


nenda kwa michuzi jr. kwa picha zaidi
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Mh, Jamani,
ReplyDeleteHiyo Picha ya Pili, watu tujiangalie kwanza tulivyo miili yetu kabla ya kutoka na kivazi.
Mh, miili mingine kama imetembelewa na duduwasha vile / Mtindi type.
Ni Hayo tu.
Eh,,wabongo watu mnajivinjali kweli kweli.mademu wabongo mnatisha.
ReplyDeleteAkina dada wa kitanzania funikeni ma-cellulite hayo! its not sexy at all,aghhhhhhhhhhh
ReplyDeleteTanzania raha sana. Watu wameshiba kweli lakini vimini na vishort kebekebe.
ReplyDeleteLishe bora LOL
ReplyDeleteWasichana wakibongo kama wanawake wakispanish wa South America. Ili mradi kitu kiko kwenye fashion lazima mtu avae bila kujali kinaendana vipi na mwili wake. Look at that girl with a brown top and a black short short.....uwwwwiiiiiiiiiii
ReplyDeleteinamaana bnm wamemfanya kichaka kila wakimuona tu wanabanwa haja!teh teh teh.safari ile alikuja hukobongo kwa mara ya kwanza (sikumbuki mwaka)akawapa watu mkono wakalamba pete, na safari hii tena wamelamba au sikuielewa habari vizuri?maana ya kwanza nakumbuka ila hii bado sijaelewa.kama ndo hivyo kweli wabongo noma!atawakumbuka kwa kuwa vichomozi maishani mwake.
ReplyDeleteMIchuzi, naomba uivute(zoom) hiyo picha ya pili kutoka juu, ya msichana mwenye kitop cha brown na black mini skirt. Kama sioni vizuri vile?! Sijui kavimba au ni duduwasha kamtembelea.......!? Kindly Zoom it.Fashion bwana..mhh!
ReplyDeleteama kweli bongo tambarare
ReplyDeletenamuunga mkono anony wa 11.00 pm miili mingine kama micheline, imevimba kila kona ni bora mvae madira kuliko kujianika, inachefua hata kuwaangali. watu mna matumbo matatu matatu misuli ya ajabu. tuige kwa mpango sio kila kitu.
ReplyDeleteAngalau safari hii wamejitahidi hawajatuletea wanaovaa MILEGEZO.
ReplyDeleteHuyu ana afadhali - havai mlegezo.
Muwe mnatuleteaga kama hawa. Sio wavaa milegezo hapa.
Huyo alekoment duduwasha kanichekesha sana! Tehe teh tee!
MICHUZI NAOMBA NISAIDIE KITU KIMOJA, NIONDOLEE HIYO PICHA KWANI MWANANGU WA MIAKA8 HUWA ANA VISIT BLOG YAKO NAMI SIPENDI AONE HIYO PICHA
ReplyDeleteBaadhi ya mademu wa kibongo wamedata.
ReplyDeleteTangulini wabongo tumekuwa wamarekani jamani???? Kuiga kwingine kunachekeshaaaa!!!!! Jiangalieni kwanza jamani
ReplyDeleteJamani huyo dada alikuwa anategemea BM atammind nini? Ndio nini kujivalisha hivyo?
ReplyDeleteJamani unatafuta brown top and black masoko ya kampuni gani huko?
ReplyDeleteivi nyie mnawashwa nini??
ReplyDeletecha ajabu apo nini?wake zenu/girls zenu wakoje uko ndani??
mama zenu si ndio ayo matumbo yamewatoa??ovyoo sana,km ulizaliwa na mwanaume sema...
izo simu wanazochukulia video/picha ni blackberry au?maana uo umbali na steji mh!!!
ila izi fujo sio utamaduni wetu
Wewe mdau mwenye mtoto wa miaka 8,hamna haja ya picha kuondolewa ila nadhani huu ni muda muafaka wa kumuonyesha mtoto wako vizuri na vibaya. Huko ndo kunaitwa kulea maana kamwe hawezi jua vitu vizuri always. Muelimishe vizuri na vibaya ili ajue mbichi na mbivu. Asante!
ReplyDeleteDu jamani huyu dada mbona anatia kinyaa! fashio zingine jamani watu waangalie sio za kila mtu!kavimba au katembelewa na kiwavi - hakuna mvuto hapa ni kuchefua watu tu!
ReplyDeletePajazzzz. duh!! ama kweli watapona vichaa tu tena wale wa muhimbili
ReplyDeleteWABONGO ,MLIO NJE SOMETIMES MNA DHARAU NA NYODO SANA,HILO PAJA FRESH TU NA DUDUWASHA NDIO WATU TUNAMINMD KWA SANA,WE GOT DIFFERENT TASTE,NANIHII NITAFUTIE EMAIL AU NUMBER YA HICHO KIFAA MI NITAKIPANDIA PIPA DEC,MBONA MADEMU WA MAREKANI KIBAO WAPO HIVYO HUKU NA WATU WANARUKA NAO DAILY,ACHENI MBWEMBWE WAZUSHI TU BONGO MADEMU WAKALI SANA KULIKO,NA COMMENTS ZA KUPONDA HAPA NYINGI NI ZA MDEMU WALIO NJE/MTONI AMBAO 90% WABOVUUU KUWA ABROAD NDIO KUNAWALINDA NYIE,NDIO MANA WATU ATUJAOA MPAKA LEO,NO CHOICE!!
ReplyDeleteUFUDU HAPA!
Jee mnakumbuka enzi za nguo za heshima??Japokuwa yule mzee alikuwa na makosa yake lakini enzi zake watu walikuwa hawatembei half naked.
ReplyDeleteWabongo kwa kuponda bwana...sasa hapo cha kushangaza kitu gani? badala ya kumuongelea huyo Bini Mani, mnakalia kusema wenzenu tu...kwani kila nguo unayovaa wewe inakupendeza?? Hebu jicheki hapo kwanza ulivyo, umependeza weye?...chukueni time zenu, tuondoleeni mashudu hapa...wakina dada wakibongo mlioko bongo, JIACHIENI...nimewaruhusu na kwanza kuna Joto...Mmependeza ile kinyamaa...yani mko poa kichiz, dah..sitasahau jumamosi, utazani mlikuwa Copa Cabana Beach!
ReplyDeletemdau,
Ashmatit
Nawashangaa wanaomponda huyu dada wa watu sijui kawakosea nini? Issue ilikuwa juu ya burudani ya BM lakini watu wanamkalia kooni binti yule mzuri.
ReplyDeleteKosa lake nini binti huyu au kuvaa kitop cha brown na kimini cheusi? Acheni hizo bandugu.
Mimi kula yangu ni kwa mabinti kama huyu na mapishi yao ni mazuri kupindukia.
Ninachomaanisha hapa ni kwamba binadamu tunatofautiana katika mambo mengi. Ndiyo sababu hata uwekaji wa sukari kwenye kikombe cha chai mimi naweza pendelea kuweka kijiko kimoja mwenzangu ukapenda vijiko viwili mwingine vijiko vitatu.
Mimi napenda mabinti waliojazia kama huyu mnaemzodoa hapa.
Mie Scallywag