NJOONI TUFURAHIE MAISHA YA KING OF POP MICHAEL JACKSON

JUMAMOSI HII TAREHE 06/27/2009

SESKA LOUNGE

2017 VEIRS MILL RD,

ROCKVILLE,

MD 2085I

NYUMA YA DIARY QUEEN ICE CREAM SHOP.
TOP TEN ZA MICHAEL JACKSON ZITAPIGWA NA SPECIAL REQUEST ZINAKARIBISHWA.

$ 5 USIKU MZIMA YA KUWALIPA WALINZI NA MA BAR TENDER LOL

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 20 mpaka sasa

  1. Mike was and still the best performer.Nobody can lace his shoes.Atakumbukwa milele
    R.I.P Mike

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 26, 2009

    NYIE WATU HAMNA HATA ADABU, MTU HATA AJAZIKWA NA TAMAA ZENU MNAENDA KUSHEREKEA KIFO CHAKE. NGOJENI MFIE KWENYE KUBEBA BOXI

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 26, 2009

    wanamziki jamani wanamaisha ya ajabu ajabu!
    anapokuwa mwanamziki wa kawaida ni bora sana,lakini anapofikia kuwa supastaa wa kitaifa au kimataifa, hapo raha ya maisha ya kawaida hakuna,na pengine kifo kikimkuta basi badala ya kilio baadhi ya washabiki wataombeleza kwa mziki na vifijo,hii ndio kero ya usupastaa

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 26, 2009

    Du kweli kufa kufaana, yaani wajasiliamali tayari wameisha capitalize kifo cha MJ. Si msubiri azikwe kwanza basi! Wabongo kweli noma. Zote hizo njaa tupu LOL!. RIP Michael, watu watakulilia kwa mengi uliyofanya kwenye muziki wa POP, ila wapo pia watakao kulilia machozi ya furaha kwani wamepata biashara.

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 26, 2009

    HUU SI UTAMADUNI WETU WATANZANIA KUSHEREHEKEA KIFO CHA BINADAMU MWENZAKO, HAIJALISHI UNAISHI WAPI.
    YOU WILL REMAIN A TANZANIAN, BEHAVES LIKE TANZANIA

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 27, 2009

    Aah wabongo nao,hata kwenye msiba pia watu wataka watie ulaji,tena bila ya aibu "njoo tujefurahia",msubiri basi angalau azikwe kwanza,kipindi hiki ni cha kuzungumzia pengo aliloliacha katika hii dunia ya music na jinsi ya kuliziba.
    rest in peace MJ

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 27, 2009

    Kufa Kufaana, wamjasirimali tayari wamesharukia tenda! LOL

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 27, 2009

    mbona wajaruo hushelekea kwa pombe na mziki na kelele

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 27, 2009

    Pitiful, Pathetic you'll should be ashamed!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 27, 2009

    Maisha ya Michael yanasherehekewa Marekani nzima toka kifo chake kilipotangazwa.Huo ndio utamaduni wa wenzetu.Sasa sisi watanzania tukishiriki hizo sherehe kwa kushirikiana na wenye nchi waliotukaribisha hapa Marekani kuna tatizo gani?.Hata kama msiba usingekuwepo hilo disco lingekuwepo tu.Nyie mliokosa viza hebu acheni ushamba,angalieni hata kwe TV.Kama mgao wa umeme haujapita mtaani kwako soma gazeti uelewe ama uliza ueleweshwe.

    ReplyDelete
  11. AnonymousJune 27, 2009

    UPUUZI MTUPU WATU WALIOKOSA AIBU MTABEBA BOX MPAKA MIGONGO IPINDE,WAPUUZI WAKUBWA MUWE MNAFIKILIA KABLA YA KUFANYA

    ReplyDelete
  12. AnonymousJune 27, 2009

    Hawa wanaosherehekia kabla ya hata MJ hajazikwa ni watanzania au watanzaulaya? Watanzania hatuna utamaduni wa kusherehekea na kufanya biashara kwa kutumia jina la mtu ambae hata kuzikwa kwenyewe bado.

    Hata kama umechoka kubeba mabox huo si ustaarabu bwana. Wapuuzi watupu na njaa mpaka kwenye kucha.

    ReplyDelete
  13. AnonymousJune 27, 2009

    kama walivyojaa wajanja ebay kuuza kila kitu cha michael jackson hususan t-shir zilizoandikwa RIP na wabongo nao kumbe hawapo nyuma, hongera sana!

    Na kwa wale wanapiga kelele kuwa wanasherehekea kifo mumekosea, wanasherehekea maisha yake, ni issue mbilitafauti na sio jambo la ajabu katika nchi nyingi duniani, kwa hiyo hapo hawana kosa!

    ReplyDelete
  14. AnonymousJune 27, 2009

    kazi ni kazi tu,ilmradi huui mtu wala kuiba

    tengenezen pesa wabeba box kwa raha zenu mwayaaaa

    ReplyDelete
  15. AnonymousJune 27, 2009

    NIAMBIE UTAMADUNI WA MTANZANIA. KIFO NI MAISHA BAADA YA HAPA DUNIANI SASA UNATAKA WATU WALIE BARABARANI.HAIRUHUSIWI ULAYA KULIA UNASUMBUA NEIGHBOURS .

    ReplyDelete
  16. AnonymousJune 27, 2009

    KUSHEHEREKEA KIFO CHAKE SIO MBAYA KWANI UKIISHI KWENYE UTAMADUNI WA MTU HUNA BUDI KUBLEND IN...ILA SIELEWI KWA NINI MJ ANASHEHEREKEWA KWANI JAMES BROWN ALIPOFARIKI SIKUONA WATANZANIA WAKISHEREHEKEA. KITU KINGINE KINA NIPA SHAKA NI HII SEHEMU AMBAYO WANAKWENDA.......NI KAMA UNAKWENDA KWENYE MAZISHI MAANA SI CLUB, HEBU ANGALIA TANGAZO LAO ..(NYUMA YA ICE CREAM SHOP) DUHH!!!

    ReplyDelete
  17. AnonymousJune 27, 2009

    eti jamaa kaandika hapo juu " nyie mliokosa visa"! -kweli box linaharibu akili!! yaani unafikiri visa ya US bado ni issue TZ!! Uliza wewe nani tena anahaja na kuja kufanya kazi za uchafu huku. US ilikuwa zamani bwana. Kweli mngekuwa na akili na maisha mngekimbilia viopportunity uchwara vya kutengeneza hela ya kula kupitia kifo, kweli credit crunch imebana!! Si mrudi kwenu tu??!

    ReplyDelete
  18. AnonymousJune 27, 2009

    ha, ha,watanzaUSA,,,

    ReplyDelete
  19. AnonymousJune 27, 2009

    UTAMADUNI GANI?HAMNA TENA UTAMADUNI TANZANIA OK. YAANI KILA CORNER KUNA PARTY. KAOMBE VISA UJE ULIE KWA SAUTI KAMA HUJAITIWA 911 UNASUMBUA

    ReplyDelete
  20. AnonymousJune 27, 2009

    Wabongo acheni kelele zenu. Hapa Marekani ndo their tradition mtu akifa kama ni Mucisian kuna kitu kinaitwa kucelebrate life ya huyo late whoever.Sasa nyie mnaanza mambo yenu ya kuwa judgemental.Mlitana wamarekani wajitande kanga waende neverland ranch kupiga mayowe au????
    watu wanatofautiana jamani so do the protocols na taratibuz

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...