Ndugu Mwanachama wa CCM,
Napenda kuchukua nafasi ifuatayo kukukaribisha katika kikao cha CCM - shina la Reading, United Kingdom kitakacho fanyika katika ukumbi wa The Warehouse - Cemetery Junction siku ya jumapili 28/06/2009 kuanzia saa 9 mchana mpaka saa 12 jioni.
Agenda:
1) Maandalizi ya mkutano mkuu wa mwaka utakaofanyika reading tarehe 26/07/09.
2) Mengineyo.
Tafadhali mfahamishe mwenzako upatapo taarifa hii.
Katibu - shina la Reading, United Kingdom.
Maira B Migire
Hivyo vikao vyenu tangazeni kwenye blog zenu www.ccmmarekani.blogspot.com au website za ccm sio huku kwenye blog ya jamii.
ReplyDeleteTAWI LA READING LINA WATU 15 KWANINI MSITUMIANE SMS AU KUPIGIANA SIMU KUELEZANA JUU YA MKUTANO WENU?
ReplyDeleteHII INAONESHA NIA YENU SI KUIMARISHA CCM READING BALI KUTAFUTA UMAARUFU KUPITIA BLOG HII.
CCM TAWI LA VINGUNGUTI WANAPOFANYA MKUTANO WANAWEKA TANGAZO KWA MICHUZI?
CHA AJABU NI WATU WALE WALE 15 NDIO CCM LONDON NDIO CCM READING. ACHENI USANII.
Huku kweli kukosa kazi. Wewe umetoka kwenu huko Sirari sijui wapi ukavuka milima na mabonde kwenda kuweka maskani Reading? Si ungeanza kuhamasisha umma na kuimarisha chama huko kwenu kwanza. Huna tofauti na wale wanaokwenda kuhubiri Amerika wakitoka Kinondoni.
ReplyDeletenyie watu huko acheni ujinga. hamkutumwa huko kuanzisha vyama vya siasa. kama hamna masomo rudini makwenu mkalime. na kama ni wabebe maboksi kabebeni maboksi. nani aliwaambia kuwa Reading au London au Manchester na kwingineko kuna CCM. ni uinga mtupu kujipendekeza kwa chama tawala. au walioshika madaraka ktk CCM ni wazazi wenu? Mnaanzisha mambo ya ajabu. Mmewahi kuona wapi wageni walio Tanzania akisema tawi la chama fulani katika Tanzania. Au hapa UK kuna watu wangapi kutoka nchi nyingine? nani amewahi sikia ati Tawi la chama fulani nchini Uingereza? kuweni na akili timamu msiwe mafala. Tuliopo hapa ni watanzania na hakuna vyama huku.
ReplyDeleteMwana wa fisadi ni fisadi tu!
ReplyDeleteannon #3 toka juu...
ReplyDeletembona sentensi zako zimekaa kufisadi mtu/watu wa kinondoni??ipi iyo mana nahisi harufu ya------
sasa hutaki wakahubiri amerika?
haki ya nani...hahahahaaaa teh teh
umeniacha hoi
I wish I could have much free time like you guys do. Where do you get such extra time?
ReplyDeleteIs it worthy arranging meetings and discussing about CCM here in the UK? What type of changes or contributions do you usually discuss about? Are the outcomes of your meetings effective?
Don't you have sometime else you could invest your time into.
There questions go on and on ....
You guys better be serious. A minute that you're losing right now will never come again.
Do something for yourself, family, church, mosque, people around you.
If you have completed your PhD, go for post-doctorate or try some different fields.
Please stop wasting our time reading about your "Usanii" as somebody pointed out earlier.
This blog is for all Tanzanian regardless of our political affiliation, religion, colour, tribe... as long as we follow the rules of this blog ...which is not more than using our common sense.
Kama kweli ni wakereketwa nendeni nyumbani mkazunguke mikoani mkimwaga sera.
Mkuu wa wilaya ya nanihii, balozi wa ..., ukiachia matangazo ya vyama vya siasa, utatupunguzia hamu ya watu ku-visit humu globuni.
Asante.
Mdau,
London.
