mwanamuziki nyota wa jamhuri ya kidemokrasia ya congo koffi olomide yupo dar kwa ziara maalumu chini ya shirika la umoja wa kimataifa linalohudumia watoto yaani UNICEF. habari za uhakika zinasema leo jioni atatembelea kituo kipya cha redio cha clouds 88.4 Fm kilichopo mikocheni na ataongea kwenye kipindi cha Jahazi chini ya kepteni garder G. habash.

Huwezi Amini nimekutana nae LIVE uso kwa Uso Millenium Towers Mchana huu wa leo!Kama ningekuwa nimetembelea Blog yako mapema nahisi ningepiga nae picha..Sasa nilipo muona nilikuwa sina uhakika kama ni yeye au namfananisha.Well next time mtu kama huyu akiwa anakuja basi tuwe twapewa taarifa mapema...Mimi ni Shabiki mkubwa sana wa MOPAO.Nasikitika sana kwa kukosa chance hii ya Kupiga nae picha hata mshika mkono tu. But am still nje ya hapa millenium towers namsubiri nahisi kafikia hapa.Thanks Michizi kwa habari.
ReplyDelete