Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 10 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 05, 2009

    ndio maana bongo buffee ni big no no no kila mtaa. wanajua watafilisika. kama mto anabeba mpaka kutembea inakua taabu.

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 05, 2009

    LOL!, LOL!,

    This's so funny!. Jamani kakaangu you're super creative, very smart and soo funny!, lol!, keep up the good work.

    ReplyDelete
  3. AnonymousJune 05, 2009

    hahahahahahaaaahahahaaaa!!!!!! dah dogo kweli tulikumisi..hahahahahhaa!! mchizi inabidi aombe help..hahahahaaa!! kwa kweli siku leo imeanza vizuri..! tehe!!

    ReplyDelete
  4. AnonymousJune 05, 2009

    HAHAHAHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!! Nimecheka ofisini mpaka wenzangu wameniona kama nina mgogoro kichwani!

    ReplyDelete
  5. AnonymousJune 05, 2009

    Wallah dogo hujatulia....

    ReplyDelete
  6. AnonymousJune 05, 2009

    Is Friday my follows brothers Muslims...tuache kila kitu twende tumsujudie Aliyetuumba...kama alivyotuagiza Yesu [Issa] na mtume Muhammad S.A.W.
    JUST KUKUMBUSHANA..!

    ReplyDelete
  7. AnonymousJune 05, 2009

    ni ufisadi uliovuka mipaka kila wakionacho wakitamani na kukichukua hawafikirii wananchi wengine

    ReplyDelete
  8. AnonymousJune 05, 2009

    Hizo ni tabia za wazamiaji wa minuso katika shughuli za watu.

    ReplyDelete
  9. AnonymousJune 05, 2009

    hahaa we dogo wa uswazi inaelekea UNAWATANIA wazambia wakiwa katika sherehe!utani mwingine noma bwana wakikuona wata ku DU!

    ReplyDelete
  10. AnonymousJune 06, 2009

    ..Hah!Hah!Hah!..Heh!Heh!Heh!...Hih!Hih!Hih!Hih!..Hoh!Hoh!Hoh!..Huh!Huh!Huh!Huuu!ooeiaaaagghh!!..atyaaahfhfh!!..ooooophusss!!! Duh!...inabidi sasa..aaah!..hii ni staili ya kifisadi...nashauri aanze kutanguliza mkono wake wa kulia mbele..halafu aende kwa mwendo wa chura!!!..taratibu!!!..DOGO hii si mchezo!!nakupa big up!!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...