
Kwa picha zaidi za ujio wa Beenie Man
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Duuuuh Jamaa kwa Pombe sio mchezo yaani nakumbuka mwaka 2000 alikuja Tanzania alifikia katika Hotel ya Sheraton yaani kila muda alikuwa na chupa au Glass ya pombe mkononi kuanzia asubuhi mpaka jioni! Nadhani muda pekee ambapo hanywi ni wakati wa kulala tu tembelea hiyo link uone vimbwanga
ReplyDeletehttp://michuzijr.blogspot.com/2009/06/beenie-man-atua-bongo-jioni-hii-na.html
Mzee Michuzi correction ndogo ni kwamba Beenie Man siyo Mmarekani,yeye ni true-born Jamaican na anaishi jamaica ila amefanya collaboration nyingi na wamarekani.
ReplyDeleteoyaa inaonekana mr ben hatosahau kama atavuta msuba mkali kama alioupata bongo yaani mpaka macho hayafunguki
ReplyDelete