.
JUMA 20 – BUSU LAKO
18. MSHAIRI BORA WA MWAKA.
FATMA MAULID – YOTE YA NINI
19. MTAYARISHAJI BORA WA MUZIKI WA MWAKA.
SAID HAMDAN - UWANJANI
20. MSANII BORA WA MWAKA (Mgeni Rasmi)
BAKARI ABEID
bro acha ushamba hapo huwezi kufaniniasha mwanza
ReplyDeleteHizi tuzo sidhani kama zina maana kwa muziki wa znz, kwa wale waliohudhuria wanajua nini nazungumzia.walikuwa unorganised.
ReplyDeleteMichuzi, Hii ZANI- BAR iko sehemu gani huko Bongo?
ReplyDeletekwa picha na matukio za tuzo hizi angalia othmanmapara.bogspot.com
ReplyDelete