Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Clement Mshana akiongea na maafisa habari wa serikali wakati wa mafunzo kuhusu matumizi ya Tovuti ya wananchi katika kurahisisha ukusanyaji wa maoni ya wananchi na pia kuleta uwazi na uwajibikaji. Mafunzo hayo yamefanyika leo wilayani Bagamoyo.
Juu na chini ni maofisa wa habari wa serikali wakifuatilia mafunzo kuhusu matumizi ya Tovuti ya wananchi na namna itakavyowawezesha kuwasiliana na wananchi na pia kujibu hoja mbalimbali kutoka kwa wananchi kuhusu utendaji wa serikali. Picha na Aron Msigwa- MAELEZO


pesa inaingia, semina ni nzuri.
ReplyDelete