kaka nakujulia hali, lakini natumai u-mzima kwa Madiba kama ninavyoona kwenye picha.
sina mpya huku, tafadhali wawekee wadau hii link yenye fursa za ajira katika kampuni ya google. watani wa jadi wanatupiga bao kwa sana, vijana wale nao sahani moja.
shukran
Mdau UK
Shukrani mdau wa Uk.Nnaomba unitumie maombi kabisa,wakiniita kwenye usaili uniambie.
ReplyDeleteWatanzania fursa kama hizi tunaziona kama sio size yetu vile,ukimwambia mtu mwenye sifa atume maombi jibu lake ni hilo hapo juu.Zipo fursa nyingi hasa kwenye mashirika ya umoja wa mataifa.Sisi tunasubiri ajira milioni 1 alizotuahidi Raisi kikwete.
Sie Wabongo tumeteka YOUTUBE na kiswahili chetu, sasa bado FACEBOOK, BING na YAHOO.
ReplyDeleteMdau
Manzese Kwa Mfuga Mbwa DSM.
ni kweli mdau
ReplyDeletewengine hazitifai apa
asante sana kwa roho nyeupe kusaidia wa-Tz
majirani zetu si watu kabisaaaa
ReplyDeletei tell yu