Rais Jakaya Kiwete ( kushoto) akisikiliza maelezo juu ya hatua za ujenzi wa daraja la Mto Mtombozi Tarafa ya Matombo, juzi , watatu kutoka kwa Rais ni Naibu Waziri wa Tamisemi, Aggrey Mwanri akifuatiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro, Eden Munisi.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. AnonymousJune 30, 2009

    JK aliwatoa jasho kweli kweli, kaahidi atarudi Oktoba this year na akute daraja limeisha, maana kuna longo longo ya kulijenga tangu 2001

    ReplyDelete
  2. AnonymousJune 30, 2009

    jakaya kiwete? umesahau k kaka yangu uwiii... subiri mwenyewe apitie pitie ndo utajua kilichomfanya kuku kukosa maziwa

    ReplyDelete
  3. AnonymousJuly 01, 2009

    Hiyo Shemeu Inaitwa Nini? Matombo????.

    ReplyDelete
  4. AnonymousJuly 02, 2009

    mbona leo umebana maoni ya watu. umekwenda libya na huko libya hakuna network au vipi.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...