askari polisi wa kituo cha urafiki wakitoa heshima zao wakati jeneza lililobeba mwili wa mwenzi wao sajini Jafari Ahmed Hassan likiwasili katika makaburi ya kisutu jijini dar jana. marehemu ambaye ni shemeji yangu, alikuwa akifanyia kazi kituo kidogo cha polisi cha Manzese Chama alifariki juzi na matanga yako nyumbani kwa baba yake kiwalani.
askari wakimuaga mwenzi wao kwa heshima zote za kijeshi 




Pole sana. Hiyo ndiyo mitihani ya maisha. Wote tunaelekea huko huko. Mungu amlaze mahala pema peponi....
ReplyDelete