Bi. Tertula Swai mtaalamu na mshauri katika masuala ya biashara akitoa mada kuhusu umuhimu wa maonyesho ya kimataifa ya Biashara Dar es salaam kwa washiriki wa maonyesho ya 33 yatakayoanza tarehe 23 mwezi huu katika viwanja vya sabasaba vya Mwl. J.K. Nyerere.
Baadhi ya washiriki wa maonyesho ya 33 ya Kimataifa ya Dar es salaam wakifuatilia kwa makini semina kuhusu umuhimu wa maonyesho hayo leo katika viwanja vya Maonyesho vya Mwl .J.K Nyerere (sabasaba) jijini Dar es salaam.

Mafundi wachoraji Bw.Hamis Ahmed (kulia) na Mbwana Matata wakiwa kazini katika maandalizi ya kuyakaribisha maaonyesho ya 33 ya Kimataifa ya Mwl J.K .Nyerere (sabasaba) leo jijini Dar es salaam. Picha na mdau Aron Msigwa wa MAELEZO.



Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...