Michuzi mbona tukituma message nzuri kwa CCM UK unabania?? Kila siku unaweka negative. Sisemi wewe ni mpinzai maana kama ungekuwa mpinzaniungekuwa pia umeweka negative kwenye tangazo la UVCCM. Lakini kule umeweka positives tu, ingawa wale ndo watoto wa vigogo haswaaa, na ndo mafisadi wenyewe.
ReplyDeleteTunakupenda sana lakini this is getting too much. Sisi huku tunajitahidi kuelimisha jamii sana lakini all u do is crashing us all the time.. WHY?????
Naomba uwe fair play, sijasema usiweke negative, mayb thats ur job lakini please weka na positives ambazo watu wanatuma ili kuwatia moyo hawa vijana wa walalahoi wanaotaka kumake difference.
Ni hayo tu..
Asante. Mdau UK
Aah hivi kumbe Mkutano Mkuu taree 26/07/09?? Mbona huku hakuna tangazo?? Asante wana Reading kwa kutufahamisha. Nitahudhuria Kikao hicho muhimu..
ReplyDeleteCCM Juu
Well done wana CCM UK. At least mnawaonyesha watu mfano jinsi mnavyokaa na Wanachama wenu, siyo kuweka Vikao vya ndani vya Vongozi na kufanya pratice na Baba zenu..
ReplyDeleteHogereni sana kwa kazi nzuri. Sisi tunawapa support 100%
Big up Wana CCM UK. I really hpe hii comment Michuzi ataiweka maana kila siku anabania comments. Asanteni wana CCM Uk. Kazi ni nzuri na inaonekana, tena ya kujitolea kabisa, siyo kutegemea posho..tafika mbali sanaa
ReplyDeleteMIchuzi kwa kweli unatusikitisha na comment chafu kila mara. Kwa nini hauweki mazuri ambayo watu wanasema kuhusu CCM UK?? Hata Balozi wetu anasikitika sana, ni jamo la kusikitisha sana. Tunakupokea vizuri ukija huku, mbona unatuangusha????
ReplyDeleteCM Tawi Vingunguti hawawezi kuleta advert lyao kwenyemitandao maana hawana access na internet, so as Chadema Vingunguti au CUF Vingunguti (if they do still exist).
ReplyDeleteNdiyo maana tunaishi Ulaya na wao wanaishi huko. There is a dfference, we live in a sophisticated world. Hata ukienda Yo Tube utakuta yangazo letu. Labour huku ndo njia ya mawasiliano. But sijui kwa nini napoteza muda kumuelimisha mtu ambae si msomi wala ndege hajapanda. Njoo huku tukuonyehse mambo yanavyokwenda then tutaongea haya mambo.
CCM Hoyeeeeeeee
Eti CCM UK wabebea mabox. Nitajie mtu mmoja anaebeba box ambae ni Mwanachama wa CCM. Unanifurahisha. Unaishi dunia yta ngapi. Hayo mambo yalikuwa 10 years ago, hakuna hicho kitu.
ReplyDeleteWatu wana kazi zao za maana, wasomi wote. Tena hata hao ambao siyo wana CCM wanaobeba mabox wanalipwa twice mshahara ambao hao vigogo waalipwa, sasa niambie nani afadhali, ndo maanakuna ufisadi bongo na huku hakuna.
Mbeba box wa huku anashop same shop na David Beckham, HAYA NIAMBIE HUKO MLALA HOI ATASHOP DUKA MOJA NA NANIHII???
Wote waliotoa hoja ni wapuuzi tu. Hawa (ccm) wanaonekana wanamtizamo wa kuwatafuta watanzania waliopo nje ya nchi wakasaidie katika nchi yetu, nyie vibaka mnawapiga mawe kweli nchi yetu wapuuzi wengi sana
ReplyDeleteMichuzi binafsi kama hii issue ya comments kwenye matangazo inakuchonganisha basi usiruhusu comments hata moja. Maana hizi comments zinaleta uchonganishi mkubwa maana watu wanaandika wanavyotaka na wewe uwezi kujua lipi ni kweli au baya. Nashauri uwafaamishe watumaji kama wanakuwa wanakuruhusu kuruhusu comments au hapana.
ReplyDeleteMdau
UK
Kweli hiki ni chama tawala!
ReplyDeleteMimi nikionaga CCM tu sisomagi uwa nafumba macho.
ReplyDeletekama balozi hapendezwi kwani michuzi yuko hapa kumfurahisha balozi au sisi watanzania? hata kama mlimpokea mnataka kumfunga asisikilize upande wa pili?kwani kuwa ulaya ndio kupanda ndege?
ReplyDeletekweli nyinyi mko huko ulaya hamjui kama bongo tambarare ndege kila kona?endeleeni kuungua na heater huko.sisi tunakula fresh vyakula.
sikutegemea hata siku moja mtu kama madau wa June16,2009 7:06pm na 7:10pm maweza kutoa maoni pumba kamahizo.Hivi unafikiri wewe kwenda ulaya basi ndugu zako wote uliowaacha ni washamba na hawajuwi kitu. acheni mawazo ya utumwa tena wa kikoloni yaliopitwa na wakati.wewe kuwa kwako ulaya sijaona tofauti ya utu wako na huyo wa vingunguti.yaani mnaona kupanda ndege,kuingia duka moja na beckham ndio maendeleo? au unadhani na wewe una uwezo sawa na beckham? najisikia aibu mimi kama ulipo huko huo ndio ufahari.hivi umeondoka Tanzania ya mwaka gani kama unafikiri vinginguti hawana access na internet unajidanganya, na ole wako upoteze muda huko uje na zawadi za computers used utachekwa! inaonyesha ulivyopanda ndege hukulala mwezi mzima mshamba wee.Bonge sasa kila kitu kipo mtumwa we.
ReplyDeleteTawi la Vingunguti haliombi ruzuku makao makuu ya ccm.nyinyi mnafanya shopping na david Beckham mnaomba makao makuu ya ccm, si bora tawi la vingunguti?
ReplyDeleteso what kama balozi hapendi comments zetu? hata michuzi naye balozi wetu hamjui?eti huwa mnampokea balozi michuzi hupanga hoteli kona anakosafiri msimdhalilishe wala hahitaji zawadi zenu kama suti za charity,acheni uongo nani kati yenu anafanya shopping na beckham kwenye duka la Harrords la Mohamed al-fayad?
Wa-Tanzaniawatu wa ajabu sana. Sasa CCM wakifanya mkutano wao nyie kinawauma nini? Acheni wivu ndugu zangu waacheni wafanye mkutano wao.
ReplyDeleteKWELI HUYU ALIYEONGELEA COMMENTS KUTOKULUUSIWA POINT YAKE NI NZURI MAANA SASA BLOG YETU INAKUWA YA MAJUNGU MNO KAMA THE UTAMU. SIPENDI KUONA WATU WANAPOWEKA COMMENTS ZA KUWAKASHIFU WENZAO WAKATI TANGAZO LENGHO LAKE NI KUWAPATIA WATU UJUMBE NA YEYOTE ASIYEUSIKA NA HILO TANGAZO SIONI SABABU YA KUANZA KUTOA KASHIFA. MICHUZI TATIZO HILI LIANGALIE KWA MAKINI.
ReplyDeletesasa kama watanzania tuna watu kama hawa wanamuona beckham kama mungu ndio kweli tutafika twendako? whats the big deal kama unafanya shopping duka moja na david? ndio inakusaidia nini wewe katika maisha yako? au anakuwa anakuongezea pesa kidogo? si unatumia pesa za kwako mwenyewe? au ba wewe ndio kati ya wale wanaoiga kila wafanyacho mastars kwa kufikiri nao wanakuwa masters pia? utaacha lini ujinga wewe?
ReplyDeleteKuna msemaji mmoja hapo juu alitoa mfano akasema "CCM Reading, inawezekana mko watu 15" hivi. Kwanini msitumiana message SMS.
ReplyDeleteHizi SMS ni bure kila mtu anajua hivyo. Sasa ni nini kinawafanya muutangazie umma wote wa watanzania wanaohudhuria humu globuni?
Hata walioko nje ya Reading tu hawawezi kuhudhuria, sasa je walioko nje ya nchi ndio watahudhuria?
Kuna comment nyingine inasema nia yenu ni kujionyesha. Mara picha, mara matangazo mara orodha ya majina. Nia yenu ni kuwaonyesha watu. Na hasa hasa mnadhani kwa njia hiyo mtapata ujiko katika Chama.
Ombi langu ni kwamba mnitolee mfano ni kipi kinajadiliwa kwenye mikutano yenu na kina isaidiaje nchi au chama? Nadhani ipo haja ya kushindana kwa nguvu za hoja.
Naomba kwa upole na unyenyekevu kabisa mtuorodheshee ni yapi hasa mnayojadili, na yanasaidiaje. Inawezekana mikutano yenu ina-mantiki, pengine sisi hatujafumbua macho.
kama hamtaweza kueleza uwazi kabisa lengo lenu na mwelekeo wenu na tangu mmeanzisha chama mmechangiaje.
Vinginevyo, Mkuu wa wilaya ya nanihii... matangazo ya vyama tia kapuni chini tu. Hata kwa wale wanaokununulia soda unapowatembelea kama wakileta matangazo yanayoelekea kubagua baadhi ya watanzania...tia kapuni.
Tabia ya kumtisha Mkuu wa wilaya "eti hata balozi wetu amesikitika" hii siyo kweli na iachwe kabisa. Msipende kutumia majina ya viongozi mnapoona mmekosa majibu ya hoja ambazo watanzania, wanaglobu wanataka myajibu.
Mdau,
London.
Comments chafu zinatolewa na mafisadi waliopo ndani ya ccm maana wanajua ccm ikipata wanachama kutoka nje ya nchi watawabana hao mafisadi. Watanzania msikubali kudanganywa wacha watanzania wenzetu waliopo nje ya nchi wajiunge hili wakasaidie kuleta mabadiliko ndani ya nchi. Hata baba wa taifa alisema mabadiliko ndani ya ccm yatatokea ndani ya ccm yenyewe. Tunakushukuru sana rais kikwete kuruhusu watanzani wote popote pale walipo kushiriki kikamilifu katika kuleta maendeleo ya nchi.
ReplyDeleteWote wali azinsha matawi ya ccm nje ya nchi nawapongeza sana. Napendekeza hata vyama vingine vya upinzani vifanye juhudi za kuwatafuta watanzania popote pale walipo hili nchi yetu iweze kuendelezwa.
Nawapongeza vijana kwa kazi nzuri mnayofanya. Pia nampongeza barozi wa tanzania nchini Uingeleza maana juhudi zake za kujali watanzania tunaziona wote popote pale tulipo sio kama barozi wetu wa Marekani hambaye kila mtanzania aliyepo marekani anamchukia yeye pamoja na wafanyakazi wote wa ubarozi wetu.
ReplyDeleteJamani watu wa Reading iam looking for one of my friend Lucy Mpogolo tuliachana naye siku nyingi kuna kipindi nasikia alikuwa anaishi Reading if any information please.......
ReplyDeleteYour friend
Hivi U.k kazi ni moja tu ya kubeba mabox?huyu anaonekana ana chuki binafsi, mimi nakufahamu pole sana hayo yote ni ya mfa maji haishi... ulinyimwa visa tulia.ukweli unabaki pale pale CCM ni chama tawala Kidumu chama cha mapidunzi!!!!
ReplyDeletemnasema kuwa mkiingia ccm mliokaa nje ya nchi mtawabana mafisadi.sio kweli Kaburu kakaa nje kwa miaka zaidi ya 20 Marekani.anaongea kizungu kizuri kama Obama.jee amewabana mafisadi?
ReplyDeleteinajulikana wazi kuwa the so called CCM reading ni wababaishaji tu.hawana uelewa wa chama na walianzisha kitu hiki ili wapate pesa toka kwa wafadhili.
kila dakika ni kuandika proposal kwa wafadhili.Malinzi kila kukicha anaombwa achangie pesa CCM READING.kama mnafanya shopping na Beckham vipi mpitishe bakuli kwa BECKHAM?
Michuzi usiweke habari zao hawa watu wa Reading na CCM yao,kwani hawakijui chama na wanakidhalilisha.